Saudi Arabia kuwanyonga wanaharakati 3 baada ya Ramadhan

Saudi Arabia kuwanyonga wanaharakati 3 baada ya Ramadhan

Sorry mimi sio Faiza lakin naomba kukujibu.
Kama ingekuwepo Nchi ya kiislam( inayoongozwa kisheria completely za kiislam na wakazifuata naam tungeweza kufanya hivyo.
Lakin isivyo bahati zipo tu Nchi zenye waislaam lakin so za kiislam
👆 UNAWEZA KURUDIA KUANDIKA UPYA..?
 
Si ndiyo utawala qa kidhalim utafurahi.

Kinachotakiwa Waislam waende hijja kwa wingi sana wakalianzishe huko kuutoa utawala wa Saud kwa maandamano tu.
Peleka ujinga wako huko magaidi ni kunyonga tuu Wapumbavu tuu hao
Wanachafua dini nyooongaaa hao shwainii
 
Haitawezekana kuandamana shekhati virungu vitawahusu Sana.Hili jambo ni internal affair.Utawala wa kifalme unabebwa na Amerikiya Kwa gharama yoyote.Kiwango chetu Cha kuhusika ni kupaza sauti kwenye media zote kadri iwezekanavyo.
Amerikiya wewe ni Mtoto wa Rogo?
 
Back
Top Bottom