Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,892
- 110,038
Jambo hili hunishangaza,ukiingia mikoa yote ,utaona ubao, KARIBU MKOA WA MOROGORO,IRINGA,DAR,MBEYA NK. Lakini mara ahhh "SASA UNAINGIA MKOA WA MARA"
Ukakamavu ni JADI yetu, hata katika maandishi....... Au mnataka turembe Kizenji???????
Mbrrrrrraaaaaaaaaakkkkkkkeeeeeeeeeeeee!!!!!!!
Huko ndo kwa wanaume wa chi hii, wakisema NO n NO
Na usisahau ndio mkoa wenye Police barrier nyingi Tanzania with maximum heavy weapons.
Panya road waje Mara.......?.......hawajitaki.........au Panya road wa wapi.........?
Inabidi tuandamane.Hatukubali kibao hicho kiondolewe au hata kubadilishwa. Hiyo ndo Identity yetu wana Mara.
Inasemekana hivyo.Ngoja waje wathibitishe!!!hivi ni kweli kule tanga hakuna kibao cha kwaheri ?
hivi ni kweli kule tanga hakuna kibao cha kwaheri ?
Jf raha sana karibuni sana hapa watu wa kanda maalum Excel charming lady Mwita Maranya Muraa ocampo four and the likes. kwaheri mkoa wa Mwanza sasa unaingia mkoa Mara. aha aha aha aha.