Satanic temple vs Freemason

Satanic temple vs Freemason

ALEXANDER JOHNSON

New Member
Joined
Oct 30, 2016
Posts
4
Reaction score
0
Habari zenu wakuu
poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa

kuuliza si ujinga najua nisilolijua mimi yaweza kuwa kuna anayelifahamu,kama yupo nahitaji kujua

hivi hawa SATANIC TEMPLE ambao website yao ni SATANICTEMPLE.COM au CHURCHOFSATAN.COM wana utofauti na jamii ya siri ya freemason?
5e6b1e89-2584-40ad-9b49-9e51a2b46474.jpg
b1c1e3aa-921d-4a33-ae29-e9190734f0bf.jpg
e4ed22d6-5772-47b4-b404-0a920969e06c.jpg
 
kumbe kuna watu walisha muona shetani! naona wametupia sanam lake
 
Hakuna Shetani wala Mungu.
Ni hisia na fikra za kibinadamu vinavyomfanya achore picha ya Mungu au Shetani.
 
Mbona hivo vichwa vya alama zao ka kichwa cha mbuzi chenye mapembe.
 
satnic temple sio siri ni dhehebu linalo fanya mambo wazi wazi ni mwanzilishi wake anaitwa La Vey ila alishafariki.
Huyo La Vey ndiye mwanzilishi wa style maarufu ya kunyoa ndevu ijulikanayo kama 0.
Kutumi kichwa cha mbuzi (goat of mendez) ni kumkejeli yesu ambaye wakristo humuita mwanakondoo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom