ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,417
- 9,603
Saudi Arabia ipo mbioni kuanzisha kampuni/kiwanda ambayo itahusika na uundaji na utengenezaji wa vifaa vya kijeshi kama vile magari ya kijeshi,rada, mabomu,nk.
Viwanda hivyo vinatarajiwa kuajiri maelfu ya raia wa Saudia na pia kusaidia kupunguza utegemezi wa silaha toka nje ambazo ni ghali.
Pia viwanda hivyo vinatarajiwa kuingizia nchi hiyo zaidi ya dola bilioni tatu($3billion) kwa mwaka.
Kampuni hiyo inatarajiwa kuanzishwa rasmi mwaka 2030.