Saudi Arabia: The middle east’s real apartheid state

Kwahiyo kuna utumwa kwa hiari yake?
Of course.
Wewe unapoajiriwa na kutumwa km punda masaa 24 huoni km hio ni hiari yako? Na unakuta kuacha huo utumwa huwezi kutokana na hali yako duni ya kimaisha. Inabidi uvumilie tu.
Huo ndio tunauita Utumwa wa hiari.

Fikiri kabla ya kuuliza swali mkuu.
 
Ok
 

Naanza kupata picha ya Wasaudia weusi wa Tanzania
 
Subiri tu Donald Trump apate chaka huko Marekani.
 
Kweli ndugu, kutokana na mtoa mada na yale yanayojiri Tanzania, Watanzania ni mafisadi hatari, Watanzania ni majangiri wanaomaliza tembo duniani, Watanzania ni wakwepaji kodi wazuri sana, Watanzania in light of Gambosh , Sumbawanga na kwengineko ni wach..wi wa kutupwa. Yapo mengi ya ku generalize kama kweli watu wanataka tu generalize tabia za wachache ziwe representative ya tabia za jamii yote kiujumla. Hasty Generalization ni shida wakuu, na limekuwa blindy likifanyika dhidi ya Uislam, waislamu, Waarabu. Jamani si kila muarabu ni muislamu, na si kila muislamu anafuata mafundisho ya Uislam, si kila Msaudi hata awe ni mfalme na akajinasibisha na uislamu basi akatenda jambo lionekane ndio sheria ya usilamu. Haya mleta mada unasema under the pressure of President Kenedy Saudia wali abolish slave trade in 1962. Mie nitakwambia uislamu uli abolish slave trade and slavery 1400 years ago. So don't compare the two, by the way njooni madrassa tuwafunze Quran na hadith muielewe.
 
WAARABU WANATENGWA CAUSE NI WATU WA KUJILIPUA SANA. PANDA ANY NDEGE THEN AINGIE MTU MWENYE MIDEVU UONE ABIRIA WANAVYOKOSA AMAN. KUWATETEA WAARAB UNAPASWA UWE NA MAPEPO KMA MTUHUMIWA SAW. uliza hta wachezaj walioenda cheza mech uarabun...watakwambia waarabu ni MAPEPO/MASHETANI/WANYAMA n.k uliza tu simba,yanga au taifa stars. wapalestina wapigwe tu kma wanawaua wananch wasio na hatia. na wayahudi pia kma wataua wananch wasio na hatia ni kosa. by the way sitetei wayahud, mi nasema ukweli.
Maana kuna wasaudi arabai weusi kuliko mimi hawa ukimtaja muarabu tu wanaanza kutoka na mapovu wakiwa wamepagawa mapepo.majini yote subihan,zuena,asha,makata n.k so akili za kibinadamu huwatoka.
wazungu wapo wanabagua maana si malaika, kama walivyo waafrika wanaobagua.....lakini tunazungumza kama kuna race yenye ukatili duniani ni ya KIARABU. hii huua hata wenzao kwa mabomu kwa sasabu tu ya tofaut ndogo ya kiimani. nenda syria,libya,somalia,iraq,egypt kwa sasa ujionee yanayowasibu ndugu zaetu wa huko. anyaway kama mtu anaahidiwa KWENDA AHERA NA KUPEWA WANAWAKE 60 WANAWALI KAMA ZAWADI ngoja awah tu kwenda but mbaya anapochukua na wengine ambao hawataki kwenda huko. na huwa najiuliza wanaume wameahidia wanawake 60 wanawali na je wanawake wao watapewa nini? wanaume 60? mashababi? aaah hii miarabu inawekeza kwenye ngono tu na umwagaji damu.
nawaombea amani ndugu zangu wa kiarabu ambao wao hawana hamu ya umwagaji damu,ukatili n.k nina two friends wamekimbia egypt wanasimulia ni hatari kwa yanayotokea huko. nina rafiki from yemen anazungumza yake pia ...i work with them. they are muslims but not so "good" muslims coz wao wanapinga mambo kadhaa ambayo wanasema ni ya kishetani kabisa.

