Satanic temple vs Freemason

Satanic temple vs Freemason

satnic temple sio siri ni dhehebu linalo fanya mambo wazi wazi ni mwanzilishi wake anaitwa La Vey ila alishafariki.
Huyo La Vey ndiye mwanzilishi wa style maarufu ya kunyoa ndevu ijulikanayo kama 0.
Kutumi kichwa cha mbuzi (goat of mendez) ni kumkejeli yesu ambaye wakristo humuita mwanakondoo.
Kha!! Kumbe
 
Inabidi watupe direction tutume mashushushu wakasome gap alaf tumpige shetan ambush, hawezi akatutesa hivi

Unatafuta bifu na huyu jamaa. Hajaribiwi shauri yako.
 
Mkuu shetani yupo na anatenda kazi, na Mungu yupo anatenda kazi. Hao freemason pia wapo na wana idara tofauti zilizoshikiria uchumi, dini za masanamu, majeshi na siasa za dunia. Wenyewe na satanism utofauti wao mkubwa freemason sio dini ndio maana members ni wa madhehebu yote, rangi zote, satanism ni dini tu ya kumuabudu shetani.
 
Inabidi watupe direction tutume mashushushu wakasome gap alaf tumpige shetan ambush, hawezi akatutesa hivi
Hawa jamaa wameusoma mchezo! Wamejua tunatakiwa kuishi kama mashetani nao wanaleta dini ya shetani kwa nguvu! Tutaipenda tu!
 
Hakuna Shetani wala Mungu.
Ni hisia na fikra za kibinadamu vinavyomfanya achore picha ya Mungu au Shetani.
Lazima uamini kuwa kuna hiden powers 2 ambazo zinakinzana ,kuhusu majin ya nguvu hizo sina jibu
 
Sasa kama hizo powers ni hiden, watu walijuaje kwamba zipo?
Ni hiden kwavile hakuna aliye kuziona na akaziweka sehemu lakini zimejulikana kutokana nanufanaji kazi wake ndio maana huyu anamashetan na mapepo na majin na huyu anayasomea yatoke au yule anayombea yashindwe na yaondoke
 
Si wanasema tuishi kama shetanani
Basi Mimi nachagua masonic mwenye ujuzi aniunge
 
Freemasons sio dini ni member wenye dini mbali mbali na wasio na dini,wameunda umoja wa kusaidiana,Satanism wao ni dini ambayo watu wameamua kumuabudu shetani,wao nao wana madhehebu yao kuna church of Satan,luciferous church, nk ila ni kitu moja na Freemasons ni mgawanyo tu.Ila yote haya yameruhusiwa na Mwenyezi Mungu kwani mwisho wa yote ndie atakayeweza kuyaondosha na kumuondoa shaitwani Kwa mujibu wa Vitabu vya dini.
 
Si wanasema tuishi kama shetanani
Basi Mimi nachagua masonic mwenye ujuzi aniunge
Masonic hawashughuliki na MTU masikini sababu ajenda yao kubwa ni kuwaondoa masikini duniani sababu ni mzigo na hawana mchango wowote Kwa duniani lzm masikini km wwe mmpunguzwe Kwa njia ya vita,ugaidi,magonjwa,uzazi wa mpango,njaa nk,ili wawepo wachache wenye manufaa,wao wanataka MTU mwenye mchango Mkubwa na maarufu mfano wanamuziki,wanamichezo,wasomi,matajiri,nk ili watumike kujenga na pia kuharibu jamii.ili kupelekea dunia mzima iwe chini ya utawala mmoja wa ibilisi maaluni.
 
Hakuna utofauti zote ni elimu ya Giza inayo husisha ushetni ujini na kujipatia utajri au unafuu Wa maisha Mkuu vtu hivyo vpo Mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom