melchior
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 230
- 214
Habari za asubuhi wana Jukwaa,
Nina mdogo amemamliza F4 ndio anangoja majibu; Nilitaka afanye mitihani ya SAT(Scholastic Aptitude Test) . Naomba muongozo kwa yeyote anaye jua kituo cha kujiandikisha, gharama kwa hapa bongo, na test centers. Pia naomba mwenye materials kwaajiri ya kujiandaa na SAT(CD ama vitabu).
Natanguliza shukrani
0766925042