Sasa Tunaanza upyaa alisema Mbunge Bwege alikua Mbunge drama za CCM kwisha

Sasa Tunaanza upyaa alisema Mbunge Bwege alikua Mbunge drama za CCM kwisha

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
11,301
Reaction score
12,952
Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu ,
Rejea mada tajwa .

Mh aliekua Mbunge wa bunge la JMT ,tulipenda sana tumia jina la mh Bwege, kuna kipindi ndani ya Bunge aliwambia wabunge wa ccm na serikali kwamba tunaanza upyaaa.

Sasa msemo huu leo nawambia pia ccm kwamba tunaanza upya ,drama zao zimeisha sasa ni nguvu ya Mungu juu ya wana wake ndani ya Tanzania vs CCM .

Mwamuzi ni yeye mwenyewe asema Bwana wa majeshi ,upande ulio wake utashinda.

Thanks
 
Itapendeza kama nguvu hiyo itaanzia kwa mzanzibari mwanamke
 
Back
Top Bottom