Sasa Tumeamini Aliyofanyiwa Lowassa ilikuwa Mpango

Wadau
Wakati Tanzania nzima macho na masikio yako Dodoma Kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano kufuatilia kwa umakini report inayohusiana na sakata zima la escrow,Sasa imebainika kwamba aliyekuwa wazir mkuu mh Edward Lowassa alionewa dhidi ya kashfa iliyotikisa nchi ya Richmond.
Kama itakumbukwa baada ya kamati ya mwakyembe kumaliza kusoma repoort yake serikali haikutoa utetez wake kwenye sakata la richmond,wala kumsikiliza mh lowassa ili kujitetea kutona na tuhumu zake,hili limewekwa wazi leo pia na mbunge mmoja jina limenitoka bungeni alipo simama na kuomba mwongozo wa speaker kwanini kipindi cha mh lowassa anajiuzulu serikali haikutoa utetezi wake juu ya sakata la richmond lakin kwa hili la escrow serikali imetoa mtetezi wa upande wake,lakin kwa kila aliyetazama bunge speaker ameshindwa kulitilea ufafanuzi na kuendelea kuongoza bunge kwa ubabe.
Wanzania wote kwa ujumla tumeamka tumejuwa alichofnyiwa lowassa.
Na katika hali ya kawaida sijawahi kuona popote taarifa ya bunge kujibiwa hii ndo mara yangu yakwanza.
Niwaombe wabunge wote kilichobaki sasahiv msideal tena watuhumiwa escrow nawashaur anzeni kwanza na kura ya kutokuwa na imani na speaker tofauti na hapo mtakuwa mnapotezz muda wenu
Usichanganye mambo. Baada ya ripoti ya Mwakyembe kuwasilisha ripoti yake, aliyeitwa wa kwanza kuzungumza alikuwa Waziri Mkuu Lowassa. Hakutaka kujitetea, akatangaza kujiuzulu. Waliomfutia wote wakafuata kujiuzulu pia. Mh Lowassa alionyesha uongozi wa kujiuzulu baada ya serikali aliyokuwa anaiongoza kutuhumiwa. Utakumbuka Nyerere alisema 'tuhuma ni tuhuma tu'. Sasa Mh Pinda & Co naona wameamua kukomaa! Tofauti na alivyofanya Mh Lowassa.
 
Ile audio aliyosema "najua tatizo ni uwaziri mkuu,nimeonewa sana,nimesikitishwa sana,kwa niaba ya familia yangu naachia ngazi" ilikuwa ni utetezi au?
 
Watamtetea Twaweza make ndiyo watu wake aliowaajili kumtetea.
 
MKuu kuhusu lowassa hakuna asiyejuwa kuwa rafu zilichezwa.hili liko wazi.Lakin muda umefika tumejuwa hakuna asiyefahm kuhusu mchezo huu

Hakuna cha rafu pale.....Edo alikurupuka akatishia kujiuzulu, alidhani rais atakataa......kwakifupi alitishia kujamba ilhali ana tumbo la kuharisha.
 
Subirin mziki wa mamvi unakuja

HUO MZIKI unakuja chumbani kwako ila hakikisha umevua hiyo BIKINI ubakie na hizo shanga tu akiingia tu wee kazi yako ni kuzungusha miuno mpaka ukisikia goli limekuingia hapo ndo umsifie kwa muziki wake aliokupigisha.
 
Laana ya kumsingizia Lowassa inalitafuna bunge.
 
unakuja chumbani kwako ila hakikisha umevua hiyo BIKINI ubakie na hizo shanga tu akiingia tu wee kazi yako ni kuzungusha miuno mpaka ukisikia goli limekuingia hapo ndo umsifie kwa muziki wake aliokupigisha.