MADRASA NIMESOMA na Mwalimu wangu alikuwa ustaadhi shabani magombelo nimekulia ILALA ukitaka tuzungumzie quran au biblia nipo tayari kabisa . tuombe tu ukumbi. marehemu babu yangu kanifundisha sana uislamu coz alikuwa muislamu pamoja na mama yangu. nimeiona nuru. nawaheshimu waislamu na my girlfriend ni muislamu hasa chotara toka zanzibar .ndiye aliyeniita mimi GUDUME. ana sababu zake .





 
waarabu ni MAPEPO/MASHETANI/WANYAMA .

Waarabu hao hao wameingia mkataba na serikali yako ya kuwajengea Bandari bagamoyo na ndio watoa ajira wakuu hapo nchini.
Na bidhaa zao unakula wewe na wazazi wako mpk leo.

Km ni mashetani usile wala kuajiriwa na wao na mafuta yao usinunue tembea kwa miguu km una jeuri.
Bata mzinga.
 
ha ha ha..... hii bandari ya bagamoyo ni dili alilokula mtu mmoja miaka hiyo akiwa kiongozi na aliona hawa ni watu ambao angewza kushare nao vizuri. hayo mafuta yao yasingekuwa na maana kama kusingekuwa na magari yaliyotengenezwa na Mzungu, na usisahau mashine wanazotumia pia hawakutengeneza wao. kiuhalisia hujui kuwa hakuna ambacho mwarabu ametengenza kinachotumika duniani. mafuta waliyakuta ardhin kma ambavyo tanzania kuna dhahabu,tanzanite n.k hatukuviumba sisi.
 
We cheka cheka tu lkn waarabu huwezi kuwaepuka.
Wewe na ukoo wako mzima.
Mpk mkate wa mwarabu unakula.
Siku yako huwezi imaliza bila kugusa cha mwarabu basi roho korosho ya kimaskini tu inakupa tabu.

Ukafiri kitu kibaya sana .
Dah...
 
Waarabu walikaa kwa wingi sana Tabora,Morogoro,Iringa,Songea,Shinyanga,mbona huko hakuna mashoga.Na hata Tanga,Mtwara,Lindi hakuna mashoga kama unavyodhania wewe.Miji iliyoathirika kwa ushoga ni Zanzibar ambako hakuna warabu,waarabu waliishi Pemba,Zanzibar kulikuwa na Wazungu wengi ,wareno na waingereza,na Mombasa mpaka leo waarabu ni wa kuwahesabu,wengi ni machotora wanaotokana na Wareno kwa kuoana na wenyeji waafrika,ndio nyinyi mwawaitwa warabu kwa kukosa elimu,ambapo huko9 Mombasa wanaitwa Wagunya,kwa Lugha ya kimvita kwa maana ya ya Mgunya ni 'Wakuja'.Hawa machotara wa Kireno ndio wengi ni mashoga,ukiwaona utafikiri waarabu.
 
KIKWAJUNI KAMA HUYAJUI HAYA UNGENYAMAZA. asilimia 999 ya wakazi wa zanzibar ni watu gani ? tanga,mtwara,lindi, tabora pia imo nliisahau tu . ni maeneo ambayo nimeishi. nayafaham sana na ndo mara ya kwanza mimi kuwafahamu mashoga hivi kwa macho kutoka mikoa hiyo na si hicyo tu mpaka kumsikia shoga akijinasibu kabisa. ni mikoa hiyo. Mombasa hukutaja. Iringa hakuna athari za kiarabu kama mikoa hiyo. shinyanga kuna sehemu na sehemunpia kama ilivyo Kigoma ukienda maeneo ya Ujiji n.k
nimetembea na kukaa asilimia 94 ya mikoa ya tanzania. kasoro mara na unguja nadhani. nimeona ninachozungumza. nakifahamu. nimezunguka huko kikazi na pia kifamilia. nafaham nazungumza nini. hivi sasa nafanya kazi kampuni ya kiarabu. najua watoto wa mwenye kampuni wanavyowafanya baadhi ya wafanya kazi wa kiume na kuwapa pesa nyingi sana. so sibahatishi. lakini nenda kinondoni na ilala. nimekulia ilala. nmeishi kinondoni mwka na nusu. ushoga mkubwa unafanyika huko. sisemi kuwa hakuna wanaojiita wakristo mashoga..sipend uongo. wapo lakini nachosema tofaut ya wazungu na waarabu ni kuwa wazungu wao wanaamini katika kujiweka wazi wakati waarabu wanaamini katika unafiki. ila tunajua ndio wanaoongoza kwa kuwaingilia kinyume na maumbile wanawake na pia wanaume. na hili naweza ku prove kwako.




