Saudi Arabia kuwanyonga wanaharakati 3 baada ya Ramadhan

Wewe unaeitumakili yako vizuri mpaka Leo hajafa hamu kuwa Uarabu si rangi.

Watanzania Leo tunajivunia ustaarabu unafahamu maana ya neno ustaarabu.

Kawabadili rangi Waarabu million 40 wa Sudan. Ukimaliza nenda Saudi Arabia ambao zaidi ya 50% ni weusi.

Mmejazwa ujinga wa kusomea huko mashuleni msituambukize na sisi huo ubaguzi wa kijinga.

Hiyo paragraph ya pili unamaanisha nini?kwamba wewe mmatumbi sijui mndengereko unafanana na mwarabu kwa kila kitu au?hilo la rangi liache utanichosha kubishana na wewe maana mwarabu kwako ni kama Mungu hadi unafikia kuigeuza kijani kuwa nyeupe njano kuwa nyeusi.
 
Mwenyezimungu akusamehe tuu sizan km ni jambo LA kheri hata km ww Co muislam... Embu imagine Kati yao mmoja ni mzazi wako
Mimi sio muislamu. Mantiki ya jibu langu ilikuwa najiuliza why mpk mfungo uishe? Hakutakuwa na tofauti either wawanyonge Leo au baada ya mfungo. Ni dhambi kuua haijalishi kipindi gani. Nadhani umenipata, Sina roho mbaya Kama hao watu.
 
Wewe unaeitumakili yako vizuri mpaka Leo hajafa hamu kuwa Uarabu si rangi.

Watanzania Leo tunajivunia ustaarabu unafahamu maana ya neno ustaarabu.

Kawabadili rangi Waarabu million 40 wa Sudan. Ukimaliza nenda Saudi Arabia ambao zaidi ya 50% ni weusi.

Mmejazwa ujinga wa kusomea huko mashuleni msituambukize na sisi huo ubaguzi wa kijinga.
Umesema zaid ya 50% ya watu wa saudia n weusi???
 
Hiyo paragraph ya pili unamaanisha nini?kwamba wewe mmatumbi sijui mndengereko unafanana na mwarabu kwa kila kitu au?hilo la rangi liache utanichosha kubishana na wewe maana mwarabu kwako ni kama Mungu hadi unafikia kuigeuza kijani kuwa nyeupe njano kuwa nyeusi.
Wewe ni mstaarabu au hapana?

Nyerere aliwahi kusema "Binadam wote ni sawa na Afrika ni moja", jiulize, Afrika kuna Waarabu au hakuna?
 
Wewe bibi ndio sheria za Mussa hizo acha kubwata kaa utulie.

Unaishi nchi ya amani ambayo haina sheria za kizwazwa ungekuwa Oman au Saudia wangeishakunyonga zamani sana, huna nidhamu na wanaume unatuzoea kama dada zako, una_interact nasi hovyo WEWE WATCH YOUR MDOMO bahati mbaya You're just Keyboard hero tu huna lolote😏😏
Mwezi mtukufu huu mkuu sahivi hatujibu comment zenye kashifa kama hiyo 👆.
🙂 😎🤥
 
Sema nchi isiyo na haki. Mtu kapora simu anachomwa moto. Sheria ya nani hiyo?
 
Tanzania kuna haki Bibi, Kibaka akipora simu mkamuuwa hamuwezi kubaki salama lazima wawili ama watatu wale vihelehele wakafanye tathmini ya ujenzi wa selo zetu.

Tanzania tuna sheria ya kuhukumu waharifu kunyongwa ambayo haitekelezeki kwa 70% jela kama Ukonga, Butimba n.k ambako wafungwa wanaosubiri siku zao za kunyongwa huishi miaka mingi sana pasipo kunyongwa na wengine hufa kwa sababu ya umri au maradhi.

Kwa kifupi Wewe Bibi ungekuwa Oman ama Saudia kwa ndugu yangu Prince Bishoo yule siku nyingi ushabaki Historia kama wimbo wa Komando Jide Lady jay dee HISTORIA
 
Wewe ni mstaarabu au hapana?

