Saudi investors eye Tanzanian farmland

Mkuu,
SIJUI KAMA umeelewa point yangu!
Hebu isome tena vizuri halafu ongezea na ile ya Jasusi utaona nilichukuwa namaanisha.
Sawa. Hata mimi suala la kukodisha ardhi (tena miaka 99) sikubaliani nalo. Nafikiri Serikali inaweza kuunda Kampuni maalum kwa ajili ya kuingia katika joint venture na Wasaudi hao. Na hiyo kampuni katika hisa zake itakuwa ni hiyo ardhi yetu. Hivyo hapo tutakuwa na uhakika na ardhi yetu-ilipo-. Na hata tukilima pamoja tutakuwa na uhakika kuwa nasi watu wetu watafaidika huko huko mashambani walipo kupitia hiyo Kampuni . Kiholela abadan na tujifunze kutokana na kadhia za mikataba ya madini.
 
Yebo Yebo,
Kuna wakati nilikwenda Guatemala ambako Marekani imechukua mashamba makubwa tu ya ndizi, Chiquita, Dole, n.k ambazo unakuta zimejaa kwenye super markets zao. Fikra zangu wakati huo ni kwamba hawa wakulima wa Guatemala must be rich or well to do kwa kuwa wana soko kubwa tu la ndizi Marekani. I was wrong. Kilichotokea ni kwamba hayo mashamba yanamilikiwa na kampuni za Kimarekani ( kama ambavyo Wasaudi watamiliki mashamba tutakayowaruhusu ku lease kwa miaka 99) na Watanzania tutabaki kuwa ma campesino tu au wapagazi wa kuchota maji katika mashamba hayo.Huu si uwekezaji utakaomsaidia Mtanzania kujikwamua na kujiongezea kipato chake. Hatutafaidika na soko la mchele au ngano Saudia kwa sababu wanaomiliki mashamba si Watanzania. Are you getting my drift? Anayetajirika na ndizi za Guatemala si Mguatemala. Ni corporate America. We are going to find ourselves in the same situation.

I agree with you. Wadanganyika watakua macampensinos tu! 1.2 Million acres for the big gold chain JK got from the Saudi Despot. Kaaz kwelikweli...
 
Tanzania tumekuwa vichwa vya wendawazimu...

Tuna watalaam kibao wa kilimo ambao tumeshindwa kuwatumia kwa kilimo...
Tumeshindwa kufanya commercial agriculture na tusifikiri hata siku moja kwa tutanufaika kwa kupewa chakula cha chee na Waarabu hao...
Jirani zetu wa kenya wanajua hili maana wasaudia waliomba ardhi kama hiyo mwanzoni mwa mwaka huu wakati kenya ilipokuwa inawaomba mkopo wa dola kama Bil1 hivi kwa ujenzi wa bandari huko mombasa nao wao wakenya wakastukia dili...

Sasa inaonekana kwamba Mbwa kamtupia fisi fupa lililomshinda...

Sera yetu ya ardhi inasemwa mwananchi wa kawaida ana lease ardhi kwa miaka 33 na ku-renew, sasa iweje hao jamaa wapewe miaka 99...

Waitumie hadi mtoto Mtanzania aliyezaliwa leo azae na kujifungua wajuu zake... hivi atawalithisha nini?

Kikwete amuka amuka kaka toka usingizini, fikiria nini hao waraabu wanachotaka kufanya sisi kama Tanzania hatuwezi kukifanya... Kwa nini basi serikali isianzishe kampuni lake la kilimo ambalo litadhalisha katika hizo hecta 500 000 kwa miaka 99 kwa faida ya watanzania wote? Kama hatuna technologia , kwa nini basi tusinunue toka kampuni kama Kubota Japan ambao wao ni mabingwa kwa kilimo cha mpunga? au kwa nini basi tusikodishe kampuni yeyote ile ya kilimo ili ilimie kwa niaba ya serikali na wananchi wetu?

