Sasa Tumeamini Aliyofanyiwa Lowassa ilikuwa Mpango

Sasa Tumeamini Aliyofanyiwa Lowassa ilikuwa Mpango

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
Wadau
Wakati Tanzania nzima macho na masikio yako Dodoma Kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano kufuatilia kwa umakini report inayohusiana na sakata zima la escrow,Sasa imebainika kwamba aliyekuwa wazir mkuu mh Edward Lowassa alionewa dhidi ya kashfa iliyotikisa nchi ya Richmond.
Kama itakumbukwa baada ya kamati ya mwakyembe kumaliza kusoma repoort yake serikali haikutoa utetez wake kwenye sakata la richmond,wala kumsikiliza mh lowassa ili kujitetea kutona na tuhumu zake,hili limewekwa wazi leo pia na mbunge mmoja jina limenitoka bungeni alipo simama na kuomba mwongozo wa speaker kwanini kipindi cha mh lowassa anajiuzulu serikali haikutoa utetezi wake juu ya sakata la richmond lakin kwa hili la escrow serikali imetoa mtetezi wa upande wake,lakin kwa kila aliyetazama bunge speaker ameshindwa kulitilea ufafanuzi na kuendelea kuongoza bunge kwa ubabe.
Wanzania wote kwa ujumla tumeamka tumejuwa alichofnyiwa lowassa.
Na katika hali ya kawaida sijawahi kuona popote taarifa ya bunge kujibiwa hii ndo mara yangu yakwanza.
Niwaombe wabunge wote kilichobaki sasahiv msideal tena watuhumiwa escrow nawashaur anzeni kwanza na kura ya kutokuwa na imani na speaker tofauti na hapo mtakuwa mnapotezz muda wenu
 
kwa hiyo kama ilikosewa mara ya kwanza, maana yake iendelewe kukosewa? we mheshimiwa ni kiboko
 
kwa hiyo kama ilikosewa mara ya kwanza, maana yake iendelewe kukosewa? we mheshimiwa ni kiboko

Sio kana kwamba walisahau wakakosea,hii ilifanywa makusudi kabisa kwasabu ya Lowassa.
Ila wasubiri Twaweza ndio hao wametoa matokeo.
 
Wabunge wanapoteza muda wenyewe, wao wajikite kwa waliopewa mgao, kwa nini walio wengi wapewe mgao siku moja na mtu mmoja tena kutoka benki moja! Wakikalia PAP, IPTL, Seth,30% au 70% mtanzania wa wakaida hakuelewi.Mfano mzuri jana ni Askofu Kilaini, Tibaijuka, Ngeleja, Chenge na wengine hawa ukienda vijijini ndiyo gumzo hata baadhi yao ukiitisha kura ya maoni majimboni mwao watapigwa chini!
 
Mi binafsi nashauri wabunge jioni ya leo wakiingia mjengoni waanze na huyo mwanamke mwenzetu
Huyu mama ndio kikwazo kilichoko mbele yetu sasa
 
Laana za Lowassa zinawatafuna
Aliwaambia tukianza kunyosheana vidole hivi sisi wanasiasa hakuna atakaye baki.ndo hayo yanajitokeza leo
 
Sio kana kwamba walisahau wakakosea,hii ilifanywa makusudi kabisa kwasabu ya Lowassa.
Ila wasubiri Twaweza ndio hao wametoa matokeo.

MKuu kuhusu lowassa hakuna asiyejuwa kuwa rafu zilichezwa.hili liko wazi.Lakin muda umefika tumejuwa hakuna asiyefahm kuhusu mchezo huu
 
Yaani ulitaka wamtetee mwizi? Lowasa ni mwizi tena ni jambazi
 
MKuu kuhusu lowassa hakuna asiyejuwa kuwa rafu zilichezwa.hili liko wazi.Lakin muda umefika tumejuwa hakuna asiyefahm kuhusu mchezo huu
Naona mmejipanga kutetea upuuzi wa Lowasa. Lowasa ni fisadi tu hata mfanyeje. Kubwa zima linaandika vimemo
 
Unamuongelea yule mbunge aliyetumwa na LOWASSA kuuliza, LOWASSA waliomba utetezi wakakataliwa?
 
MKuu kuhusu lowassa hakuna asiyejuwa kuwa rafu zilichezwa.hili liko wazi.Lakin muda umefika tumejuwa hakuna asiyefahm kuhusu mchezo huu
Na tunajua katika hili LOWASSA yuko nyuma, na ndiyo maana amekimbilia nje baada ya kuwasha moto.
 
Laana za Lowassa zinawatafuna
Aliwaambia tukianza kunyosheana vidole hivi sisi wanasiasa hakuna atakaye baki.ndo hayo yanajitokeza leo
Kwa hiyo hata hili ni kulipiza kisasi mkuu?
 
Back
Top Bottom