Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,510
- 4,224
Wakuu naomba mnijuze
Nimegundua baadhi ya watu wa mikoani ni wapuuzi na washamba bado wanafurahia na kushangilia mwendo kasi badala ya kuangalia usalama wa maisha na afya zao.Sauli ni ndege, Imani bus ni basi
Tatizo kubwa niNimegundua baadhi ya watu wa mikoani ni wapuuzi na washamba bado wanafurahia na kushangilia mwendo kasi badala ya kuangalia usalama wa maisha na afya zao.
Kila mtu na kipaombele chale mkuu, wewe usalama na afya wengine wawahi kufika wala hawahofii hicho unachohofia wewe.Nimegundua baadhi ya watu wa mikoani ni wapuuzi na washamba bado wanafurahia na kushangilia mwendo kasi badala ya kuangalia usalama wa maisha na afya zao.
mbona povu mkuu, umekunywa chai ?Nimegundua baadhi ya watu wa mikoani ni wapuuzi na washamba bado wanafurahia na kushangilia mwendo kasi badala ya kuangalia usalama wa maisha na afya zao.
Huu ushamba upo sana mkoa wa mbeya na kanda ya ziwa!!! Jitu zima linafurahia high speed ambayo ni hatari kwa maisha ya abiria!!! PatheticNimegundua baadhi ya watu wa mikoani ni wapuuzi na washamba bado wanafurahia na kushangilia mwendo kasi badala ya kuangalia usalama wa maisha na afya zao.
Ukitaka kufaham ushamba wao fanya hivi mkuu...Nimegundua baadhi ya watu wa mikoani ni wapuuzi na washamba bado wanafurahia na kushangilia mwendo kasi badala ya kuangalia usalama wa maisha na afya zao.
Wanakariri sanaUkitaka kufaham ushamba wao fanya hivi mkuu...
Ukiwa unaelekea Arusha panda Saibaba, mbazi au kimotco za kwanza next trip panda BM, Extra au Kidia zile za kwanza.
Alafu njoo ukoment mara ya pili.
Wanakariri gari kuwahi kufika ni mwendo.Wanakariri sana
Binafsi sipendi gari inayonyata ingawa pia isiwe na mwendo mkali ile ya roho mkononi.
Miaka ya nyuma niliwahi kupanda najmunisa kutoka moro kwenda dom.ile gari ilikua inatembea balaa moro ilitoka saa mbili asubuhi by saa tano tupo jamatini dom
Acha ujinga ww, Route ya kutoka Mwanza to Dar ni zaidi ya Kilometre 1150 unataka mtu apande gari inayoenda mwendo wa kobe? Au unataka mtu atumie masaa 24? Acha mzee safari ni ndefu mno unadhani kukaa kwenye siti ya basi masaa zaidi 10 ni kazi ndogo. Sijui tu kwanini hatuna usafiri wa usiku wa coster kama kule Mbeya.Huu ushamba upo sana mkoa wa mbeya na kanda ya ziwa!!! Jitu zima linafurahia high speed ambayo ni hatari kwa maisha ya abiria!!! Pathetic
Majinjah inawahi kufika!!!!Kila mtu na kipaombele chale mkuu, wewe usalama na afya wengine wawahi kufika wala hawahofii hicho unachohofia wewe.
Wafanyabiashar wengi wa mbeya wanaikubali majinjah sababu ya kifika haraka jijini na kufanya ishu zao chap.
Kupanga ni kuchagua mkuu usiwaite washamba.
Tunduma moja hiyokapande Mswidishi ww hii ni G7 sio iyo michina ya iman+View attachment 1953522