Sasa Waafrika wamuita Obama's Half brother, badala ya brother!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Siku zote alikuwa anaitwa na Waafrika Obama's brother wkt Dunia nzima ilikuwa inamuita Obama's half brother, nilikuwa nashangaa na mara kwa mara nimekuwa nikihoji ni kwa nini Afrika huyu Malik Obama anaitwa Obama's brother wakati siyo 100% ndugu wa tumbo moja wa Obama?

Kama kawaida nilijibiwa na Waafrika wenzangu kwamba sisi Waafrika tuko tofauti na Wazungu sijui Utamaduni uko hivi na vile basi tu ili mradi kila mtu alikuwa ana philosophing kivyake kuhusu hilo ili kutetetea!

Sasa kama tusemavyo Waswahili Mungu siyo Athumani, leo hii yule tumuitaye Obama's brother sasa na sisi tumeanza kumuita Obama's half brother na hii ni baada ya Mungu kumfungua macho Maliki Obama kuamua rasmi kumuunga mkono D. Trump!

Sisi Waafrika ni watu wanafiki sana, huo Uafrika na utofauti mliokuwa mnausema umeishia wapi?!

Hata yule tunayemuita bibi yake Obama Sara Obama, siyo bibi yake kwani hana uhusiano wowote ule wa Damu na Raisi Obama, huyu Sara Obama alikuwa tu ni mmoja wa wake wa babu yake Raisi Obama, hivyo tuache unafiki wa huyu siyo bibi yake Raisi Obama kama vile Maliki siyo kaka yake Obama!

Huyu hapa Maliki Obama tulikuwa tunamuita Obama's brother, wkt Dunia nzima inamuita half brother, mpaka alipomuunga mkono D.Trump sasa na sisi tunamuita Obama's half brother, huo Utamaduni wetu wa Kiafrika mliokuwa mnautetea umeishia wapi tena?
malpic.jpg

Obama’s half-brother Malik to be Trump’s guest
 
Unafiki uko wapi hapo, na inakusaidiaje wewe! Awe nusu kaka au nusu bibi inatusaidia nini sisi? Barack anawatambua apendavyo so its of no consequence to us! And mind you kama sio Barack tusingewajua hao wote hata kidogo! Wacha viroba na kubwia unga ufungue ubongo kabla hujafungua domo lako na kukimbilia kwenye keyboard kupost ujinga!
 
Back
Top Bottom