Saudia Arabia yaachana na Petrodollar rasmi

Urusi hana mchango wowote hapa africa zaidi ya kuuza masiraha yake lakini nchi za magharibi ndizo zinazotoa mikopo na kusaidia nchi zetu ikiongozwa na baba lao Usa .
Sasa hiyo urusi inatusaidia nini? Jaribu kuwaza Tanzania tuna Ng'os ngapi zinazofadhiliwa na Usa na zimeajiri maelfu ya watanzania.
Kwanza sijawai pita na kuona mashirika yanayofadhiliwa na Urusi zaidi ya nchi za magharibi.
Hizo NGOs Zina Nini zaidi ya agenda ya kueneza ushoga, na kusmooth spying activities
 
Acha kumsikiliza mjinga,ukitaka ku-import utanunua nje ya nchi na Shilingi? Badala ya kutengeneza mazingira rafiki kwa Kampuni zinazoleta mizigo kupata dollars,unaunga mkono upuuzi,bidhaa saizi zinapanda bei,dollar leo Black market 2850......
Ngoma ivumayo sana ndio hupasuka! Hivi hata kujua kwanini dollar imekuwa adimu duniani hujui? Us amesimamisha kuprint hovyo hovyo ili kuendelea kumiliki uchumi wa dunia pasipo haki, ana print makaratasi anakuletea unampa dhahabu mafuta na almasi zingine anawapelekea magaidi ili kuendelea kuiba sehemu zenye migogoro, mtakuja kuelewa tu Putin kwann aliivamia Ukraine, Rasmi saudia kajitoa kwenye mkataba wa petro-dollar wa miaka 50 atauza mafuta yake kwa sarafu yoyote aitakayo 😂
 
Urusi hana mchango wowote hapa africa zaidi ya kuuza masiraha yake lakini nchi za magharibi ndizo zinazotoa mikopo na kusaidia nchi zetu ikiongozwa na baba lao Usa .
Sasa hiyo urusi inatusaidia nini? Jaribu kuwaza Tanzania tuna Ng'os ngapi zinazofadhiliwa na Usa na zimeajiri maelfu ya watanzania.
Kwanza sijawai pita na kuona mashirika yanayofadhiliwa na Urusi zaidi ya nchi za magharibi.
Tatizo ni dollar mikopo yote inatolewa kwa dollar baada ya kuyaprint kwa wingi ni lazima utakuwa tegemezi tu sasa mataifa yenye nguvu wameanza kupambana na hiyo dollar, haijalishi miaka mingapi itapita ila kifo cha dollar kimeanza taratibu...
 
hiyo vita ni mgumu sana sioni mmarekani akishindwa
 
Kama wewe sio mchumi au mtaalamu wa maswala ya biashara za kimataifa na fedha hutaweza kuelewa kuhusu hii madam.

Kuna faida nyingi sana kwa Dunia na hasara kidogo kwa Dunia. Lakini Kuna hasara kubwa sana kwa US na faida kidogo na unaweza kupelekea uchumi wake kuyumba sana.

Jiukize kwa nini Hadi leo uingereza haitaki kuachia Pound na ilikua tayari kuexit EU sababu ya Pound?

China, Japan, Canada na baadhi ya nchi za Scandinavia wameshikia fedha zao? Ndio silaha mojawapo ya uchumi

Tumesikia Jana deni la taifa limeongezeka kwa 5trillion sababu shilling yetu imeshishwa thamani hivyo dollar imekua na nguvu zaidi badala ya kuitumia TZS 2200 kulipa Dola Moja Sasa tunatumia TZS2660.

Kumbe tungekopa Korea na mkopo ukawa kwenye fedha ya Korea Dollar ikiyumba au ukiwa na nguvu zaidi. Hatupati hasara, huo mfano ndogo sana.
 
Acha kumsikiliza mjinga,ukitaka ku-import utanunua nje ya nchi na Shilingi? Badala ya kutengeneza mazingira rafiki kwa Kampuni zinazoleta mizigo kupata dollars,unaunga mkono upuuzi,bidhaa saizi zinapanda bei,dollar leo Black market 2850......
Hehe mizigo asilimia kubwa wabongo wanaagiza china na India na kuswitch kwenye hizo sarafu ndo kinachoenda kutokea sasa unanunua rupia ya muhindi au yuan ya mchina kazi imeisha, kwa sasa dola itakua kama toilet paper tu
 
Urusi hana mchango wowote hapa africa zaidi ya kuuza masiraha yake lakini nchi za magharibi ndizo zinazotoa mikopo na kusaidia nchi zetu ikiongozwa na baba lao Usa .
Sasa hiyo urusi inatusaidia nini? Jaribu kuwaza Tanzania tuna Ng'os ngapi zinazofadhiliwa na Usa na zimeajiri maelfu ya watanzania.
Kwanza sijawai pita na kuona mashirika yanayofadhiliwa na Urusi zaidi ya nchi za magharibi.
Njaa inakuja na hizo NGO zenu za kusambaza ushoga na kusaidia mabeberu kupeleleza wenzenu
 
Hehe mizigo asilimia kubwa wabongo wanaagiza china na India na kuswitch kwenye hizo sarafu ndo kinachoenda kutokea sasa unanunua rupia ya muhindi au yuan ya mchina kazi imeisha, kwa sasa dola itakua kama toilet paper tu
Hili jambo liende kwa kasi sana, hawa wapuuzi wabaki na madola yao, kila mtu awe na chake
 
Back
Top Bottom