Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,616
- 14,106
- Thread starter
-
- #121
Mkuu utaratibu huo ndo ulikuwepo mwanzo kila course inakwenda kuchukua ID kweny department kilicho fanyika Sasa ni sawa na mwalimu mkuu kuchukua mitihani yote toka chekechea mpka darasa la Saba alafu wanafunzi wote akawakusanya sehm moja na kuanza kuita majinaJiandae ni mtihani mkuu. Usidhani hapo serikali haipo! hayo mambo ya ID nadhani kila chuo ni ivo ivo, Ukienda pale UD utakuta vijana wamepanga mstari kwa ajili ya kupata ID.
Wale jamaa wapuuzi sana, nimemuuliza kumbe walimbambikiza deni ambalo hana, akawaambia kama sikumaliza ada nilifanya vipi mitihani. Wakamlazimisha basi alipe 90,000 akatoa risiti zote tangu anafika chuoni, bado wakataka alipie upuuzi gani huo.Shukrani sana mkuu kwa kuongeza jambo hili watu tukisema ukweli kuhusu lengo kubwa ni wajirekebishe ila kuna watu humu Mara ooh umekalia umalaya chuo,ooh unapenda mteremko Mara ooh huna akili una sup ila ukweli ndo huu tunao ongea hapa kuhusu SAUT Kuna shida kubwa Sana moja wapo ni kitengo Cha IT
Kuhusu risiti za malipo ni kweli lazima uziweka tupa ukisha maliza chuo yaani cheti kipo mkononi.SAUT mwanafunzi anatunza test,Quiz kuanzia First year mpka third year na muda wa kutupa ni pale cheti kipo mkononi maana ni rahisi kukuambia system imecheza Leta course work
Chuo kinakuwa primitive kama kinapanga watu kama machungwa kusubiri ID. Hapo UDSM unaoona wamebanana kuchukua ID ni wale waliochelewa kulipa au kuchukua mpya. SAUT ni taratibu mbovu za chuo zinawachelewesha na mifumo mibovu.Jiandae ni mtihani mkuu. Usidhani hapo serikali haipo! hayo mambo ya ID nadhani kila chuo ni ivo ivo, Ukienda pale UD utakuta vijana wamepanga mstari kwa ajili ya kupata ID.
Wana kadhaa si unajua kujiachia ila hiyo ipo kila chuo. Wenyewe wanapeana vilevile, kama sikosei ni mwaka jana ambapo walikatazwa kutembeleana usiku hostels za opposite sex.Mimba za wana kitaa au wenyewe kwa wenyewe
Mkuu, haiwezekani mtu anarisit zote na ameonesha afu adaiwe, sasa anadaiwa fedha ya nini!?Wale jamaa wapuuzi sana, nimemuuliza kumbe walimbambikiza deni ambalo hana, akawaambia kama sikumaliza ada nilifanya vipi mitihani. Wakamlazimisha basi alipe 90,000 akatoa risiti zote tangu anafika chuoni, bado wakataka alipie upuuzi gani huo.
Chuo sijui kina sera gani kile, hivi management haijui haya yanayofanyika. Ndio maana rate ya wanaorudi kusoma degree baada ya dip huwa ndogo sana
Mkuu nakuhakikishia ninachosema, mdogo wangu ni wa kike kwanza hayupo JF. Hapa nimekuja home mara moja mwenyewe nimetoka chuo. Huu uzi nimeanza kuujibu kabla sijaongea naye wakati anakuja ndio nikamuuliza akanishangaza kwa suala la kudaiwa tena. Alidaiwa hela kwanza, ndio akatoa risiti zote ila akadaiwa elfu tisini ya nini sijui. Hakutoa hata mia!Mkuu, haiwezekani mtu anarisit zote na ameonesha afu adaiwe, sasa anadaiwa fedha ya nini!?
Huyo mwanafunzi kama amwezeza kuja humu, anashindwa vipi kwenda pccb??