Sikubaliani mara mia zidishwa laki tano na 99 kwa hao waarabu kupewa ardhi hiyo wanayoinyemelea....

wakipewa, sisi Tanzania Kwisha Kazi..., Tutaanza kuwa kama Zimbabwe ndani ya miaka 40 tangu wapewe...

Akina January Makamba, kama ardhi hiyo ikigawiwa kwa hao waarabu , basi sisi watanzania tutajua kwamba domo lenu halikutoa ushauri nasaha kwa huyo bosi wenu Kikwete, bali lilishibishwa tende za waarabu na kulicheza ngoma ya uajemini...

Tunabiga kelele kila siku kuhusu sera ya ardhi katika East africa, na wakija hao Waarabu tunawaoneshwa kwamba iawezekana....

Ni ajabu sana hawa viongozi...

Please step down for and let other Competent Tanzanian take the lead... Kwa nini safari ambazo hazina maana? Yaani mtu anakualika kwakwe ili akuombe... hii ni akili kweli?
 
WanaJF, heshima kwenu wote,
Wasiwasi wangu ni pale ambapo mzawa kumilikishwa ardhi yake kwa miaka 99 ni kitu kigumu sana kwa serikali yetu, lakini kwa mtu wa nje inaonekana ni rahisi na hata wanabembelezwa. Hivi wanaJF wenzangu, tufanye nini ili kurekebisha sera yetu ya ardhi na maliasili ya Tanzania kuwanufaisha wazawa kabla ya wageni? Hii binafsi inaniumiza sana. Naomba ushauri wenu
 
'They can lease the land from the government,' January Makamba, an aide to President Kikwete, said.

"But we have to make sure we don't end up in a situation similar to that of Nigeria: Huge oil reserves but long queues in front of petrol stations,' Makamba said.

Jamaa anajionyesha rookie katika diplomacy, yaani aide wa rais anaenda kusema maneno potentially explosive kama hivyo unnecessarily?

Hivi alishindwa kusema tu kwamba ni lazima tuhakikishe kwamba deal linakuwa "mutually beneficial"?

Hivi ma aide wa Yar'Adua wakitoa comment za reja reja kuhusu Tanzania hawa wakuu wataweza kufanya nao deal? Vipi kesho Kikwete akienda Nigeria na January Makamba halafu Wa Nigeria wakimbana kuhusu hii kauli?

Si lazima kusema kila kitu ina a sensational anecdotal way. Yaani kuna watu ukiwapa mistari miwili tu ya kuongea hawakosi kuongea pumba!

Halafu anaongea kuhusu situation ya Nigeria kama wao wana moral authority, bongo kuna resources kibao dhahabu, ardhi, mito, lakini bado watu wanakufa na njaa, what is the difference?
 
Ama kweli Hujafa hujaumbika,na ukimumbuwa mwenzio ipo siku utaumbuliwa .leo kuona TANGANYIKA wamekwenda SAUDIA kuomba mkono wa idi ?siamini masikioni mwangu .kwa upande wa ZANZIBAR ilikuwa ni kama wimbo wa taifa warabu hao wee mnawarejesha warabu hao, watafanya hivi na vile,wapi leo ukweli umedhihiri .Mmungu ampe nguvu kikwete afunge mkataba huo.wananchi wa maeneo hayo wapate maisha bora ambayo siku zote yamekuwa ni ndoto kwao.
 
Jakaya Mrisho Kikwete, ardhi ni mtaji uliobakia nao. Watu siku zote watataka chakula, madini, na malazi. Ni kweli saudi arabia watakuja na mtaji, lakini kwa sababu ardhi unayo, lazima uwe na kiburi cha kubagani! Usiwe na haraka! Tumeshazoea umasikini, lakini hatutaki kuona watoto wetu wanabadilika kuwa manamba kwenye ardhi yao.

