Star kazimia atakuja zinduka muda si muda na wasaidizi kedekedeStar wa season hii ni Ndugai atakuja hata mwisho wa season.
Tuko nae hapa kongwa tunajaribu kumtuliza na kumpa ushauri nasaha.😅munishi alisema mama mswahili,unapigwa maneno mpaka unakaa, muangalieni jobo asijitundike
Navuta zangu pop corn naongeza sauti naangalia movie ya kutisha ya mauaji ya kimbari ya ma nzi ya kijani... Nikasikia serikali ya mpito huko bungeni .. KWA KASIMU...!!!
Hutajwi kwa wadhifa wako
Hutajwi kwa cheo chako
Hutajwi kwa ubini wako
Hutajwi kwa mamlaka yako... Bali unatajwa kwa jina lako la kwanza!...Msg is clear n loud..!
Mteule mtukuka naye kasagiwa kunguni mbele ya kadamnasi....Jobo kasemwa, kasimangwa na kutukanwa kiutu uzima lakini kwa njia ya kudhalilishwa kabisa...Sikumbuki mara ya mwisho ni lini kuona mtu mkubwa wa wadhifa na cheo kikubwa akisemwa kama mtoto mdogo aliyekosea sana mbele za wageni.. Kimsingi amemalizwa..!
Fukoto huko ndani lilikuwa kubwa lakini hatimaye limepata pa kupumulia... Kati ya mengi aliyoambiwa kubwa ni usumbufu wa KIJANI mwenzake! Hajayajwa lakini 1 + 1 = na 11 (JoKa)?[emoji23]
Kipenga kimepulizwa rasmi..sio fununu tena, makundi yako bayana, mpasuko uko bayana...Mbio za 2025 zimefichuliwa rasmi...!
Pengine hekima ingewaongoza wote wakae kimya wasitoke hadharani.. Waitane huko huko ndani lakini imethibitika hilo halingewezekana kutokana na fukuto linalotokota huko kijanini ..
Kifuatacho sasa ni moto kukolezwa na chawa wa kila upande...kama bado hujajua hali ilivyo mbaya subiri wapate msiba wa mwenzao...
Mshtuko wangu ni kitu kizito alichopigwa nacho katelephone! Ni mipasho ya viwango vyake kwa Jobo... Wallah bimkubwa anajua kusimanga!!! Unaweza kuumwa kabisa[emoji23]
Sasa tusubiri season 3...!
😂Kusema kweli sijawahi kuona hali ya namna hii kwa watu wakubwa!..
Au ndo kazi ya dipu siteti..??
Namna alivyoitwa katelephone nimeitazama kwa jicho jengine aisee!.
Bi mkubwa alishika vazi lake halafu akaliweka sawa akaisogelea Mike vizuri... Ki body language hichi nilikielewa mambo yanapasuka Sasa😂
bado analalama wagogo wenzie kutukanwa kwa ajili yake ? mana ilimuuma sana hii😂Tuko nae hapa kongwa tunajaribu kumtuliza na kumpa ushauri nasaha.
muangalieni jobo asijitundike
Kapanic kwa issue ndogo sana. Lissu na Chadema wakianza mashambulizi sijui itakuwaje!Bibi kapanic
hahahaha,umesema kweli,yani kitu kibaya sana kudharirishwa na mwanamke,ila hakana cha kupoteza pesa kanayo ni vema katulie pembeni katajijengea heshimaNdugai mgogo hawa hawana aibu atakomaa hapo hapo pengine wampokonye kadi!!! Angekuwa MNYALU kwa kudhalilishwa namna hiyo na mwanamke angejitundika!!! Wenzie wangemwambia SWELA!
Hata mambo kikwete kayaleta... Nikasikia serikali ya mpito huko bungeni .. KWA KASIMU...!!!