Kama wewe sio mchumi au mtaalamu wa maswala ya biashara za kimataifa na fedha hutaweza kuelewa kuhusu hii madam.
Kuna faida nyingi sana kwa Dunia na hasara kidogo kwa Dunia. Lakini Kuna hasara kubwa sana kwa US na faida kidogo na unaweza kupelekea uchumi wake kuyumba sana.
Jiukize kwa nini Hadi leo uingereza haitaki kuachia Pound na ilikua tayari kuexit EU sababu ya Pound?
China, Japan, Canada na baadhi ya nchi za Scandinavia wameshikia fedha zao? Ndio silaha mojawapo ya uchumi
Tumesikia Jana deni la taifa limeongezeka kwa 5trillion sababu shilling yetu imeshishwa thamani hivyo dollar imekua na nguvu zaidi badala ya kuitumia TZS 2200 kulipa Dola Moja Sasa tunatumia TZS2660.
Kumbe tungekopa Korea na mkopo ukawa kwenye fedha ya Korea Dollar ikiyumba au ukiwa na nguvu zaidi. Hatupati hasara, huo mfano ndogo sana.