Mkuu, katika hilo la risit naomba jihakikishie, maana kama ameonesha kalipa, wanamdai fedha za nini???
Naomba kama kweli amelipa, aje inbox, nitamsaidia.
Huwezi jua inaweza kuwa njia ya kupata mapato kimchongoWale jamaa wapuuzi sana, nimemuuliza kumbe walimbambikiza deni ambalo hana, akawaambia kama sikumaliza ada nilifanya vipi mitihani. Wakamlazimisha basi alipe 90,000 akatoa risiti zote tangu anafika chuoni, bado wakataka alipie upuuzi gani huo.
Chuo sijui kina sera gani kile, hivi management haijui haya yanayofanyika. Ndio maana rate ya wanaorudi kusoma degree baada ya dip huwa ndogo sana
Nimemuuliza tena sasa hivi kasema mwanzoni walimdai laki moja wakisema kuna mwaka ada alilipa amechelewa ila hakulipa penalty. Haikuwa kweli, akatoa risiti akakubaliwa hana deni.Mkuu, haiwezekani mtu anarisit zote na ameonesha afu adaiwe, sasa anadaiwa fedha ya nini!?
Huyo mwanafunzi kama amwezeza kuja humu, anashindwa vipi kwenda pccb??
Mkuu, katika hilo la risit naomba jihakikishie, maana kama ameonesha kalipa, wanamdai fedha za nini???
Naomba kama kweli amelipa, aje inbox, nitamsaidia.
Ni mtu wa ajabu pekee ndo atasifia chuo kuwa na mfumo huo wa hovyo katika kipnd hiki Cha mageuzi makubwa ya TeknolojiaChuo kinakuwa primitive kama kinapanga watu kama machungwa kusubiri ID. Hapo UDSM unaoona wamebanana kuchukua ID ni wale waliochelewa kulipa au kuchukua mpya. SAUT ni taratibu mbovu za chuo zinawachelewesha na mifumo mibovu.
***** yule mbwa alifanya mashindano ya fawasco yahairishwe. ***** zakeYule aliye tengeneza uwanja wa mchongo wa Odinga
Uongozi wenu wa mwaka huu ndio wa ajabu. Hauna protocol. Rais wetu alikuwa njema tena alikuwa mtu mzima na in service. Kidogo hali ilikuwa afadhali.Mkuu utaratibu huo ndo ulikuwepo mwanzo kila course inakwenda kuchukua ID kweny department kilicho fanyika Sasa ni sawa na mwalimu mkuu kuchukua mitihani yote toka chekechea mpka darasa la Saba alafu wanafunzi wote akawakusanya sehm moja na kuanza kuita majina
Huo uwanja ulitengenezwa na Dotto Biteko enzi hizo akiwa rais wa serikali ya wanafunzi, na ndipo mashindano ya Fawasco yalikuwa yanafanyikia huko. Unless labda iwe ni ukarabati ndio ulifanyika.Yule aliye tengeneza uwanja wa mchongo wa Odinga
Mkuu hata matokeo yanabadilika sababu ni system imechezaNimemuuliza tena sasa hivi kasema mwanzoni walimdai laki moja wakisema kuna mwaka ada alilipa amechelewa ila hakulipa penalty. Haikuwa kweli, akatoa risiti akakubaliwa hana deni.
Kisha akaambiwa anadaiwa elfu 90+ hapo kuna 50,000 ya cheti cha certificate na 40,000,+ ya kitu gani sijui. Akatoa risiti ya certificate na hiyo nyingine hakulipa. Anasema aliambiwa "system imecheza", ameondoa uwezekano wa kutaka kuibiwa. Sasa sijui kwanini system inacheza kwa watu wengi vile na kama hawakutunza risiti ndio wanalipa tena
Sasa SAUT na UDOM si vya kata, Au?Kuna jamaa alikuwa anafananisha SAUT na UDOM...
AjaahhaahbChuo alichosoma popoma la kutukuka ni chuo uchwara tu.