Saudi Arabia kuwanyonga wanaharakati 3 baada ya Ramadhan

Saudi Arabia kuwanyonga wanaharakati 3 baada ya Ramadhan

Anataka kuunga unga maneno ili naye aitwe mwarabu,kwamba 'Msta ARABU' hiyo ARABU ndiyo imeshampa haki ya ku-copy mpaka rangi yao.

Nnaona unarukaruka, Wewe ni mstaarabu au huna ustaarabu?

Nani alikudanganya Uarabu ni Rangi?
 
Sijawahi kumuona mmatumbi akijiita Mwarabu, Uarabu ni lugha, Kama lugha mama kwako ni Kiarabu basi nawe u Mwarabu Kama lugha uioengeayo ina Kiarabu pia basi wewe ni mstaarabu, una ustaarabu.

Wewe ni mstaarabu au huna ustaarabu?

Loh mazaa!nahisi kama binadamu huu mfungo kidogo umechezesha akili yako,reasoning ability yako iko chini sana,yaani naposema sana namaanisha sana!huna hali ya kawaida ya binadam anayejitambua huwaga unakosea humu ila at least unakuwa na point ila leo hapana!

So ni kusema mfano mimi leo nikajua kuongea Kihindi basi automatically nitakuwa Muhindi?nikikiongea Kihehe vizuri basi na mimi Muhehe eti?acha utani basi bwana jiandae na daku hili tutakuja kuelezana huu mwezi ukiisha akili yako itakavyorudi sawa.
 
Achana na Mimi jibu hoja zangu. Hakuna uhindi kwenye hoja yangu. Simple, wewe mstaarabu au hauna ustaarabu?
 
KWa
Wewe unaeituma akili yako vizuri mpaka leo hajafamu kuwa Uarabu si rangi.

Watanzania Leo tunajivunia ustaarabu unafahamu maana ya neno ustaarabu.

Kawabadili rangi Waarabu million 40 wa Sudan. Ukimaliza nenda Saudi Arabia ambao zaidi ya 50% ni weusi.

Mmejazwa ujinga wa kusomea huko mashuleni msituambukize na sisi huo ubaguzi wa kijinga.
Kwa hiyo na wewe unajiona ni mwarabu?!
 
Wee utapenda kunyongwa ?!!?
Hizo NI propaganda za Majusi na maKafiri tu..... QUOTE="Cookie Smokey, post: 31552175, member: 442361"]
Wawanyonge tu Sasa hivi, hakutakuwa na tofauti
[/QUOTE} uzushi mtupu !!!!!!!
 
Kwanini wasifukue kaburi la Mohammad na kumuhukumu kutokana na vituko alivyofanya hapa duniani kama vile kubaka wake za watu, wizi, uwongo, kuua na vingine vingi tu vya kipuuzi? Si haki, inabidi na Mohammad naye ashitakiwe, napeleka hii hoja kwa Waisrael walishughulikie.
 
Alimbaka huyo aliyekutoa tumboni ?? Ndio mkaolewa na Mapadri wa kizungu makanisani

1105187
 
Wewe bibi ndio sheria za Mussa hizo acha kubwata kaa utulie.

Unaishi nchi ya amani ambayo haina sheria za kizwazwa ungekuwa Oman au Saudia wangeishakunyonga zamani sana, huna nidhamu na wanaume unatuzoea kama dada zako, una_interact nasi hovyo WEWE WATCH YOUR MDOMO bahati mbaya You're just Keyboard hero tu huna lolote
Huyu nae vipi.....??Hilo povu lote la nn??
 
Si ndiyo utawala qa kidhalim utafurahi.

Kinachotakiwa Waislam waende hijja kwa wingi sana wakalianzishe huko kuutoa utawala wa Saud kwa maandamano tu.
Habari za siku nyingi????Naona kama umetumia maneno ya Uchochezi kwa kuhamasisha maandamano kwenye nchi takatifu!!!!
 
Habari za siku nyingi????Naona kama umetumia maneno ya Uchochezi kwa kuhamasisha maandamano kwenye nchi takatifu!!!!
"Takatifu" ndiyo nini?

Anaefanyiwa maandamano siyo ardhi anaefanyiwa maandamano ni binadam. Ardhi ni shahidi.
 
"Takatifu" ndiyo nini?

Anaefanyiwa maandamano siyo ardhi anaefanyiwa maandamano ni binadam. Ardhi ni shahidi.
Ajuza unataka 'kufa shahidi' au unaupepeta tu nyuma ya keyboard ukifurahia uhuru mwanana wa kuwa Mtanzania? Ungekuwa huko hata keyboard usingekuwa unaijua, ID yako ingekuwa macho tu ndani ya kaniki nyeusi
 
Usiihusishe Tanzania na masuala ya Saudi Arabia.

Jaribu kufanya maandamano Tanzania ujionee cha mtemakuni. Umesahau kesi iliyomlaza Mbowe segerea kwa zaidi ya miezi mitatu ilikuwa ya nini na chanzo chake nini?

Umesahau Wapemba walivyogeuka wakimbizi? Umesahau Mwembechai killings? Umesahau Slaa alivyojifichà kwenye maspika Arusha?

Hakuna mtawala ambae anapenda atolewe tonge mdomoni.
 
Back
Top Bottom