Sasa Tumeamini Aliyofanyiwa Lowassa ilikuwa Mpango

Sasa Tumeamini Aliyofanyiwa Lowassa ilikuwa Mpango

Mpaka kufikia jioni tutakuwa umeshajivua nguo umebaki tupu,naanza kupata shaka na mkeo.

TOTO Unasiku 3 tu eti umeshota meno na sasa unataka kukimbia ushindane na baba zako weeeeee!!!!
 
lowassa ndio atakayewavua chupi zenu.eti escrow siyo hela ya serikal,manina zenu

hivi zile hela anazotoaga lowasa kwenye mikutano ya injili mbona huwa haziojiwi au kwasababu hazipitii bank lol!!!!!!!
 
hata washirika wa mafisadi tutaanza kuwatosa baharini maana mnalipwa kidogo mnatakatisha mafisadi kwa kelele zenu

Jiandae lowassa anakwenda kuwa rais wako,upende usipende.hata mkeo anajuwa hili kae naye vizuri atakuambia
 
Moderator
Wahuni Kama hawa ni Kuwaweka kando.Hatuwezi kaa na watu wasiojiheshimu humu.Kama mtu hawezi changia mada bila ya lugha za matusi akae pembeni au arudi akafundishwe na wazazi wake.huku jukwaani kuna watu wazima wanaojishimu

na wewe!!! HE!!! si umekuja juzi tu kulikoni!!!! nani kakufundisha kutapika?
 
yaani watanzania mnachekesha kabisa hamjui hii michezo ndiyo inatunyima maendeleo nyie mnakalia kuchekelea fulani alionewa, fulani hivi.

lowasa mnayemsema wanasema ni tajiri mkubwa wakati ni mwanasiasa utajiri aliutoa wapi wakati tunalalamika nchi imeingia mikataba ya madini hatupati chochote, miradi ya ujenzi ni ya kifisadi.

cha kusikitisha anayesimama kutetea ama hajapata chochote na anaishi maisha magumu kwa sababu ya upuuzi uliofanywa lakini yawezekana alisimamiwa kupata ajira ndiyo inamdanganya kutetea ufisadi.

mafisadi tunatakiwa kuanza kuwafunga mawe ya kusagia shingoni na kuwatosa baharini

Mpwa hakuna mahali popote nilipomshabikia Lowasa wala sijawahi kumuota Lowasa, Nilichokisema ni kwamba wote hao ni Ccm meaning kwamba hawanihusu kwa namna yoyote, nashangaaa imeniquote nakuandika kwa kirefu weeeeeee, please uwe unasoma kabla
 
nauliza tu kama kuna chuo cha ufisadi na mimi niende, maana naona wanalindwa na kutetewa sana
 
na wewe!!! HE!!! si umekuja juzi tu kulikoni!!!! nani kakufundisha kutapika?

We mwenye miaka mingi imekusaidia nn manake manake bado una mambo ya kitoto kama mwanangu jana ume zima
 
Kama EL utajiri alionao aliupata kihalali kwanini hataki kuweka wazi mali zake? Tumemsikia juzi kati akijitetea kuwa yy sio tajiri ila anamiliki ng'ombe wasiozidi 800 huko kijijini kwake. Anamiliki kiasi hicho cha mali lakini tumeshuhudia akialikwa kwny harambee na kuchangia hela nyingi sana mara nyingine hata 200milion, hivi ni ng'ombe tu alionao wanampa faida kiasi kikubwa hivyo? Narudia tena, km ni msafi na amepata mali zake kihalali ni kwanini azifiche fiche?
 
Mnajidanganya na LOWASSA wenu, kwamwe hawezi kuwa Rais na hao Twaweza tutahakikisha wanashughulikiwa na kuhama nchi kwa ripori yao ya kijinga
 
kwa hiyo kama ilikosewa mara ya kwanza, maana yake iendelewe kukosewa? we mheshimiwa ni kiboko

kwa hiyo ilikosewa mara ya kwanza tena labda kwa bahati mbaya kwa Lowassa,ikakosewa tena kwa kamati iliyomuengua David Kitundu Jairo,ikakosewa tena ktk report iliyowang'oa jumla ya mawaziri na manaibu wao 8 ktk operation tokomeza?ni kweli ilikosewa huku kote au iliachwa kwa makusudi mazima kabisa?
 
Mnajidanganya na LOWASSA wenu, kwamwe hawezi kuwa Rais na hao Twaweza tutahakikisha wanashughulikiwa na kuhama nchi kwa ripori yao ya kijinga

Mtashughulikiwz kwanza nyie wezi wa rasilimali za watanzania.wenye uchu wa mali huku watanzania wakikosa hata paracetam mahospitalini
 
Jiandae lowassa anakwenda kuwa rais wako,upende usipende.hata mkeo anajuwa hili kae naye vizuri atakuambia

alafu akipata uraisi wewe unapewa nini ? usemaji wa ikulu?
 
Wadau
Wakati Tanzania nzima macho na masikio yako Dodoma Kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano kufuatilia kwa umakini report inayohusiana na sakata zima la escrow,Sasa imebainika kwamba aliyekuwa wazir mkuu mh Edward Lowassa alionewa dhidi ya kashfa iliyotikisa nchi ya Richmond.
Kama itakumbukwa baada ya kamati ya mwakyembe kumaliza kusoma repoort yake serikali haikutoa utetez wake kwenye sakata la richmond,wala kumsikiliza mh lowassa ili kujitetea kutona na tuhumu zake,hili limewekwa wazi leo pia na mbunge mmoja jina limenitoka bungeni alipo simama na kuomba mwongozo wa speaker kwanini kipindi cha mh lowassa anajiuzulu serikali haikutoa utetezi wake juu ya sakata la richmond lakin kwa hili la escrow serikali imetoa mtetezi wa upande wake,lakin kwa kila aliyetazama bunge speaker ameshindwa kulitilea ufafanuzi na kuendelea kuongoza bunge kwa ubabe.
Wanzania wote kwa ujumla tumeamka tumejuwa alichofnyiwa lowassa.
Na katika hali ya kawaida sijawahi kuona popote taarifa ya bunge kujibiwa hii ndo mara yangu yakwanza.
Niwaombe wabunge wote kilichobaki sasahiv msideal tena watuhumiwa escrow nawashaur anzeni kwanza na kura ya kutokuwa na imani na speaker tofauti na hapo mtakuwa mnapotezz muda wenu

Mfamaji hatachina kutapatapa.
 
Back
Top Bottom