Saudi Arabia kitumbo joto, wanamwaga pesa kuwapooza wananchi!

Saudi Arabia kitumbo joto, wanamwaga pesa kuwapooza wananchi!

King Abdullah ametangaza mpango utakaogharimu zaidi ya $10 Billioni kupunguza makali ya maisha yanayotakona na mfumuko wa bei na ukosefu wa ajira.

Sasa ndiyo anatambua wenye nchi ni nani?
 
Aombee tu it's not to late. Hizi benefits effects zake zina chukua muda kuoneakana kwa wananchi. Siyo kwamba tu ukimwaga mipesa leo basi ume tatua tatizo.
 
tena hawa ndio walipaswa kungolewa wa kwanza hao wengine wakafatia,kazi kula tende tu hawana maana kabisa:rain:
 
mtawala wa saudia arabia ndiye kibaraka mkubwa wa marekani!afie mbali kabisa
 
Basically what the king is doing is good, but it's an old message of using oil money to buy the silence, subservience and submission of the people,The new generation of revolution is surrounding them from everywhere.
Aombee tu it's not to late. Hizi benefits effects zake zina chukua muda kuoneakana kwa wananchi. Siyo kwamba tu ukimwaga mipesa leo basi ume tatua tatizo.
 
The people demands some crucial things such as "national reform, constitutional reform, national dialogue, elections and female participation".
people are tired of being silenced by oil's money
 
Back
Top Bottom