Vuta pumzi baba, ivute ndani kweli, ili ubongo upate hewa na ufikiri vizuri. Kwanza tengeneza mpango wa kilimo wa nchi yako. Amua nini unachotaka kuzalisha, nini dhana gani za uzalishaji utahitaji, nguvu kazi iko wapi na soko liko wapi. Kaa chini baba, fanya upembuzi, tanzania wanaweza kuchangia kiasi gani katika huo mpango, upungufu uko wapi, ndio utafute wawekezaji. Kutuletea wawekezaji kwenye kilimo wakati hunampango wa kina ni kuiua sekta ya kilimo ambayo imeshakufa. Wawekezaji waje, lakini kukamilisha mpango wako wa kilimo tu.

Hiyo hadithi ya kudodisha ardhi miaka 99, haikupi guso la moyo utakuwa mtu wa ajabu sana!
 
Last edited:
Ningependa kuongezea tu kwamba mchele is becoming the new gold baada ya global food crisis. Sisi tungeelekeza juhudi zetu katika kuongeza kilimo na kuhakikisha kwamba tunalikamata soko hilo la Saudi Arabia. Badala ya kununua mchele kutoka Thailand tukiwekeza kwenye kilimo cha mchele hata miaka miwili ni mingi. Kama ilivyo na madini tutasifiwa tu kuwa Tanzania is a world producer of rice kumbe mashamba yenyewe si mali zetu. I do hope the government thinks this thing over.
 
Jasusi unaota kaka yangu uwo ubavu wa kuwekeza katika kilimo uko wapi? Kwa mpunga tu-mpaka Mwanza kule wanaweza kulima na wakaupata. Sikwambii kwenye yale mabonde yenyewe asilia. Sasa hizi ndio hazina za Tanganyika zipo bwerere-na wasikodolee macho mafuta ya Zenj tu.
 
Natumaini serikali haitaingia nao mikataba ya kijinga isyokuwa na tija kwa nchi kama ile ya madini.
Wasiwasi wangu mkubwa ni jinsi gani mkulima mtanzania makini ataweza kufaidika na uwekezaji huo.

Kama kweli shida yao ni chakula cha kutosha kwanini sisi kama nchi tukawajengea uwezo wakulima wetu ili hicho tutakacho zalisha tuwauzie wao?

2. Kama uwezo wa kiuutalamu kwa watu wetu ni mdogo kwenye kilimo kikubwa basi iwe ni joint venture kati yetu na wao ili dhana ya maisha bora ianze kuonekana kwa mkulima wa kawaida wa mpunga kule kijiji cha Kitanda, Wilaya ya Namtumbo songea, Rufiji, mbeya nk.
 
Serikali itupe huo mpango wake wa kilimo! Wakulima wanalima mchele lukiki, na wanachi wakula kwa kumwaga! wapi umeenda ukakuta mchele adimu. Bibi yangu anamajariba kibao, akivuja maguni 150 kwa msimu. Hii hadithi hatuwezi kulima inatokea wapi. Ni wimbo wa nani! Wendawazimu huu kabisa.

Hata mimi naweza kwenda kulima, nimelima zaidi ya mara 10 kuchangisha ada yangu ya shule. Nanilivuna, nikale, nikalipa ada, na kufeel proud. Eti leo, raisi alete wakulima wampunga kwamba hatuwezi kuitumia ardhi yet! Nonsense! Atuambie soko liko wapi, hao warabu wanataka nini kwa viwango vipi, kama hatutawe kulima! Na serikali ijitayarishe kufanya processing and packaging.
 
Kent Mensah, AfricaNews editor in Accra, Ghana
The global food crisis which sent rice prices above $1000 per tonne last year is an opportunity for African countries to better their economies, the Deputy Director-General of Africa Rice Center (WARDA), Dr. Marco Wopereis has said.
mail

“The price crisis has actually made rice farming profitable for farmers,” he said at a media conference after the opening of the annual planning meeting on Stress-Tolerant Rice for poor farmers in Africa and South Asia (STRASA), in Ibadan, Nigeria.

