Saudi Arabia: The middle east’s real apartheid state

Nlivyoiona hii topic tu moja kwa moja nikashuka kwenye comments…
 
Hii mada ingalikuwa nzuri ingaliletwa na hoja iso ajenda ya ukabila na dini. Changamoto yangu na hii mada haina lengo la kuunga mkono vitendo ya serikali ya Saudia na hilo nilitanguliza mwanzo kabisa katika maandishi yangu. Ninachopinga hapa ni stereo typing ya waandishi wanaojipa haki ya kuambatanisha vitendo vya serikali hio na Uislam au Kabila la Waarabu. Na hili ndio limewashika ndugu zetu wengi wa Kikristo katika JF na hata katika jamii.
Kule Hiroshima (Nuclear), Vietnam (Agent Orange), Cambodia ( Killing Fileds) hapo zamani na miaka ya hivi karibuni Intrahamwe wa Ruwanda na Antibalaka (Animists) wa CAR wamefanya ukatili wa Kimbari hatuajona watu kulaani hapa kwa ukabila wa dini. Huu ndio udhaifu wa mtoa mada na wanao endeleza hii ajenda ya udini na ukabila.

Na kusema vitendo vya nchi hizo havihusiani na dini sawa lakini kila kiongozi wa nchi hizi anapoapishwa haapishwi kwa kushikilia Katiba bali Kitabu Kitakatifu ama Biblia au Qur'an au Taurat au Veda. Hatujamwona kiongozi hata mmoja akishilia, mti au mnyama au tunguli kuwa mtiifu na kuilinda katiba na nchi yake.
 
Sawa Mkuu Sasa hao waliyo apishwa baada ya uchaguzi kwa vitabu vyao !! Ndo wanayo haki ya kuwalaza na kuwaanika juani na kunyeshewa mvua watu wa Mkwajuni na Jangwani !!! Huo si ubaguzi wa kibinaadamu!!
wao walale Masaki na Oysterbay na wenzao wajistiri kwa mawingu ya mvua?!!!
 
Nimefurahi kuwa umekubali kuwa kiongozi yeyote anaweza kuvunja haki za binadamu na kuendeleza dhulma na ufisadi dhidi ya wale walichagua na kumweka madarakani. Kwa hiyo hao wafalme waliokuwa absolute katika power watakuwaje? Si vizuri kumuonyesha kidoletu fulani au taifa fulani tu bila kutambuwa kuwa kuna wengine wanafanya nao na pengine mazito yao kuliko mwengine.
 
 
We unafikiri kwa nini wa Iraq,Syria etc wanakimbilia Europe na sio Saudia?
 
Kutoka na kauli ya Mtoa mada sisi waTanZania ni waauwaji na makatili wakubwa Duniani kwa kuwakatakata na kuwauwa wa Albino.
Watu wengi wana fikiria Uarabu ndio Uislamu.Quraan imeandikwa kwa Lugha ya Mtume Wetu ambaye ni Muarabu.
Waarabu wengi sio waUmini wa DINI ya Kiislam na Wengi ni wakristo na Wayahudi.Nchi za Kiarabu ambazo wa Kristo na Wayahudi Misri,Lebanon,Siria,Jodan na Palestina.
Jamani kabla hamjaandika Utumbo
Someni ELIMU NI BURE
 
London, United Kingdom ·

HUYU ANAONGOZA KATIKA KURA ZA MAONI ZA MGOMBEA URAIS WA USA KUPITIA CHAMA CHAKE CHA REPUBLICAN.
NA WANANCHI WENGI WA MAREKANI WANAMUUNGA MKONO WAKIWEMO WATU WEUSI

Mfanyabiashara na Mgombea Urais wa Marekani 2016 kwa kupitia chama cha Jamhuri (Republicans) Bwana Donald Trump amesema Afrika inahitajika kutawaliwa tena (re colonised). Mara hii ameonyesha ghadhabu zake kwa viongozi wa Afrika ambao kwa mujibu wa Trump, wameshindwa kuongoza na kuwabakisha watu wao kwenye hali mbaya zaidi.

Akiongea jana mjini Nebraska, Trump amesema waafrika ni watumwa wanaoishi kitumwa kwenye ardhi yao wenyewe na bado wanajiita wako huru.

Trump alikuwa akijibu swali la mwandishi wa habari kutoka Afrika ya kusini kama anafikiri viongozi wa kiafrika walikuwa sawa kutaka kutoka mahakama ya kimataifa ya uhalifu ‘The Hague’.

