Sauda Simba na Trinity Promotions walivyomtapeli Hugh Masekela jana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sauda Simba na Trinity Promotions walivyomtapeli Hugh Masekela jana

Discussion in 'Entertainment' started by Game Theory, Jun 12, 2011.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Tayari washachakakua kwa yule Michuzi ambaye leo kaamua kuhifadhi jina lao...sie huku kama kwa tuna namna zetu za kupata habari JF style

  Anyway Jana Masekela aligoma kutumbuiza pale Southern Sun, kisa? of course kama kawaida yetu Promota wake hakumpa mshiko as per agreed japo kulikuwa na nyomi ya kufa mtu...A listers na ma diplomats ndani ya nyumba sasa wale ma promoters wanaitwa TRINITY PROMOTIONS na their called webiste (wanatumia blogspot) inasema hivi:

  About Trinity Pro-Motions

  Trinity Promotions Ltd., is a consultancy organisation specialising in communications and music industry development. We are based in Mikocheni B, Dar es Salaam. Currently we operate under two directors, one of whom, Sauda Simba is active in the company, and a Project Manager, Leanne Martin-Pollock. It was established in 2001 and began full time operation in 2008, and has built up a diverse client base.

  The experience brought by the active partners include Media/Public Relations, Corporate and Community Relations, live event production, large and small, local and international, coordinating industry specific trade exhibitions as well as multi- country, multi-media events.

  We work very closely with Mandugu Digital Studios on creative projects, including event production, audio production (both creative and commercial) and career development for artists


  Our Projects

  SOME OF OUR CLIENTS AND JOBS:

  • CD DISTRIBUTION and niche marketing in Tanzania of Sauti ya Sauda and Simply Jazzmin bySauda, Mandugu Digital Volume I, Amka by Kama, and Tuimbe Pamoja, the first release of Kiswahili songs for kids by Swahili4Kids


  • A one-hour documentary on the African Diaspora Heritage Trail Conferencefor the Ministry of Tourism and Natural Resources (Tanzania)

  • Recruitment, Coordination and reporting - Creative Entrepreneur Programme (CEP) and Route courses for the British Council and Royal Danish Embassy

  • A series of 10 fact sheets for the JP1 (Joint Projects 1) programme Development (research, writing, editing, printing) for the ILO (International Labour Organisation, Tanzania)

  • A photo documentary publication for the Connecting Classrooms programme Publishers (research, writing, editing, artistic direction, graphic design, printing) for the British Council


  • Media campaign, "If I were Tanzania's first (deaf, blind, albino, youth, female, etc.) President," Executive Producers and Administrators (including creative direction) for the European Union


  • Workshop and Performance tour of Third Man Trio (Dar es Salaam and Zanzibar) Coordination and execution of a 15 artist and 6 performance tour in Tanzania for The Embassy of the Kingdom of the Netherlands


  SASA WANA DIRECTOR MZUNGU NADHANI NI CANADIA....

  HUYU HAPA KWENYE FACEBOOK
  http://www.facebook.com/leannemptz?sk=photos

  Just shows how unserious wafanya baishara wetu wa Tanzania walivyo....nadhani hii ni niche market walioingia na wakasahau expectations za hao wateja wao​

  Trinity Pro-Motions
  sasa kweli wanashindwa kutoa dola 2000 watengenezewe website ya maana kweli.. au ndio kuendekeza nzala

   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mwanamuziki kutoka Afrika ya Kusini Hugh Masekela jana (Jumamosi) amegoma kutumbuiza baada ya promota wake (Heri Bomani) kushindwa kumlipa kabla ya onesho lililovutia mamia ya wapenzi wa muziki hasa maafisa wa balozi mbali mbali na wananchi kutoka pembe ya kila jiji la Dar es Salaam katika ukumbi wa Golden Tulip.

  Benki ya Stanbic imesikitishwa kufutwa kwa onyesho la mwanamuziki huyo, onyesho hilo lilifutwa kufuatia mwandaaji ambaye ni Heri Bomani na kampuni yake ya Full Circle Africa Limited kushindwa kumlipa msanii. Akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari muda mfupi leo asubuhi kwenye Hoteli ya Southern Sun, Mkuu wa kitenga cha masoko na mawasiliano Abdallah Singano alisema "Tumesikitishwa sana na kufutwa kwa onyesho hili ambalo tulikuwa tumedhamini tunategemea kuchukua hatua za kisheria kwa mwandaaji na kampuni yake.

