GeniSys101
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,229
- 1,470
Tusijetukaambiwa tu “mabeberu wa nchi za magharibi” ndo wahusika wakuu
Mbona mbona mbona......Yes. Unaowaona weupe wengi huko ni "wakuja" tu, hata ki jiografia inathibitisha hilo.
Kwani haya yanayosemwa humu yametokea ISRAEL?Kwani Israel ni nchi ya kiislam?
sasa ungeshangaa kitu gani kama Saudi ingekuwa ni nchi ya kikristo alafu inafanya mauaji?Kwani haya yanayosemwa humu yametokea ISRAEL?
Unalijua povu au unalitaka niliandike?Huyu nae vipi.....??Hilo povu lote la nn??
We vipi wewe? Nisiihusishe vipi wakati we umeialika dunia ikaandamane Saudia? Ni kweli tunaminywa tusiandamane, lkn ungekuwa Saudia ungethubutu kuanzisha mada 'wanaonitongoza waje hapa' halafu hadi sasa kichwa chako kibakie juu ya shingo?Usiihusishe Tanzania na masuala ya Saudi Arabia.
Jaribu kufanya maandamano Tanzania ujionee cha mtemakuni. Umesahau kesi iliyomlaza Mbowe segerea kwa zaidi ya miezi mitatu ilikuwa ya nini na chanzo chake nini?
Umesahau Wapemba walivyogeuka wakimbizi? Umesahau Mwembechai killings? Umesahau Slaa alivyojifichà kwenye maspika Arusha?
Hakuna mtawala ambae anapenda atolewe tonge mdomoni.
We vipi wewe? Nisiihusishe vipi wakati we umeialika dunia ikaandamane Saudia? Ni kweli tunaminywa tusiandamane, lkn ungekuwa Saudia ungethubutu kuanzisha mada 'wanaonitongoza waje hapa' halafu hadi sasa kichwa chako kibakie juu ya shingo?
Kwa mbali saana!!unaonekana watawala unawasema vibaya kuwa ni wasaka tonge!!!!Mwezi mtukufu huu waombe radhi!!!Usiihusishe Tanzania na masuala ya Saudi Arabia.
Jaribu kufanya maandamano Tanzania ujionee cha mtemakuni. Umesahau kesi iliyomlaza Mbowe segerea kwa zaidi ya miezi mitatu ilikuwa ya nini na chanzo chake nini?
Umesahau Wapemba walivyogeuka wakimbizi? Umesahau Mwembechai killings? Umesahau Slaa alivyojifichà kwenye maspika Arusha?
Hakuna mtawala ambae anapenda atolewe tonge mdomoni.
Nahisi wewe ni kati ya wale wenye misimamo mikali.!!!!!Hiyo mada mbona ni pigo kwa watongozaji, toka nimeiweka ile na toka ninavyowaanika watongozaji sasa pm nyeupeeeee. Hata Saudia mada ile ingepewa tuzo.
Unaingelea kukatanamshingo Saudia unaifananisha na Tanzania watu wanachomwa moto kwa kukwapua simu lakini wanaoteleza na kubaka wanaachwa tu. Hiyo ndiyo unaona haki?
Hakika kwa watu kama wewe Tanzania ina safari ndefu sana ya kwenda.
Saudia huifahamu historia yake wala hufahamu hiyo family Makkah na Madinah walipewa na nani waitawale. Ni udhalim ule ule uliofanya Jerusalem kupewa Wayahudi ndiyo huohuo uliowapa ukoo wa Al Saud Makkkah na Madinah. Si yao ile.
Makkah na Madinah should be independent of any King or Sultan it shoukd be under Islamic Ulamaas. Simple.
Soon they will be out.
KWANZA WEWE MUANDISHI WA HIKI KIJI-HABARI CHAKO WEWE MWENYEWE NI MSHIA AU MUATHIRIKA WA USHIA.Saudia kuwanyonga wanazuoni 3 mashuhuri baada ya Ramadhani
Utawala wa Aal-Saud umepanga kuwanyonga wanazuoni watatu mashuhuri nchini Saudi Arabia baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, ikiwa ni katika muendelezo wa ukatili na ukandamizaji dhidi ya wasomi na wapinzani unaoongozwa na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa utawala huo, Mohammed bin Salman.
Tovuti ya habari ya Middle East Eye yenye makao makuu yake mjini London imeripoti kuwa, watawala wa Riyadh wamepanga kuwanyonga wanazuoni hao mashuhuri ambao ni Sheikh Salman al-Ouda, Sheikh Awad al-Qarni na Ali al-Omari kwa tuhuma bandia za ugaidi.