A press statement to AfricaNews from WARDA said last year, global food price hikes sparked riots in different parts of the world as food stuff touched record highs. Worst affected were developing nations that depend on food imports to meet their demands.

Wopereis said though prices subsided, the threats have not gone away. Currently, rice prices are trading at about $400 per tonne, but high prices are expected to remain for the next decade or two, according to forecasts.

The statement said “despite Africa’s favorable climate conditions, records in 2006 from WARDA show that sub-Saharan Africa for instance imports around 40 percent of rice, costing about $2 billion.” Most of these imports come from Asia which is being affected by the negative effects of climatic change that has resulted in dwindling water reserves.

“It therefore means that supply from Asia in the future may not be guaranteed,” Wopereis said as he called on African nations to take action in order to become self-sufficient in rice production. According to him, there was a need for African governments to invest more in research, adding that WARDA and its partners will continue to offer solutions that will improve yields on farmers’ fields.

He described STRASA as a strategic partnership in rice research aimed at addressing the constraints faced by rice farmers in Africa by tapping technologies from Asian countries.
Funded by a grant from the Bill & Melinda Gates Foundation to the International Rice Research Institute (IRRI), the STRASA project involves international researchers from IRRI and the Africa Rice Center as well as partners from national agricultural research institutes, government extension and civil society groups in 15 countries.

The project focuses on the major rain fed ecosystems in sub-Saharan Africa and South Asia. It aims to accelerate the development and delivery of improved rice varieties that are tolerant of five major stresses – drought, submergence, salinity, iron toxicity and low temperature.

An important thrust of the project is to enhance the capacity in national research and technology transfer systems for sustained rice improvement efforts. Africa Rice Center is IRRI’s main partner in implementing the African component of this project. The project member countries in Africa comprise Benin , Burkina Faso , The Gambia, Ghana , Guinea , Mali , Nigeria and Senegal in West Africa as well as Ethiopia , Madagascar , Mozambique , Rwanda , Liberia , Tanzania and Uganda in eastern and southern Africa.
 
I agree with you. Wadanganyika watakua macampensinos tu! 1.2 Million acres for the big gold chain JK got from the Saudi Despot. Kaaz kwelikweli...
Ahh! yaleX2 ya Chifu Rwebengura,alipewa peremende/lawalawa naye akagawa Ardhi. Everything is possible in Tanzania.
 
we just need a leader who can believe for once change in this country is possible. Who believes people are transforming their lives and all the state needs to do is to provide leadership that all.
 
Hecta 500,000 is a huge land...that is over 1.2 mil acres kwa sie tuliozea kupima miguu 70 kwa 70..!!

Mimi naunga mkono hili wazo...tunahitaji wawekezaji kama hawa kuja kutuamsha Watanzania. Ni jukumu letu kuhakikisha wakija "TUNAWATUMIA VEMA" na sio wao wanatutumia sisi...mradi kama huu ukiwekwa vizuri utainua sana hali ya maisha ya Watanzania vijijini. Zitajengwa barabara, reli, zahanati, mashule, police posts n.k

Enyi Wazalendo mliopo kwenye idara mbali mbali zinazohusika jifunzeni makosa yaliyofanyika kwenye mikataba ya madini...Hecta nusu milioni kwa miaka 99 sio kitu kidogo. Ikiwezekana mradi huu umalize kabisa tatizo la chakula Tanzania japo kwa miaka 99..!!

Itakuwa maajabu sana sisi tulioshindwa hata kujizalishia chakula cha kutosha wenyewe, tuwe na uwezo wa kuwadhibiti wenye ujanja wa kuzalisha chakula nje ya nchi yao kwa ajili ya wananchi wao
 
Ni muda wa kutoka kwenye malalamiko kuelekea kuhamasika(kama mjjk anavosema) nami naongezea na kuelekea kwenye kuchukua hatua. Tumesikia kuhusu mpango huu na nafikiri ni vema tujadili tutanufaika nao vipi? kama una manufaa tukusanye mapendekezo yetu tumwandikie Rais,waziri wa kilimo na chakula,January makamba(ambaye naona ametajwa kwenye mpango huu) na wahusika wengine kuhusu maoni yetu kama wananchi(wanaJF) halafu tuone watafanya nini?
 
Kitu cha kwanza kabisa kumwambia January Makamba ni kwamba aache kuropoka. yeye kama mtu aliyesoma "Conflict Resolution" anajua sana kuhusu the egos of nations na kauli yake kuhusu "tusije kuwa kama Nigeria wenye mafuta lakini misururu ya mafuta haiishi" ilikuwa at best unfortunate, kwa sababu kwanza ina imply kwamba hatuko hivyo, which is not the case (ignorant and or uninformed) pili it is unnecessarily explosive.

Huwezi kufanya kitu cha maana na watu wa caliber hii ya January Makamba na muungwana wakituwakilisha.

Ukimsoma muungwana utaona anakaribisha watu na kutoa kauli zilizo uneiquivical wakati hivi ni vitu vya negotiations.Kama mambo ya Carl Peters na Sultani wa Mangungo yanajirudia all over again.Only difference this time tunawafuata wenyewe!
 
Last edited:
Ndugu Yebo Yebo ninatofoutiana kimawazo nawe. Ndugu Jasusi heshima mbele kwa kuona ukweli ulivyo. Nafikiri hukuitaji kutoa mifano ya mbali ya Guatemala. Tembelea Kenya uone nani anafaidika na miradi mikubwa ya mashamba yanayomilikiwa na makabaila huko. Sio wakenya!!. Njoo kwetu Tz. Nenda arusha uone ni mtanzania yupi atasema anafaidi kitu gani cha maana na mashamba ya maua (Flower industry). Mabinti wetu wanaofanya kazi katika mashamba hayo licha ya mishahara midogo wanaadhirika vibaya kiafya kwa kemikali zitumikazo katika urutubishaji wa maua hiyo. Nani anafaidika na miradi ya waarabu ya wanyama huko loliondo? Wanyama wetu wataendelea kutoweka pole pole mpaka siku itafika watanzania tutabidi kwenda United Arab Emirates kufanya utallii. Huko nyuma nilitembelea Naberera iliyokuwa kwenye wilaya ya kiteto wakati huo, sasa ni Wilaya ya Simanjiro na kujionea mashamba makubwa ya Maharagwe yanayolimwa na kampuni za kiholanzi. Wana magodown huko arusha, maharagwe yote bora yanasafirishwa nje ya nchi.Data za karibuni sina. Angalia pia sekta ya madini kama shamba, je tunaweza kujivunia kikweli kuwa madini inatusaidia zaidi ya hao wawekezaji?
Waarabu wakija hakuna jipya. Watanzania watakosa ardhi yao, watabaki vijibarua tu. Sekta ya Ardhi ikivamiwa tena na wawekezaji Tanzania itaingia kwenye nyayo ya zimbabwe. It is a time-bomb on the making.
 
Tanzania tumekuwa vichwa vya wendawazimu...

Tuna watalaam kibao wa kilimo ambao tumeshindwa kuwatumia kwa kilimo...
Tumeshindwa kufanya commercial agriculture na tusifikiri hata siku moja kwa tutanufaika kwa kupewa chakula cha chee na Waarabu hao...
Jirani zetu wa kenya wanajua hili maana wasaudia waliomba ardhi kama hiyo mwanzoni mwa mwaka huu wakati kenya ilipokuwa inawaomba mkopo wa dola kama Bil1 hivi kwa ujenzi wa bandari huko mombasa nao wao wakenya wakastukia dili...