  Singano alaiendelea kusema kwamba "Tunaomba radhi kwa mashabiki wote wa Hugh Masekela walionunua tiketi kuona onyesho hilo na hatimaye kufutwa, Singano alimalizia kwa kusema wale wote walionunua tiketi za onyesho hilo wamfuate mwandaaji ili aweze kuwarudishia fedha zao.
   
 3. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Duuuh hiyooo Kareeeeeee...
   
 4. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mbona kule kwa BUKUKU wametajwa wengine? kule wameandika hivi:

  "Benki ya Stanbic inasikitika kufutwa kwa onyesho la mwanamuziki wa jazz kutoka Afrika ya Kusini lilitotegemewa kufanyika Jumamosi tarehe 11 Juni katika hoteli ya Golden Tulip Dar es Salaam.  Onyesho hilo lilifutwa kufuatia mwandaaji ambaye ni Heri Bomani na kampuni yake ya Full Circle Africa Ltd kushindwa kumlipa msanii kama walivyokuwa wamekubaliana"
  Source: FULL SHANGWE
   
 5. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Ni Sauda Simba au Heri Bomani??? mbona mnatuchanganya???
   
 6. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  HAWA promoters wawachezee wana muziki wa zaire ambao kwa njaa zao uchukua anything on the table.Huyu Masekela ni a living legend in the african music scene just as mohamed ali is to boxing.EUROPE anapewa red carpet treatment.i wonder why hii mikataba haifanywi watertight
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wanasema ni Heri Bomani ambaye ni Promota, I guess Sauda Simba alikuwa ni coordinator tu
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Jun 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ila it's really a big shame maana kulikuwa kuna watu kutoka balozi mbalimbali ambao tayari walikuwa wameishakata tiketi zao kwa ajili ya onyesho hilo
   
 9. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  http://www.barbican.org.uk/music/event-detail.asp?id=12045

  Event: Hugh Masekela and his band with special guests

  Dates: 10 – 11 July 2011 / 20h00

  Admission: £15 – 25

  Venue: Hackney Empire
   
 10. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #10
  Jun 12, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  tanzania inatia aibu,masekela ni jina kubwa sana on the african music scene,hii mikataba inakuwa sio watertight for this has happened a couple of times
   
 11. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Jamaa ni kongwe sana na kasoma Russia enzi hizo.

  Jamaa walitaka apige mziki na ndiyo wajifanye watamlipa?

  Kumbe yeye ndiyo mwenyeji wa STAGE na mikataba. Siku hizi wengi wanafanya hivyo kwamba kabla hajapanda jukwaani, anahakikisha pesa zake ziko Bank tayari. Sasa na hizi Internet, ni rahisi sana kugundua kuwa pesa hamna na jamaa si ajabu alishamwambia siku chache kabla kuwa pesa kashalipa.......

  Kila mwanamziki lazima awe anafanya hivyo. Usije ukaanza safari kama hujalipiwa hoteli, chakula na nauli. Na usije ukapanda jukwaani kama hujalipwa pesa zako. Show ikiisha, imetoka hiyo maana bomani anakuwa amelala mbele.
   
 12. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #12
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  bongo dar es salaam..
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Jun 12, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  aibu zingine bana ni noma mno
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Jun 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ila huyu Heri Bomani sijui ni vipi ndio kaishaingia mitini na hela za watu sasa, maana hapa hawa Stanbic na wenyewe walikuwa wame-sponsor hili onyesho pia yaani haileti picha nzuri kabisa especially kwa mwanamuziki mkubwa kama huyu halafu pia kwa mabalozi yaani full utapeli
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mkuu acha tu yaani huu ni utapeli wa waziwazi kabisa watu wamekata tiketi kumbe hamna kitu kuna washikaji zangu watano wameenda jana wamerudi hola hakuna shoo wala nini wakakuta jamaa wanatoa mahema yaani ni aibu tupu
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Jun 12, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  aibu zingine bana.....

  si wandelee ku promoti acudo basi.
  wapate cheap ujiko mjini hapa...lol
   
 17. Z

  Zinjathropus JF-Expert Member

  #17
  Jun 12, 2011
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  hatari namna hii
   
 18. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #18
  Jun 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,519
  Trophy Points: 280
  afutiwe leseni tu kama vipi. hii aibu kubwa
   
 19. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #19
  Jun 12, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Hili ni fundisho kubwa kwa wasanii wetu...
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Jun 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hizi ndizo walizozoea na shoo za wasanii wa Bongo Flava kuwalipa laki mbili
   
Loading...