bm21
JF-Expert Member
- May 12, 2008
- 774
- 33
Kujitosheleza kunashindikana kwa sisi wenyewe kushindwa kutumia ardhi nzuri, mabonde na mito kulima na kupata ziada. sasa kuna ubaya gani kama ardhi iliyopo ambayo hatuitumii tukaikodosha kwa watu ambao wana uwezo wa kuitumia vyema, wakafanya umwagiliaji , wakatumia mashine za kisasa kuendeleza kilimo bora na wakavuna chakula kingi kwa ajili yao na pengine kutugaia sisi wenyewe tunaoshindwa kulima? Mpunga Bonde la Mto Rufiji, Mpunga Kilombero, Mpunga hata kule Mwanza pembezoni mwa ziwa unalimika vizuri tu. Tumefikia wapi?
Kuu ni hivi, kufa kufaana. Ningekuwa JK ningewapa mashamba watakayo kwa masharti soko liwe Tanzania. Only supplus ndio iende huko kwao. Nadhani nndio njia pekee yakujihakikishia swala la chakula kama tumeshindwa kucapacitate wazawa kuchukua mashamba hayo