Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,199
- 10,834
YESU, Jina lipitalo kila jina Mdo 4:12
Leta proofMasonic hawashughuliki na MTU masikini sababu ajenda yao kubwa ni kuwaondoa masikini duniani sababu ni mzigo na hawana mchango wowote Kwa duniani lzm masikini km wwe mmpunguzwe Kwa njia ya vita,ugaidi,magonjwa,uzazi wa mpango,njaa nk,ili wawepo wachache wenye manufaa,wao wanataka MTU mwenye mchango Mkubwa na maarufu mfano wanamuziki,wanamichezo,wasomi,matajiri,nk ili watumike kujenga na pia kuharibu jamii.ili kupelekea dunia mzima iwe chini ya utawala mmoja wa ibilisi maaluni.