Saudari huyu anauza mifagio jamani....

Saudari huyu anauza mifagio jamani....

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
[h=3]KAZI NI KAZI[/h]



Ufagio mmoja 500/- tu

Furahia na kuipenda kazi yako, ndo inayokupa kula kila siku na kutatua baadhi ya Needs zako

Niliyekuwa naye alinunua/alimuungisha miwili saudari​
 
Last edited by a moderator:
Hizi post nyingine hata huwa sizielewi zina maana gani...

  • :nono:
 
Hizi post nyingine hata huwa sizielewi zina maana gani...

  • :nono:
Mkuu.@mooduke Hata kwa kuona kwa macho pia huelewi? Usilalamike hakuna Kazi ni kazi hata kama ya kutengeneza Mifagio pia ni kazi usikae bure pasipo na kufanya kazi mkuu? Hapa ni mahali pa kuweka picha na picha yenyewe hiyo inajieleza jinsi huyo jamaa anavyofanya kazi ya kutengeneza mifagio ili apate pesa ya kula tumboni mwake.
 
Umeleeweka lakini Saudari ni nani mpaka awekwe hapa? Picha ya watu wengi labda Saudari ni mtu aliyewahi kuwa maarufu na sasa anamefulia na anafanya haya ili kujikimu?

Tiririka.
 
Back
Top Bottom