Saudi Arabia: The middle east’s real apartheid state

Saudi Arabia: The middle east’s real apartheid state

Hizo ndiozo dalili zenu za kuchanganyikiwa!! Mungu wako mie naamini ni shetani , Lusifa! Sasa usinchanganye sifa za Mungu wako na Mungu wa Dini zingine lazima mjitahidi kupenda dini zenu na kuziamini kuwa zinajitosheleza!
Una haki ya kusema utakalo lkn Huwezi kukataa maana halisi ya USHIRIKINA.
Yesu hakuwa MSHIRIKINA wala Hakuabudu mtu wala hakusema Yeye ni Mungu.

Nakupa maneno hapa km Una busara huenda yakakufaa.

MUNGU ANASEMA.

QURAAN 3:64.

قُلْ يَا أَهْلَ الْكِتَابِ تَعَالَوْا إِلَىٰ كَلِمَةٍ سَوَاءٍ بَيْنَنَا وَبَيْنَكُمْ أَلَّا نَعْبُدَ إِلَّا اللَّهَ وَلَا نُشْرِكَ بِهِ شَيْئًا وَلَا يَتَّخِذَ بَعْضُنَا بَعْضًا أَرْبَابًا مِنْ دُونِ اللَّهِ ۚ فَإِنْ تَوَلَّوْا فَقُولُوا اشْهَدُوا بِأَنَّا مُسْلِمُونَ

Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Njooni kwenye neno lilio sawa baina yetu na nyinyi: Ya kwamba tusimuabudu yeyote ila Mwenyezi Mungu, wala tusimshirikishe na chochote; wala tusifanyane sisi kwa sisi kuwa Waola Walezi badala ya Mwenyezi Mungu. Na wakigeuka basi semeni: Shuhudieni ya kwamba sisi ni Waislamu.

NA wewe UKIENDELEA Kumshirikisha MUNGU mimi jibu ni kuwa :"MIMI NI MUISLAMU"
Na SIMSHIRIKISHI MUNGU MKUU NA KITU CHOCHOTE.

Ahsante
 
Sema usemayo mie najua na ongea na mtu anaeabudu shetani!! Hawezi kunilaghai !!
 
Sema usemayo mie najua na ongea na mtu anaeabudu shetani!! Hawezi kunilaghai !!
Nikisha kulaghai nani ananilipa?
Unapoandika vitu hapa jaribu kufikiri japo kidogo.
Mimi sikujui wala hunijui nikulaghai kwani nimetaka pesa zako km Gwajima?

We ziba maskio na macho lkn Ukifa hali ya kuwa ni MSHIRIKINA (muabudu mtu na mapicha) basi Moto WA JAHANNAMU ndio yatakuwa makazi yako.
 
Sema usemayo mie najua na ongea na mtu anaeabudu shetani!! Hawezi kunilaghai !!
Haya maneno unayosema wewe hata Makafiri waliotangulia walisema haya haya pale walipoambiwa WAACHE IBADA YA MASANAMU.

MSIKILIZE MUNGU ANASEMA NINI HAPA.
Quraan 37:36

وَيَقُولُونَ أَئِنَّا لَتَارِكُو آلِهَتِنَا لِشَاعِرٍ مَجْنُونٍ

Na wakisema: Hivyo sisi tuiache miungu yetu kwa ajili ya huyu mtunga mashairi mwendawazimu?

Na Mungu akatoa Onyo hapa ktk.
QURAAN 18:27

وَمَنْ أَظْلَمُ مِمَّنْ ذُكِّرَ بِآيَاتِ رَبِّهِ فَأَعْرَضَ عَنْهَا وَنَسِيَ مَا قَدَّمَتْ يَدَاهُ ۚ إِنَّا جَعَلْنَا عَلَىٰ قُلُوبِهِمْ أَكِنَّةً أَنْ يَفْقَهُوهُ وَفِي آذَانِهِمْ وَقْرًا ۖ وَإِنْ تَدْعُهُمْ إِلَى الْهُدَىٰ فَلَنْ يَهْتَدُوا إِذًا أَبَدًا

Na ni nani dhaalimu mkubwa zaidi kuliko yule anaye kumbushwa Ishara za Mola wake Mlezi, naye akazipuuza na akasahau yaliyo tangulizwa na mikono yake? Hakika Sisi tumeweka vifuniko juu ya nyoyo zao ili wasifahamu, na uziwi kwenye masikio yao. Na ukiwaita kwenye uwongofu hawakubali kabisa kuongoka

Na Mtume NUHU (NOAH) Aliwaambia watu wake hivi.

