Sasa Raisi Jk ameanza kazi Heko CHADEMA kwa kumuamsha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sasa Raisi Jk ameanza kazi Heko CHADEMA kwa kumuamsha

Discussion in 'Jamii Photos' started by Lucchese DeCavalcante, Mar 24, 2011.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG][​IMG]
   
 2. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hongera sana Watanzania wapenda maendeleo ambao mmempa changamoto ya kutosha rais wenu
   
 3. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  mbona ni kama anaonyesha pete ya ndoa tu hapo?
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Huko ndo anaharibu zaidi, naona anaishia kuwaponda mawaziri wake.
   
 5. N

  Nonda JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,222
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  Wakuu.
  Wakati munawapongeza CHADEMA kwa kutoa amri kwa rais na Rais ameitikia wito na "ameanza kufanya kazi" kama munavyosema basi munasahau upande wa pili wa shilingi.

  Ni kuwa Rais na CCM wanaanza kujipanga ili wapinzani wasiwe na la kusema inapofika 2015. Kama atafanya hizo kazi kama ambavyo anatakikana afanye itakapofika 2015 unafikiri kuna watu wataona umuhimu wa kubadilisha utawala?

  Ninachokiona mimi ni ile ile tabia ya serikali kusema tunatatua matatizo ya wananchi lakini hakuna kinachoendelea. Kufanya ziara katika wizara bado hakujatatua matatizo waliyonayo watanzania.

  Mumesahau ile semina elekezi ya mwanzo ya udhibiti matumizi ya fedha za serikali? Je hakuna ubadhirifu wa fedha za serikali?
  Uchumi umekua wanavyosema,je ugumu wa maisha umezidi au umepungua?

  Miaka kadhaa nyuma walisema tatizo la umeme litakuwa historia..leo hali ikoje?

  Anachofanya Mkuu ni photo opp. tu ili wananchi waone na wasikie kupitia vyombo vya habari kuwa mkuu anafanya juhudi kubwa kuleta " maisha bora " kwa kila mtanzania. Tusikubali kupigwa bao kiulaini. Watanzania ni wasahaulifu...tena kwa kasi ya ajabu!
   
 6. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #6
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Hizi AC zipo Wizara ipi???? Tena mbele?

  Si mchezo
   
 7. N

  Nonda JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,222
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  Mkuu ,
  Jina la wizara linaonekana au vipi mkuu?
   
 8. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  hana lolote, amezoea kutembea kla wkt, sa sfr za jamaica zmemuishia ndo kaamua kuuza sura kwnye mawizara!
   
 9. shanature

  shanature JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 718
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kaaazi kweli kweli,alikwenda kupata kifungua kinywa hapo,,aende maeneo korofi arusha,udom,,,dowans pale akamalize matatizo,,,:lol:
   
 10. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #10
  Mar 24, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuuu invisible umenifurahisha sana mkuuu! kweli huo ni uchafu na jengo linaonekana jipya kabisa hilo!
   
 11. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #11
  Mar 24, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  anamaanisha fananisha jina la wizara na kilichowekwa mkuuu! huwezi kuweka wizara kama hiyo vitu kama hivyo inaonyesha hata waliopo humo mabogasi tuu!
   
 12. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #12
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Duh! kuna mtu hajalewa swali hili. Inahitaji upeo mkubwa kupata ujumbe wa swali lako.
   
 13. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #13
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Wakati wenzako tunasoma wewe ulikuwa unakimbia umande, unaona sasa faida ya shule za kata hata kusoma kwenye picha hujui. Hapo Ni Wizara ya Simu na Computers.

  Nani aliyesema kuwa kuna mchezo hapo?
  Karibu kwenye club
   
 14. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #14
  Mar 24, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwamba amefanya nini sasa!!!!!!! Kupiga porojo tu? Tunapata hongera za lugha za kikampaini naona. Jamaa hana jipya. Nadhani anaelewana nao ili akienda azuge watanzania kama kawaida yetu. Tulidanganywa kwenye enzi za kuanzisha mtandao. Anamwandalia Lowassa urais. Tunataka amkamate mmilikiwa Dowans. Hatihitaji porojo
   
 15. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #15
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,894
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Ama kweli mkuu umeisoma vizuri hiii picha...umenifurahisha sana
   
 16. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #16
  Mar 24, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hujui kusoma?
   
 17. M

  Munghiki Senior Member

  #17
  Mar 24, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 153
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Labda kazinduka kuzidisha kupiga ramli bagamoyo kila wkend!te te teh
   
 18. S

  Songasonga Senior Member

  #18
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I think this worked well in 2006 I hope it will deliver this time. all the best JK ila muhimu kusikiliza mawazo ya wengine nje ya serikali yanaweza kuwa na mantiki
   
 19. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #19
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Watu wananivamia tu, ndo washauri wa Wizara hii au nao wananidaka bila kuviangalia viyoyozi vya "Sayansi na Teknolojia"?
   
 20. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #20
  Mar 24, 2011
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,262
  Likes Received: 4,236
  Trophy Points: 280
  Hao mabodigadi mbona wana vitambi
   
Loading...