Mythbuster
Member
- Dec 12, 2010
- 92
- 50
Wandugu nadhani mnajua kuwa beIN TV Sports huwa inaonyesha mipira ya premier league. Hii channel nimekuwa nikiiona sana kwenye cable za mikoani na Zanzibar. je naweza kuipata kwa dish na decoder gani? Naomba wataalamu wa satellite TV wanijuze. Je inatakiwa kulipia kila mwezi au ukiweka mara moja ndio basi.