وَاتْلُ عَلَيْهِمْ نَبَأَ نُوحٍ إِذْ قَالَ لِقَوْمِهِ يَا قَوْمِ إِنْ كَانَ كَبُرَ عَلَيْكُمْ مَقَامِي وَتَذْكِيرِي بِآيَاتِ اللَّهِ فَعَلَى اللَّهِ تَوَكَّلْتُ فَأَجْمِعُوا أَمْرَكُمْ وَشُرَكَاءَكُمْ ثُمَّ لَا يَكُنْ أَمْرُكُمْ عَلَيْكُمْ غُمَّةً ثُمَّ اقْضُوا إِلَيَّ وَلَا تُنْظِرُونِ

Wasomee khabari za Nuhu alipo waambia watu wake: Enyi watu wangu! Ikiwa kukaa kwangu nanyi na kukumbusha kwangu kwa Ishara za Mwenyezi Mungu kunakutieni mashaka basi mimi namtegemea Mwenyezi Mungu. Nanyi tengezeni mambo yenu pamoja na washirika wenu, na wala mambo yenu yasifichikane kwenu. Kisha nihukumuni, wala msinipe muhula.

فَإِنْ تَوَلَّيْتُمْ فَمَا سَأَلْتُكُمْ مِنْ أَجْرٍ ۖ إِنْ أَجْرِيَ إِلَّا عَلَى اللَّهِ ۖ وَأُمِرْتُ أَنْ أَكُونَ مِنَ الْمُسْلِمِينَ

Lakini mkigeuka, basi mimi sikukuombeni ujira. Ujira wangu hauko ila kwa Mwenyezi Mungu. Na nimeamrishwa niwe miongoni mwa Waislamu.

Na Mwisho MUNGU ANASEMA Kitakacho wakuta MAKAFIRI wanao MSHIRIKISHA ktk Uungu wake.

Quraan 3:91

إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا وَمَاتُوا وَهُمْ كُفَّارٌ فَلَنْ يُقْبَلَ مِنْ أَحَدِهِمْ مِلْءُ الْأَرْضِ ذَهَبًا وَلَوِ افْتَدَىٰ بِهِ ۗ أُولَٰئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ أَلِيمٌ وَمَا لَهُمْ مِنْ نَاصِرِينَ

Hakika wale walio kufuru, na wakafa hali ni makafiri haitakubaliwa kutoka kwa yeyote wao fidia ya dhahabu ya kujaza dunia nzima lau wangeli itoa. Hao watapata adhabu chungu, wala hawatakuwa na wa kuwanusuru.

OLE WAKO UFE KAFIRI.
 
Nikisha kulaghai nani ananilipa?
Unapoandika vitu hapa jaribu kufikiri japo kidogo.
Mimi sikujui wala hunijui nikulaghai kwani nimetaka pesa zako km Gwajima?

We ziba maskio na macho lkn Ukifa hali ya kuwa ni MSHIRIKINA (muabudu mtu na mapicha) basi Moto WA JAHANNAMU ndio yatakuwa makazi yako.
Hizo zote ni hila za mwovu shetani!! Potelea jahanam !!!
 
Kuna dada zetu wanne kutoka Tanga walirudi na majeraha ya kutosha kwa kuchomwa na pasi huko huko Saudia.
UBALOZI WA TANZANIA NCHINI SAUDIA UNA TAARIFA HIZI.
UKISIKIA DADA YAKO ANAKWENDA SAUDIA BASI JUA KUWA INAWEZEKANA ATAKUTANA NA MADHIRA YA KUTISHA
 
Dada wanne wote wamechomwa na Pasi!
Teh teh teh teh.
We hata kudanganya hujui. Umepokea habari mitaani unaleta hapa bila kufikiri.

Yaani kina dada WANNE na wote Walipewa adhabu ya Kuchomwa na Pasi.
Yaani Huyu bosi wao ktk Adhabu zoote ye kaona pasi tu? Halafu hao wote wanne walifanya kazi sehemu moja na Ikatokea WOTE WAMEFANYA KOSA na WOTE WAKACHOMWA PASI.!!
Duh......
Hata hadithi ya abunuas haiko hivi.
 