Sasa inaonekana kwamba Mbwa kamtupia fisi fupa lililomshinda...

Sera yetu ya ardhi inasemwa mwananchi wa kawaida ana lease ardhi kwa miaka 33 na ku-renew, sasa iweje hao jamaa wapewe miaka 99...

Waitumie hadi mtoto Mtanzania aliyezaliwa leo azae na kujifungua wajuu zake... hivi atawalithisha nini?

Kikwete amuka amuka kaka toka usingizini, fikiria nini hao waraabu wanachotaka kufanya sisi kama Tanzania hatuwezi kukifanya... Kwa nini basi serikali isianzishe kampuni lake la kilimo ambalo litadhalisha katika hizo hecta 500 000 kwa miaka 99 kwa faida ya watanzania wote? Kama hatuna technologia , kwa nini basi tusinunue toka kampuni kama Kubota Japan ambao wao ni mabingwa kwa kilimo cha mpunga? au kwa nini basi tusikodishe kampuni yeyote ile ya kilimo ili ilimie kwa niaba ya serikali na wananchi wetu?

Sikubaliani mara mia zidishwa laki tano na 99 kwa hao waarabu kupewa ardhi hiyo wanayoinyemelea....

wakipewa, sisi Tanzania Kwisha Kazi..., Tutaanza kuwa kama Zimbabwe ndani ya miaka 40 tangu wapewe...

Akina January Makamba, kama ardhi hiyo ikigawiwa kwa hao waarabu , basi sisi watanzania tutajua kwamba domo lenu halikutoa ushauri nasaha kwa huyo bosi wenu Kikwete, bali lilishibishwa tende za waarabu na kulicheza ngoma ya uajemini...

Tunabiga kelele kila siku kuhusu sera ya ardhi katika East africa, na wakija hao Waarabu tunawaoneshwa kwamba iawezekana....

Ni ajabu sana hawa viongozi...

Please step down for and let other Competent Tanzanian take the lead... Kwa nini safari ambazo hazina maana? Yaani mtu anakualika kwakwe ili akuombe... hii ni akili kweli?

Do the Math Why Saud Investors: Hizi Shule zetu bomu kabisa, hazifundishi mtu kujitegemea zinafundisha kuvaa tai na kupata kamshahara tu, na akipata gari na kajumba ka vyumba 3 basi kwisha kazi, kilichobaki ni kwenda kwa waganga kuloga ili kupanda cheo tu basi. That is how these idiot guys look like (JK/Makamba).

============================
Simple Mathematics
Tractor 500 $40,000.00 $20,000,000.00
Pivot Irrigation 20 $200,000.00 $4,000,000.00
Hanvester 20 $50,000.00 $1,000,000.00
Storage/Godown 10 $500,000.00 $5,000,000.00

Cost $30,000,000.00
# of Hectare Production/h
Rice Price/ton

Two Season Minimum price Total Sales
Tone
5,000,000 20 $400.00 $40,000,000,000.00

Cost
Equipment $30,000,000.00
Labor $5,000,000.00
Fertilizer $10,000,000.00
Misc Ex $10,000,000.00

Total cost $55,000,000.00

Profit $39,945,000,000.00

Govt Budget $7,000,000,000.00

Surplus $32,945,000,000.00
 
serikali wajinga.. They just dont see the value of the land and its potential.. Instead of thinking of how we can first feed ourselves.. They want to get money from the desert people which will buy more SUVs and no tractors while the land is used up.. U cnt be exporting food kiivyo bila kusatisfy ur own demand.. Surplus hamna sasa unatrade nini... Waweke strict terms at least hao Saudis wafanye hizo kazi for 30yrs and watuuzie sisi kwanza a certain percentage for local consumption..sasa miaka 99 si utani huu...
 
Back
Top Bottom