Sheikh Ouda ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wanazuoni wa Kiislamu, ambayo Riyadh imeiweka katika orodha yake ya mashirika ya kigaidi. Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wanamfahamu mwanazuoni huyo kama mwanamageuzi.
Sheikh al-Qarni pia ni mwanachuoni mashuhuri nchini Saudia, mwanaakademia na mwandishi mtajika, huku al-Omari akifahamika zaidi kuwa mtangazaji mashuhuri wa Kiislamu.
Mwezi uliopita, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudia ilitangaza kuwa imewaua watu 37 raia wa nchi hiyo ambapo 32 kati yao ni Waislamu wa Kishia kwa tuhuma za kile kilichotajwa na wizara hiyo kuwa ni ugaidi.
Kanali ya televisheni ya al-Jazeera ya Qatar imenukuu duru za habari ndani ya utawala wa Aal-Saud zikisema kuwa, kitendo hicho cha Riyadh kuwanyonga kwa umati Waislamu wa madhehebu ya Shia kilikusudia kupima kiwango cha lalama za jamii ya kimataifa.
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International mwaka jana, utawala wa Aal Saudi uliwaua watu 149 kwa tuhuma hizo hizo za ugaidi.
View attachment 1104453
Tena kabla sijakujib uniombe radhi kuniita Shia....Kwa sababu wapuuzi fulani wamekariri kuwa ukileta habari fulani utaonekana wewe ni shia...mimi sio itikadi ya hao mashia...KWANZA WEWE MUANDISHI WA HIKI KIJI-HABARI CHAKO WEWE MWENYEWE NI MSHIA AU MUATHIRIKA WA USHIA.
UMETENGENEZA SENTENSI ZA KUAMSHA HISIA ZA WATU. NA MASHIA WA YEMEN (AL-HOITHIYUUN) WALE NI WAASI WANAIPINDUA SERIKALI, NA WANA MTANDAO KWA KUSAIDIA NA DOLA LA KISHIA ILI KUIDONDOSHA DOLA YA SAUDIA, WADHANI WASAUDI WATAKUBALI??? SASA WACHENI CHOKOCHOKO.
MSIINGILIE MAMBO YA WATU WAACHENI WENYEWE WATAMALIZANA HUKO MKWELI ATAJULIKANA MUSITAKE WATU WAANZE KUINGILIA MAMBO YASIYOTUHUSU.
SISI HUKU TUNATAKA KUISHI KWA AMANI NA UTULIVU BILA FITNA.
Alimbaka huyo aliyekutoa tumboni ?? Ndio mkaolewa na Mapadri wa kizungu makanisani
View attachment 1105187
Hawa mapadre wanaoa wanaume wenzao ni wasanii kama Mohammad tu, wote ni watenda maovu.
Dunia ingekuwa sehemu nzuri sana wasingekuwepo hawa jamaaTaifa nisilolipenda ni Saudia Arabia.
Bahati yao wanalindwa na us kwa maslahi ya US,
Ila ni wavunjaji wakubwa wa haki za binadamu hawa nguruwe koko,
Nilijiwekea ahadi sitoingia wala kuhusiana na chochote na Jf kwa kipindi hiki cha Ramadhani. Lakini nimeikhalifu ahadi yangu na sijui ni kipi kimenituma mpaka kwa ghafla nimeiona post yako ikiwa na mtazamo wenye fikra zilizojengwa na baadhi ya watu kuhusu Uislam na kuzisambaza kwa malengo yao binafsi. Si kila linaloandikwa/kusemwa na watu juu ya jambo fulani ni sahihi, bali usahihi ni kulifanyia tafiti kwa watu wenye maarifa nalo. Halikadhalika na yanayosemwa kuuhusu Uislam.Kwanini wasifukue kaburi la Mohammad na kumuhukumu kutokana na vituko alivyofanya hapa duniani kama vile kubaka wake za watu, wizi, uwongo, kuua na vingine vingi tu vya kipuuzi? Si haki, inabidi na Mohammad naye ashitakiwe, napeleka hii hoja kwa Waisrael walishughulikie.
Sorry mimi sio Faiza lakin naomba kukujibu.Hivi FaizaFoxy muislam yeyote duniani anaruhusiwa kuingilia sheria za nchi nyingine ya kiislam ?
Dhahir = dhahiriutawala qa kidhalim= X
utawala wa kidhalim = ✓
Sihitaji hata kukuuliza kama huko shuleni ulienda kufundishwa ujinga kwa sababu ni dhahir hujaenda shule, huwezi kuweka q mahali pa w