Saudi Arabia mbioni kufilisika

Tanzania itatajirika lini? Madini yetu nayo ipo siku yataisha, funnily hayajawahi kutunufaisha, hiyo gesi pia ina mwisho wake, je itatunufaisha? We are second to none ktk utajiri wa Maliasili, tuna almost kila kitu, unfortunately tuna discuss kufilisika kwa A first world country ambao wana strategies za kuwatoa hapo na kuimarisha uchumi wao, Je sie tuna strategies au tunapiga domo tu?

Long live the Kingdom
 
Hi Hii koment yako inauhusiano na mada tajwa? au chuki zimekujaa?
 
Saudia ina madini aina tofauti,na ni miaka mingi,hawezi kuanguka kiuchumi.

Ni sawa na ndio maana nikasema mafuta huko tuendako sio dili tena. Muhimu awe amewekeza kwenye vichwa vya watu wake kwa ajili kuendeleza maeneo mengine ya kiuchumi badala ya kubweteka na mafuta ambayo thamani yake inashuka kwa kasi. Leo hii Venezuela ndiye giant wa proven oil reserves duniani lakini habweteki na hilo; anaangalia alternatives badala ya kutegemea mafuta pekee.
 
Na hawa pia hawakubweteka,kwa masuwala ya madini,walianza kabla ya mafuta.Kwenye viwanda pia wana viwanda vingi sana.
 
Today,indusrial products make up more than 90 percent of the Kingdom's non oil exports.Saud Arabia exports petrochemicals,plastics,metal goods,constructions materials and electrical appliances to some 90 countries.www.economy watch.com/world_economy/......
 
Mleta mada ni zezeta, Saud Arabia ikope? Shirika moja tu serikali ya Saudia (ARAMCO) ina Cash namba moja ulimwenguni 3 trillion Usd. Mara moja na nusu Uchumi wote wa Uingereza. Saudia pesa zao nyingi hadi haram.
...Unamwita mwenzako zezeta, wakati hutaki kufikirisha kichwa! Soma, acha uvivu!

...Huo wingi wa fedha uko kwenye assets -mali- walizonazo sio cash -liquid assets- kama unavyofikiri. Ndio maana wanachanga fedha za kuweka kwenye bajeti yao. Hata kama wakiwa na cash, kama iko tied up na core operations za Aramco, hawataitumia kwa mambo mengine.

...Ushahidi mwingine wa kuchanga fedha huu hapa. Wanapanga ku float angalau 5% share za Aramco, possibly from downstream operations -read refineries, etc- ili wapate fedha zaidi, nyingine ziende kwenye kumalizia downstream projects walizoanza.

nb: jifunze kuwa mvumilivu na kutafiti kabla hujachangia, kama hauamini kilichoandikwa.
 
Hivi anaye panga bei ya mafuta ni nani kama sio Saud Arabia? Saud Arabia kufilisika ni ndoto. Hio kuidai ku kopa anacheza game ili achukue pesa zake USA ki ulaini kama hamjui. Saud Arabia msikiti wa Makkah peka yake unamuingiza pesa tosha kabisa kila mwaka. Hapo hujagusa Dhahabu alizo nazo. Kumbukeni Saud Arabia akitaka bei ya mafuta iwe 300 itakuwa tu yeye ndio anaye panga deal.
 
Yeye peke yake kupanga bei?? Mmmhhh
 
Wazalishaji wa mafuta duniani wamekuwa wengi kupita kiasi. Nchi ambazo si wanachama wa OPEC walikuwa wanatazitaka nchi za OPEC zishushe uzalishaji ili kupunguza over capacity ya mafuta katika soko la dunia. Wale wa nchi za OPEC wakawaambia hao ambao si wanachama wa OPEC je nanyi mtapunguza uzalishaji wenu hawa wakang'aka kwamba hawatapunguza. Hivi karibuni walikutana wote wale wanachama wa OPEC na wasio wanachama ili kijaribu tena kushusha uzalishaji wao. Iran wakang'aka kwa kudai kwamba wao walikuwa wamewekewa vikwazo vya kiuchumi kwa miaka mingi ikiwemo kutoruhusiwa kuuza mafuta yao katika soko la dunia hivyo wakagoma kushusha uzalishaji wao. Labda watakutana tena hivi karibuni ili kujaribu tena ingawaje hivi karibuni bei ya mafuta katika soko la dunia imeanza kupanda tena.

Hebu fafanua kidogo, kwanini mafuta yanashuka bei?
 
Saudi akifilisika america hatapona! Maana economy ya marekani percent kubwa inategemea Saudi Arabia
 


TATIZO NI MAREKANI KUANGUKA KIUCHUMI, IMEKUWA UCHUMI WOTE WA DUNIA UMEANGUKA:

MNUNUZI MKUU WA MAFUTA YA SAUDI NI USA NA HALI NDIO HII ,AMBAYO INAFICHWA ,

GONGA HAPA The New Face of Hunger
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…