Sawa. Hata mimi suala la kukodisha ardhi (tena miaka 99) sikubaliani nalo. Nafikiri Serikali inaweza kuunda Kampuni maalum kwa ajili ya kuingia katika joint venture na Wasaudi hao. Na hiyo kampuni katika hisa zake itakuwa ni hiyo ardhi yetu. Hivyo hapo tutakuwa na uhakika na ardhi yetu-ilipo-. Na hata tukilima pamoja tutakuwa na uhakika kuwa nasi watu wetu watafaidika huko huko mashambani walipo kupitia hiyo Kampuni . Kiholela abadan na tujifunze kutokana na kadhia za mikataba ya madini.Mkuu,
SIJUI KAMA umeelewa point yangu!
Hebu isome tena vizuri halafu ongezea na ile ya Jasusi utaona nilichukuwa namaanisha.