Elfu tatu wanzio wanahesabu na matawi ya viwanda mfano vya sukari 16, kagera shuga, mtibwa nkAiseeeeee.....sisi tuna viwanda elfu tatu na kitu ndani ya miaka miwili tu ya JPM...
HAO wanafanya utani......
Elfu tatu wanzio wanahesabu na matawi ya viwanda mfano vya sukari 16, kagera shuga, mtibwa nk
Sitiki za meno...mkuu siiakupata??Stiki za meno 2meshindwa had leo.
Nilikuwa sijawaelewa....... kumbe hata vyerehani viwili ni kiwanda................ AMA KWELI.
TANZANIA YA VI-WONDER.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tukilipwa na ACACIA na sisi tutaanza kuunda mabomu yetu tena tutauza had Urusi na Marekani.Safi sana Saudi!!!! mko mbali sana, kama ni pesa mnazo zaidi ya mataifa mengi ya ulaya na amerika.
Sisi acha tuenderee na vi-wonderful kama vile ku-make shoes za kimasai, katambuga shoes and kulalama kila kukicha
Well said.Nilisha Selma hapa,wanaoenda kuhiji huko wajitafakali mala2.
Wazungu wameshaweka ngome Zaohapo na wanaendelea kuitia unajisi macca.mambo yoote hayo yatasimamiwa na wazungu tu.watapewa eneo na watafanya wanavyotaka.
Itakuwa ngumu coz IQ yao ipo low sana![]()
Saudi Arabia ipo mbioni kuanzisha kampuni/kiwanda ambayo itahusika na uundaji na utengenezaji wa vifaa vya kijeshi kama vile magari ya kijeshi,rada, mabomu,nk.
![]()
Viwanda hivyo vinatarajiwa kuajiri maelfu ya raia wa Saudia na pia kusaidia kupunguza utegemezi wa silaha toka nje ambazo ni ghali.
![]()
Pia viwanda hivyo vinatarajiwa kuingizia nchi hiyo zaidi ya dola bilioni tatu($3billion) kwa mwaka.
Kampuni hiyo inatarajiwa kuanzishwa rasmi mwaka 2030.
Kwani cherehani sio chombo cha uzalishaji !?Nilikuwa sijawaelewa....... kumbe hata vyerehani viwili ni kiwanda................ AMA KWELI.
TANZANIA YA VI-WONDER.
Wewe sio mzalendo.you don't have patriotic spirit for your country.Safi sana Saudi!!!! mko mbali sana, kama ni pesa mnazo zaidi ya mataifa mengi ya ulaya na amerika.
Sisi acha tuenderee na vi-wonderful kama vile ku-make shoes za kimasai, katambuga shoes and kulalama kila kukicha