Na wewe hili likifanyika Roho inakuuma sana Au sio?

Nyie wakristo sijui lini mtaacha chuki kwa Waislamu.
Sio wakristo hawa bro hawa ni wafuasi weusi wa Yehuda alolaaniwa kwa kumpinga Mtume Musa na baadae wakampeleka Yesu kwa Pilato kwa amri ya Mabwana zao Mafarisayo, hawa ndio wale Mwenyezi Mungu aliwaambia "Kuunu Kiradatan Khashiyin" wa the modern times.
Yaani hata hayo mema waliondikiwa ndani ya Biblia wanayapinga si unaona wanavyo peperusha bendera za mafarisayo kwenye mahubiri na magari yao mjini. Kuna uzi umefunguliwa jamaa wanajisifia Uzayuni. Dah yule padri mweusi kule hakukosea.

Might is not right
 
Kwani Faiza nini matumaini yako baada ya uzima huu? Baada ya kuondoka duniani unategemea nini wewe? kahtaan yeye itakuwa kazi moja tu, bikra 70 zikimchanulia daima dumu; bikra ambazo haziishi ladha bali utamu huongezeka kadri muda unavyokwenda. Hajjat Faiza tujuze na wewe utafaidi nini baada ya masumbufu na taabu za dunia hii? Au ndio unaenda kuwa asusa ya akina kahtaan na ritz wanakusanifu tu hapa.
 
Jina lako na Akili yako vinakwenda Sambasamba.

Makafiri mlivyo wapumbavu akili zenu mnadhani waislamu wanafanya ibada kwa kutafuta wanawake wa peponi mkisahau kuwa Sisi Tumepewa RUKSA ya KUOA wake wanne Hapa hapa Duniani na Hili kwa mwanamme yyt ni Tosha kabisa kuondoa Tamaa na Fikra za Ngono zaidi.

Wenye Shida ni Nyie ambao mnajifanya Kumuiga Yesu.
Matokeo yake mnabaka na kulawiti ovyo.
Wengi wenu Ndoa za Jinsia Moja ndio Zimepamba moto Makanisani DUNIA HAIJAPATA KUONA.
Kesi hizi zinawaandama wengi wenu

Wagalatia Wengine kwa kumuiga Yesu yuko Kenge Mmoja hapo Nigeria Eti Kamuiga Yesu KUTEMBEA kwenye Maji. MATOKEO YAKE KAZAMA km Titanic.
Teh teh teh teh.

Miaka ya late 20s Mamia ya MAPADRI walikata madushelele yao huko Ulaya ati Hawataki Kupata hamu ya Mwanamke lkn Wapi!
Kubaka mnaendelea kila Kona ya Dunia.

Oeni nyie wagalatia kabla hamjamalizana. Mtabaka mpk Bata.

Mi nikiona mgalatia karibu ya nyumbani kwangu nafungia Mbuzi wangu na kuku wangu haraka sana.

Mcheki Huyu KIONGOZI WAKO Hapa.

Anadai Alioteshwa na YESU Akaujaze Ulimwengu.

We ndoto hio hujaletewa bado na Roho wa PAPA?

f2d0a329d9b00ffec9ddd7a10694c966.jpg

Kondoo ni Kondoo tu.
 
http://www.churchmilitant.com/mp3/vort-2016-01-11.mp3
HALF OF PRIESTS AND BISHOPS ARE GAY

As much as half of priests and bishops are homosexual.
 
Kuropoka bila elimu kunakuletea aibu wewe na wazee wako mkuu.
Nani alikwambia WAIRANI ni Waarabu?

Teh teh teh teh.
Wagalatia balaa tu.

Yaani Kila anaeishi nchi karibu na waarabu Basi na yeye Mwarabu.

Halafu mkiambiwa vichwa vyenu makamasi mnakuwa wakali na kutoa matusi.
Acha uwongo wewe, maana ya Waleed وليد sio mtumwa maana ya Waleed (ni kuzaliwa).
Daaaaah!!! Kuna jamaa yangu anaitwa Walid na mtoto wake wa mwisho kampa Hilo jina pia....kumbe Lina maana ya mtumwa aliyebadili dini na kuwa Muislamu. Eeeeeh Mola weee!!!!
 
Back
Top Bottom