“Ni aibu kwa viongozi wa Afrika kutaka kutoka ICC. Kwa mtazamo wangu, viongozi hawa wa kiafrika wanahitaji uhuru wa kuwakandamiza watu wao maskini bila mtu yeyote kuwauliza maswali.

Nafikiri hamna njia fupi kuelekea kwenye ukomavu na kwa mtazamo wangu, Afrika inatakiwa kutawaliwa tena kwa sababu waafrika bado wapo kwenye ukoloni.
 

Kama alisisitiza upendo kwa nini aliyemsalita,anayeitwa Yuda alikufa kifo kibaya na kumlaani?
Na mpaka leo Yuda anaitwa msaliti,na hapewi heshima yoyote katika dini yake,na wakati alikuwa karibu na Yesu.
 

Mkuu mbona unakimbilia kwenye uislam issue ni saudiArabia sio uislam ni ubaguzi wa waarabu dhidi ya weusi
 
Kama alisisitiza upendo kwa nini aliyemsalita,anayeitwa Yuda alikufa kifo kibaya na kumlaani?
Na mpaka leo Yuda anaitwa msaliti,na hapewi heshima yoyote katika dini yake,na wakati alikuwa karibu na Yesu.



Mkuu Yuda alijinyonga hakuuawa na Yesu hakuagiza auawe na pia usaliti wa Yuda ni utabiri wa biblia ambao lazma ungetimizwa kama tabiri zingine zilivotimizwa
 
Mkuu Yuda alijinyonga hakuuawa na Yesu hakuagiza auawe na pia usaliti wa Yuda ni utabiri wa biblia ambao lazma ungetimizwa kama tabiri zingine zilivotimizwa
Kwa nini amitwe msaliti na mpaka leo anaitwa msaliti,na kulaaniwa?
 
[/QUOTE]

1. Yuda alikufa kifo kibaya aliuawa na nani? maana inawezekana hujui unachokizungumza. nambie wapi Yesu alisababisha kifo cha Yuda? Yesu aliwasamehe waliomtesa na kumuua akasema wasihesabiwe dhambi ile. yaani kama kuna dhambi walifanya ile ya kumtesa na kumuua isihesabiwe maana walikuwa hawajui walitendalo. na huu ni msingi wa ukristo mtu akimtukana kristo watu hawahangaika naye maana wanajua hajui alitendalo.
2. Yuda unataka apewe heshima gani hebu nambie. ambayo unadhan anastahili. kila mtu anakumbukwa kwa matendo yake. yeye anakumbukwa kwa matendo yake na petro au paulo anakumbukwa kwa matendo yake. lakini ni wapi ulisoma kuwa Yuda aliomba msamaha akakataliwa? YUDA ALIFANYA KOSA LINGINE KUBWA LA KUJIUA. mbona Petro alimsaliti Yesu?kumkana na alipogundua kosa aliomba msamaha na akasemehewa? Huu ndo msingi wa ukristo kusameheana.

Kama alisisitiza upendo kwa nini aliyemsalita,anayeitwa Yuda alikufa kifo kibaya na kumlaani?
 
ha ha ha........... anataka yuda aitwe nani? mtu anaitwa jina kutokana na matendo yake. kama ni mtu aliyekuwa anatembea na wanawake waumri mdogo au pasipo idhini zao anataitwa mbakaji, kama alikuwa na wanawake wengi ataitwa malaya, kama alikuwa mporaji, mviziaji,anaiba ataitwa mwizi.kama alikuwa anawakarimu watu ataitwa mkarimu, kama alikuwa anaua watu ataitwa gaidi. so yuda anafaa kuitwa nani ili tumheshimu kwa heshima anayotaka yeye?
maana kumwita msaliti ni heshima yake pia kwa maana thats wat he did.. na hakutaka kuomba msamaha. akajiua


Wewe unataka aitwe jemedari?tatizo lenu mmezidi kkusifia magaidi waonekane wakombozi
 
Dada zetu walioko huko Uarabuni wanapata tabu sana, wakifika kule ni hakuna kutoka nje ni ndani tu na passport hunyang'anywa na kubaki wasijue la kufanya
Kuna dada wawili wako huko nafahamiana nao na huwa tunawasiliana nao yaani huwa nachat nao lkn wanasema kwa kuibia wakikutwa wanachat wananyang'anywa cm.
Kuwa huko ni utumwa kabisa
 
Enzi za zamani kule Uingereza wanawake walikatazwa kuendesha baiskeli au kupanda farasi kwa vile vingewapigisha nyeto

Kupiga marufuku na kubagua watu ni vitu tofauti. Naona hapo ndipo ubongo wako umeishia kufikiri. Asili ya waarabu ni chuki na ulipaji visasi...... Kina Ismael hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…