Saudia Arabia yaachana na Petrodollar rasmi

Saudia Arabia yaachana na Petrodollar rasmi

Urusi hana mchango wowote hapa africa zaidi ya kuuza masiraha yake lakini nchi za magharibi ndizo zinazotoa mikopo na kusaidia nchi zetu ikiongozwa na baba lao Usa .
Sasa hiyo urusi inatusaidia nini? Jaribu kuwaza Tanzania tuna Ng'os ngapi zinazofadhiliwa na Usa na zimeajiri maelfu ya watanzania.
Kwanza sijawai pita na kuona mashirika yanayofadhiliwa na Urusi zaidi ya nchi za magharibi.
USA wana print Dollar
 
[https://abs-0]BREAKING America just lost dollar’s supremacy in global trade Saudi Arabia has decided not to sell oil in US dollar anymore Riyadh didn't renew the 50-year petro-dollar deal with the United States which expired on Sunday

[https://pbs]

View attachment 3016632

Uzi wako unakinzana na kisa halisi umekurupuka kuanzisha uzi, badala yake Saudia Arabia wamecha kuuza mafuta Kwa fedha ya marekani, (us-dollar)
 
China huyo huyo biashara zake nyingi anafanya na haohao wanaomlipa dola sasa unataka kuniambia atawaacha.? Ni kitu ambacho hakiwezekani.

Haya mambo ya kuachana na dola ni porojo tu zinapigwa kwa sisi tunaofanya biashara za kimataifa huwezi kutudanganya labda muendelee kudanganyana huko kwenye vijiwe vyenu na huko masjid ubwabwa.
Waafrika tuna akili fupi sana kabla ya currency ina maana tulikuwa hatufanyi biashara binadam? Hakuna kinachoshindikana chini ya Jua Mrusi kawezaje kujiendesha ikiwa hatumii kabisa dollar kwa sasa? toa ujinga uliopo kichwani kwako kwamba "Haiwezekani" hakuna kinachoshindani duniani...
 
Ngoja nikueleweshe, Russia inatumia third countries kukwepa vikwazo kitu ambacho kinawagharimu fedha nyingi sana na cha ajabu hizo nchi anazotumia kukwepa vikwazo zinatumia dola katika biashara ya kimataifa. Kuna unafiki mkubwa sana ktk siasa za kimataifa.

ithttps://iai.tv/articles/why-sanctions-on-russia-havent-worked-auid-2433?gad_source=1&gclid=CjwKCAjwmrqzBhAoEiwAXVpgouw19uj3D-D9uQ3pZCamJx-hlNAwRRBlT9U3k04wTMzH3xCZe3Mk8RoC3WkQAvD_BwE
 
Kama anatumia gharama kubwa sana vipi uchumi wa Russia ukue kwa kiwango kikubwa kuliko hao mabeberu, Western County?
 
Kama anatumia gharama kubwa sana vipi uchumi wa Russia ukue kwa kiwango kikubwa kuliko hao mabeberu, Western County?
Unajua Russia anauza mafuta yake na gesi kwa China na India kwa discount ya 20% ya bei ya sokoni hivyo ina maana kwamba kwa Brent Crude ambayo bei yake sokoni leo ni USD 82/b yeye anawauzia kwa USD 65.6/b sasa angalia tofauti ya USD 16.4/b zidisha mara mamilioni ya pipa wanazonunua kwa siku uone mamilioni ya dola ambazo China na India wanaokoa kwa siku.

Hivyo hivyo kwa mafuta aina ya WTI Crude ambayo bei yake sokoni leo ni USD 78/b lakini China na India wanaipata kutoka Russia kwa bei ya USD 62.4/b na sasa angalia tofauti ya USD 15.6/b zidisha mara mamilioni ya pipa wanazonunua kwa siku uone mamilioni ya dola ambazo China na India wanaokoa kwa siku kwa kununua WTI Crude kutoka Russia.

Russia hapati hasara kwa kuuza kwa hiyo bei kwa sababu katika uwekezaji wa mafuta baada ya miaka kama miwili tu hivi ya uzinduzi wa kisima kumalizika miaka inayofuata nchi inapata faida ya asilimia 85 kutokana na kila pipa inayouzwa ndio maana haya mataifa yanayozalisha mafuta yanapiga hela kishenzi kwenye bidhaa hii.

Mataifa kama Saudi Arabia waga yanaongopa kwamba faida nzuri waga inapatikana pale mafuta yanapouzwa kuanzia USD 70/b lakini huu ni uongo wa dhahiri kabisa kwani kuna kipindi fulani huko nyuma mafuta yaliwahi kuuzwa chini ya USD 15/b lakini mataifa bado yalikuwa yanapata faida.

Hivyo vikwazo alizowekewa Russia ni furaha kwa nchi nyingi kama China, India, Turkey, Brazil, South Africa, Indonesia, North Korea nk na huko baharini kuna meli nyingi zinatangatanga huko zikiwa na shehena za mafuta ya Russia zikitafuta wanunuzi.
 
Back
Top Bottom