trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 736
Na ndiyo maana nikaipost hii thread,kwa mawazo mbalimbali kutoka kwa Great Thinkers. Asante kwa input yako,ngoja tuangalie na wengine. Kwenye mambo kama haya kuweka source ya information.unajua kuna vita baridi kati ya Iran na utawala wa kifalme wa saud Arabia... sababu saud Arabia ni rafiki wa USA na Iran ni adui na pia saud Arabia ana wa support watawala wa li Sunni wa Bahrain while Iran ipo upande wa wapinzani wa kishia...
conclusion - since hiyo habari imetoka Iran siiamini...
Thanks for inputs. Now I get the picture. Maybe there is something wrong somewhere.. I believe it is hard to believe to many of us though.. Thanks a lot.
Thanks for the post. There are lot of beggars and homeless people there. And yes, I am talking about Saudis here; not expats in the Kingdom. Homelessness is not something that is widely discussed or publicized but it does exist in the Saudi Arabia. Oftentimes one can go to one of the local Tamimi (Safeway) grocery stores and see a Saudi national (male or female) who may be begging for his or her family. There are also areas in Mecca where groups of homeless Saudis have created tent cities underneath overpasses for they have nowhere else to go.

Source: Press TV [IRAN]
unajua kuna vita baridi kati ya Iran na utawala wa kifalme wa saud Arabia... sababu saud Arabia ni rafiki wa USA na Iran ni adui na pia saud Arabia ana wa support watawala wa li Sunni wa Bahrain while Iran ipo upande wa wapinzani wa kishia...
conclusion - since hiyo habari imetoka Iran siiamini...
Thanks for inputs. Now I get the picture. Maybe there is something wrong somewhere.. I believe it is hard to believe to many of us though.. Thanks a lot.
Thanks for the post. There are lot of beggars and homeless people there. And yes, I am talking about Saudis here; not expats in the Kingdom. Homelessness is not something that is widely discussed or publicized but it does exist in the Saudi Arabia. Oftentimes one can go to one of the local Tamimi (Safeway) grocery stores and see a Saudi national (male or female) who may be begging for his or her family. There are also areas in Mecca where groups of homeless Saudis have created tent cities underneath overpasses for they have nowhere else to go.
Bora iwe hivyo kwa sababu wale waliokuwa wanatoa mafuta machache lakini wakayatumia vizuri kuwahudumia watu, wakawapa kila kitu, mwisho tumeona wakiuawa kikatili na maiti zao kudhalilishwa na hatimaye kuzikwa kwa aibu jangwani. (Qaddaffi). Saudia Arabia itaendelea kuwa nchi ya amani licha ya watu wake kuishi kwa shida. Amani ya nchi hiyo itavurugika tu siku viongozi watakaposema mafuta ya saudia ni kwa ajili ya wasaudia, Kama alivyowahi kusema Qaddaffi mafuta ya Libya ni kwa ajili ya walibya.Jamani nadhani kila mmoja anajua the Biggest Exporter wa Mafuta Duniani ni Saudia. Na kwamba King Abdullah[?] aliwahi kuwa Top Three ya Richest Man of the World nyuma ya Gates, nafikiri na Murdock.
Huwezi kuamini 70% wanaogelea kwenye umasikini kama wa dunia ya tatu! Hawana uhakika wa kula,mavazi na hata pa kulala panasikitisha mno! Imefikia hatua raia wengi kujitumbukiza kwenye biashara haramu ya madawa ya kulevya! Kwa kuwa sheria ni kali unapogundulika unafanya biashara hiyo,kwa sasa wanatumia watoto ambao nao wanachangamkia kutokana na kipato kinachowasaidia wao wenyewe na familia zao! Source: Press TV [IRAN]
Thanks for the post. There are lot of beggars and homeless people there. And yes, I am talking about Saudis here; not expats in the Kingdom. Homelessness is not something that is widely discussed or publicized but it does exist in the Saudi Arabia. Oftentimes one can go to one of the local Tamimi (Safeway) grocery stores and see a Saudi national (male or female) who may be begging for his or her family. There are also areas in Mecca where groups of homeless Saudis have created tent cities underneath overpasses for they have nowhere else to go.
unayosema wewe nikweli tupu hawa wairani ni waongo wakubwa sana pia ni propaganda zao tu,sababu kuu nikuwa saudia nirafiki mkubwa wa usa na iran ni adui mkubwa wa usa,hakuna muuza madawa yakulevya hata 1 ktk saudia ukikamtwa unakatwa kichwa,pia kuhusu umaskini huo niuongo mkubwasanasana,saudia chakula beiyake nikama bure,na mshahara ni mzuri sana,ktk nchi za kiarabu yakwanza kwa maisha bora ni u.a.e ikiwemo dubai,sharjah,abudhabi na ajman nimuungano wa united arab emirates,yapili ni kuwait naya 3 kwaubora wamaisha kwaraia wake ni saudia,hawa wairan ni mabulushi na mashia ndio nduguze narostam niwakuogopa sana kwa uzushi na umafia.unajua kuna vita baridi kati ya Iran na utawala wa kifalme wa saud Arabia... sababu saud Arabia ni rafiki wa USA na Iran ni adui na pia saud Arabia ana wa support watawala wa li Sunni wa Bahrain while Iran ipo upande wa wapinzani wa kishia...