Nyerere aliwahi kusema "Binadam wote ni sawa na Afrika ni moja", jiulize, Afrika kuna Waarabu au hakuna?
Vyovyote inaweza kuwa sawa,mstaarabu au siyo mstaarabu nachotaka kujua mimi kuwaje wewe mmatumbi Mtanzania kujiita mwarabu?

Well...Nyerere alikuwa sawa,binadam wote ni sawa it mean wote tumezaliwa na wote tutakufa no matter ni mwarabu,mchina mzungu mwafrika wote sisi chanzo chetu ni kimoja na mwisho wetu ni mmoja ila kusema kwake Africa ni moja alimaanisha pamoja na mengine kwamba sisi sote ni weusi sasa wewe sera ya kwamba Tanzania au Africa kuna mwarabu mweusi umeitoa wapi?

Alichokuzawadia mwarabu ni dini tu sasa mahaba yako kwake yanakupelekea hata unaikana asili yako,ajabu ya rangi nyeusi hata upigwe rangi nyeupe utajulikana ukiongea au ukicheka so jipende na jikubali kwa rangi yako unachokiandika hapa akikisoma mwarabu mwenye rangi yake na akikuangalia ulivyo atatafuta bunduki yake alikoiweka aje akupasue kichwa.
 
Mwezi mtukufu huu mkuu sahivi hatujibu comment zenye kashifa kama hiyo 👆.
🙂 😎🤥
Sijamkashifu Bibi yangu huyu namueleza ukweli kwa Kutuzoea wanaume wa JF kama dada zake na kujibu pumba siku nyingi angekuwa historia kwenye mataifa yanayoongozwa na kitu "SHARIA" Islamic laws😝😝😝 ashukuru anabwata tu bongo land
 
Si ndiyo utawala qa kidhalim utafurahi.

Kinachotakiwa Waislam waende hijja kwa wingi sana wakalianzishe huko kuutoa utawala wa Saud kwa maandamano tu.
Huna lolote unawaunga mkono Al saud house .

Takbiir
 
Vyovyote inaweza kuwa sawa,mstaarabu au siyo mstaarabu nachotaka kujua mimi kuwaje wewe mmatumbi Mtanzania kujiita mwarabu?

Well...Nyerere alikuwa sawa,binadam wote ni sawa it mean wote tumezaliwa na wote tutakufa no matter ni mwarabu,mchina mzungu mwafrika wote sisi chanzo chetu ni kimoja na mwisho wetu ni mmoja ila kusema kwake Africa ni moja alimaanisha pamoja na mengine kwamba sisi sote ni weusi sasa wewe sera ya kwamba Tanzania au Africa kuna mwarabu mweusi umeitoa wapi?

Alichokuzawadia mwarabu ni dini tu sasa mahaba yako kwake yanakupelekea hata unaikana asili yako,ajabu ya rangi nyeusi hata upigwe rangi nyeupe utajulikana ukiongea au ukicheka so jipende na jikubali kwa rangi yako unachokiandika hapa akikisoma mwarabu mwenye rangi yake na akikuangalia ulivyo atatafuta bunduki yake alikoiweka aje akupasue kichwa.
Sijawahi kumuona mmatumbi akijiita Mwarabu, Uarabu ni lugha, Kama lugha mama kwako ni Kiarabu basi nawe u Mwarabu Kama lugha uioengeayo ina Kiarabu pia basi wewe ni mstaarabu, una ustaarabu.

Wewe ni mstaarabu au huna ustaarabu?
 
Huna lolote unawaunga mkono Al saud house .

Takbiir
Hao Al Saud wenyewe wamegawanyika, wapo makundi kibao. Seuse Mimi?

Nnawaunga mkono Waislam wenye kuulinda Uislam awe katokea "Al Saud House" au Chato. Haijalishi.
 
Back
Top Bottom