 
mkate gan wa marabu we unakula unaamini nami nakula? but pia hata ungekuwepo sidhan kama kwangu ni tatizo. mi sina tatizo na mwarabu mwema. kama ambavyo sina tatizo na mzungu mwema. umaskini labda unao wewe maana mimi hata sifaham unazungumzia umaskin gani ikiwa najiweza na maisha yangu yapo vizuri napata ninacho taka. sasa wewe tajiri wa kiarabu nambie una nini?

mara ya mwisho umeenda urabuni ni lini?na wat did they do to yu? mbona unawatetea sana ingawa wao wanakubali mambo kadhaa? mimi mwafrika,mtanzania.



We cheka cheka tu lkn waarabu huwezi kuwaepuka.
Wewe na ukoo wako mzima.
Mpk mkate wa mwarabu unakula.
Siku yako huwezi imaliza bila kugusa cha mwarabu basi roho korosho ya kimaskini tu inakupa tabu.

Ukafiri kitu kibaya sana .
Dah...
 
Kafiri mara zote wanakuwa na Sura mbilli.
And when you want to use your masters language use it properly nincompoop.
 
Tatizo letu watanzania tunashindwa kumtofautisha mwarabu na asiyemuarabu,kila chotara tunamuona,tunasema muarabu,wakati anaweza kuwa chotara wa kizungu,ambaye amezalika mababu na mababu,kizazi hiki kikiendelea,utasema ni waarabu,maana chotara wa kizungu anabadilika na kushabihiana na uwarabu,na ikiwa mzungu alizaa na na mabibi au mababu waislamu,kwa mfano Obama angebaki na upande wa babake waislamu,Kenya,angeonekana ni muarabu.
Mji uliokuwa na vizazi vya kiarabu 75% ni Pemba ,mbona hakuna mashoga?Ila Unguja yenye mchanganyiko wa damu mbalimbali ndio upo ushoga.Tofautisha Unguja na Pemba.Waarabu wengi waliishi Pemba na kuzaliana na wenyeji pale,ndio hawa wanaoitwa machotora sasa.
Pangani,Bagamoyo,Saadani,Handeni, maeneo yote ya mashamba ya katani walifunguwa biashara ya maduka,paliishi waarabu kwa 78%,kote huko lakini hakuna mashoga,kwasababu maeneo hayo hawakuwahi kukanyaga wareno,huwezi kupata mashoga.
Na ukweli uliopo ushoga uko mjini katika maeneo yenye ushoga,mwarabu alipokuja aliishi mashamba,kutokanana biashara,mijini waliishi wazungu na wahindi,ndio maana ukaona waarabu machotara wanapatikana kwa wingi kutokana na mwiingiliano wa kuoana na wenyeji.
Maeneo kama Handeni,ambako 99.99 ya wakazi wake ni waislamu hakuna ushoga,Maeneo ya Bagamoyo,Mkoa wa Pwani 90% ni waislamu,hakuna ushoga.Tabora,Kigoma,Pemba,Pangani,Tanga waarabu hawakuishi mjini waliishi mashabani,kwenye mashamba ya mkonge,hakuna ushoga huko wala haujulikani.Na 99.5% ya wakazi wa Lushoto,ni waislamu ,na waarabu waaliishi hakuna ushoga.
Nimekupa ushahidi wa miji na dini ya uislamu,kwa sababu muarabu ndiye aliyeleta uislamu
Ushoga ni tabia ya mtu binafsi,haihusiani na kabila wala dini ya mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…