Wadau
Wakati Tanzania nzima macho na masikio yako Dodoma Kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano kufuatilia kwa umakini report inayohusiana na sakata zima la escrow,Sasa imebainika kwamba aliyekuwa wazir mkuu mh Edward Lowassa alionewa dhidi ya kashfa iliyotikisa nchi ya Richmond.
Kama itakumbukwa baada ya kamati ya mwakyembe kumaliza kusoma repoort yake serikali haikutoa utetez wake kwenye sakata la richmond,wala kumsikiliza mh lowassa ili kujitetea kutona na tuhumu zake,hili limewekwa wazi leo pia na mbunge mmoja jina limenitoka bungeni alipo simama na kuomba mwongozo wa speaker kwanini kipindi cha mh lowassa anajiuzulu serikali haikutoa utetezi wake juu ya sakata la richmond lakin kwa hili la escrow serikali imetoa mtetezi wa upande wake,lakin kwa kila aliyetazama bunge speaker ameshindwa kulitilea ufafanuzi na kuendelea kuongoza bunge kwa ubabe.
Wanzania wote kwa ujumla tumeamka tumejuwa alichofnyiwa lowassa.
Na katika hali ya kawaida sijawahi kuona popote taarifa ya bunge kujibiwa hii ndo mara yangu yakwanza.
Niwaombe wabunge wote kilichobaki sasahiv msideal tena watuhumiwa escrow nawashaur anzeni kwanza na kura ya kutokuwa na imani na speaker tofauti na hapo mtakuwa mnapotezz muda wenu