Saudi Arabia mbioni kufilisika

Kwani kikwete kawakosea nini mzee wa watu? Aliwafanya mkaangalia bunge live mpaka wabunge wakawa na hofu ya kusinzia? Mpeni heshima yake bwana
Hata mm namkubali yapo mengi mazuri aliyoyafanya.Lakini pia kasoro zilikiwa nyingi katika uongozi wake
 
Saudi Arabia wana vyanzo vingi vya mapato ni swala la ku-balance tu, kuporomoka kwa Saudi Arabia ujuwe nchi zote za kiarabu zitaporomoka.
 
Nmekuelewa mkuu ila sisi tunaelekea kule wakti wa ibada regardless nani anatawala lile eneo.Point yangu kuu ni kuwa the saudi kingdom sio sehemu ya kuitolea mfano kama utawala wa kiislamu.wale ni madhalimu wa kutupwa afadhali hata ya kikwete

Hilo wala halina ubishi, hawa jamaa ni wadhalimu hawana mfano.
 
Saudia ikiporomoka uchumi italeta shida sana duniani... Kutakua na ugaidi wa hatari sana
 
Mleta mada ni zezeta, Saud Arabia ikope? Shirika moja tu serikali ya Saudia (ARAMCO) ina Cash namba moja ulimwenguni 3 trillion Usd. Mara moja na nusu Uchumi wote wa Uingereza. Saudia pesa zao nyingi hadi haram.
 
Hata uchumi wa Dubai hali ni tete.
Hivi sisi mtikisiko huu wa uchumi kwa nchi hizo za kiarabu utatuathiri vipi?
sisi hatuathiriki,ndo raha kwetu maana tunapata mafuta kwa bei powa,ulaya ndo wataathirika na wakimbizi as waarabu watakimbilia ulaya kutafuta maisha bora,Iran anawakomoa Saudi arabia
 
Hao wakoloni waarabu wa dubai kwa kipindi sasa waliamua kuujenga mji wao wa dubai na kuufanya wa kibiashara hata mtu kuweza kupewa resident permit ili mradi ufanye uwekezaji wowote au ununue apartment, etc.

Hawa machale yaliwacheza na kuamua kuwekeza kwa upande huo.
 
Saudia ina madini aina tofauti,na ni miaka mingi,hawezi kuanguka kiuchumi.
 
Hawaruhusiwi kuendesh magari ila ni mwaka huu ndo wameruhusiwa.pia wanawake wanakeketwa ila sina hakika sana.mwanamke haruhusiwi kuwa na wadhifa wwte ispokuwa ni km mwezi umepita ndo imetokea mwanamke wa kwanza kuwa mbunge
 
Tutaanza kulipia kuhiji sasa kama hii nchi uchumi wake utashuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…