Sauli Vs Imani Bus lipi bora kwa safari Dar - Mbeya?

Sauli linapendwa sana na wasafiri ya route hiyo ya Dar -Mbeya. Ticket za Sauli unafanya booking siku 5 hadi wiki moja kabla ya safari. Ukienda kukata ticket kwa lengo la kusafiri kesho au keshokutwa utakuta tayari basi la siku hiyo limeshajaa. Na mara nyingi mpaka ticket za basi la sauli linalosafiri siku fulani ziishe ndio Imani plus nao wauze ticket labda kama kutakuwa na abiria wengi sana ndio Imani na wenyewe wanauza ticket kwa wingi. Sauli yapo comfotable na mwendo wao pia ni mzuri kwa maana ya kwamba wanazingatia muda wa kufika waendako. Imani Plus haiko comfortable sana na pia wana aina fulani hvi ya kutokuzingatia muda. Nimeshasafiri na haya mabasi yote lakini kwangu mimi SAULI WAPO POA ZAIDI.
 
Now Iman kaleta na yeye bus mpya Mbili japo Sauli ndo kakomesha kaleta vyuma tupu..Imani alijaribu ligi miezi fulani ila imemshinda katulia
 
Imani ni ya zamanibtoka 2019 mwanzo sauli ni ya juzi mm naona kwa usafiri wa amani moyoni bora IMANI BUS loli sauli mma
Ndio ila iman wameleta Gar mpya kampun Sawa ya zaman ila wameleta Gar mpya inategemea nawew ila Kama unaharaka na hiyo sehem unatakiwa ufike mapema nahuku usiwe mchovo sauli is the best
 
Nimegundua baadhi ya watu wa mikoani ni wapuuzi na washamba bado wanafurahia na kushangilia mwendo kasi badala ya kuangalia usalama wa maisha na afya zao.
Umegundua vipi ni washamba ? kwa hizi coment au ulifanya utafiti eneo husika?
 
Ukitaka kufaham ushamba wao fanya hivi mkuu...

Ukiwa unaelekea Arusha panda Saibaba, mbazi au kimotco za kwanza next trip panda BM, Extra au Kidia zile za kwanza.

Alafu njoo ukoment mara ya pili.
Mfano wako hauendani kabisa mkuu, hapo ungefananisha shabaha ya zamani, na chakito ndio waliendana na sauli then Iman hapo ungeifananisha na kina kilimanjaro au Esther
 
Back
Top Bottom