Ulicho kiandika kinaonyesha ni jinsi gani ulivyo mtupu kichwani,na bado ukirudi nyumbani unaitwa baba.umejivua nguo umeonyesha ulivyo leo
 
  • Thanks
Reactions: ocd
Uzuri ni kwamba hao wote ni Miccm, Miccm ni mijizi, na mitapeli trust me

yaani watanzania mnachekesha kabisa hamjui hii michezo ndiyo inatunyima maendeleo nyie mnakalia kuchekelea fulani alionewa, fulani hivi.

lowasa mnayemsema wanasema ni tajiri mkubwa wakati ni mwanasiasa utajiri aliutoa wapi wakati tunalalamika nchi imeingia mikataba ya madini hatupati chochote, miradi ya ujenzi ni ya kifisadi.

cha kusikitisha anayesimama kutetea ama hajapata chochote na anaishi maisha magumu kwa sababu ya upuuzi uliofanywa lakini yawezekana alisimamiwa kupata ajira ndiyo inamdanganya kutetea ufisadi.

mafisadi tunatakiwa kuanza kuwafunga mawe ya kusagia shingoni na kuwatosa baharini
 
Tulia wewe dawa ikuingi,huna ujanja wowote zaid ya woga wa kujifungua chumbani tena uvunguni huku ukibweka
 
ulicho kiandika kinaonyesha ni jinsi gani ulivyo mtupu kichwani,na bado ukirudi nyumbani unaitwa baba.umejivua nguo umeonyesha ulivyo leo
endelea kumshobokea mwizi fisadi edo majibu yako yatakuwa ni hayohayo
 
unakuja chumbani kwako ila hakikisha umevua hiyo BIKINI ubakie na hizo shanga tu akiingia tu wee kazi yako ni kuzungusha miuno mpaka ukisikia goli limekuingia hapo ndo umsifie kwa muziki wake aliokupigisha.

Moderator
Wahuni Kama hawa ni Kuwaweka kando.Hatuwezi kaa na watu wasiojiheshimu humu.Kama mtu hawezi changia mada bila ya lugha za matusi akae pembeni au arudi akafundishwe na wazazi wake.huku jukwaani kuna watu wazima wanaojishimu
 
Wadau
Wakati Tanzania nzima macho na masikio yako Dodoma Kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano kufuatilia kwa umakini report inayohusiana na sakata zima la escrow,Sasa imebainika kwamba aliyekuwa wazir mkuu mh Edward Lowassa alionewa dhidi ya kashfa iliyotikisa nchi ya Richmond.
Kama itakumbukwa baada ya kamati ya mwakyembe kumaliza kusoma repoort yake serikali haikutoa utetez wake kwenye sakata la richmond,wala kumsikiliza mh lowassa ili kujitetea kutona na tuhumu zake,hili limewekwa wazi leo pia na mbunge mmoja jina limenitoka bungeni alipo simama na kuomba mwongozo wa speaker kwanini kipindi cha mh lowassa anajiuzulu serikali haikutoa utetezi wake juu ya sakata la richmond lakin kwa hili la escrow serikali imetoa mtetezi wa upande wake,lakin kwa kila aliyetazama bunge speaker ameshindwa kulitilea ufafanuzi na kuendelea kuongoza bunge kwa ubabe.
Wanzania wote kwa ujumla tumeamka tumejuwa alichofnyiwa lowassa.
Na katika hali ya kawaida sijawahi kuona popote taarifa ya bunge kujibiwa hii ndo mara yangu yakwanza.
Niwaombe wabunge wote kilichobaki sasahiv msideal tena watuhumiwa escrow nawashaur anzeni kwanza na kura ya kutokuwa na imani na speaker tofauti na hapo mtakuwa mnapotezz muda wenu

Watanzania wote mmeamka akiwemo nani? Ktk hao Watanzania unaosema wote mm na wengine 60% ya wananchi tunaamini kuwa Lowasa na jitu jizi na lisilofaa ndani ya jamii.
 
Tulia wewe dawa ikuingi,huna ujanja wowote zaid ya woga wa kujifungua chumbani tena uvunguni huku ukibweka

hata washirika wa mafisadi tutaanza kuwatosa baharini maana mnalipwa kidogo mnatakatisha mafisadi kwa kelele zenu
 
moderator
wahuni kama hawa ni kuwaweka kando.hatuwezi kaa na watu wasiojiheshimu humu.kama mtu hawezi changia mada bila ya lugha za matusi akae pembeni au arudi akafundishwe na wazazi wake.huku jukwaani kuna watu wazima wanaojishimu
inaumaeeeee.. Tulia dawa ikuingie vizuri
 
Back
Top Bottom