Sasa nimeanza kumuelewa mh. Zitto Kabwe

Sasa nimeanza kumuelewa mh. Zitto Kabwe

ufisadi wowote akiwepo Chenge, mie nakata tamaa kabisa kama utamuangusha yoyote, embu tuangalie watu wote tunaowasikia kuwemo kwenye uo ufisadi, simuoni ata mmoja anayetikisika, naona kila mtu anafanya mambo yake kama hakuna kitu. ata huu ni upepo nao utapita tu.

mkuu utaki unaacha aliwaigusia njia za kumsafisha lowassa ni kumfanya tena waziri mkuu, embu tuone kama kama upepo huu utavuma.
 
Mkuu, hizi ni porojo tu. kwa taarifa yako ni kwamba huyu Salary Slip ni Kambi Zitto. Slip aliasi chama wakati wa sakata la Zitto ndani ya chama chao. Sishangai leo kuanzisha uzi kumsifu Zitto.
Mkuu ile habari ilitangazwa sana ya Zitto kuoa binti wa JK iliishia wapi? Najua uko karibu na ikulu hapo maana mkulu alikusifia baada ya ishu ya Warioba....
 
Mkuu, hizi ni porojo tu. kwa taarifa yako ni kwamba huyu Salary Slip ni Kambi Zitto. Slip aliasi chama wakati wa sakata la Zitto ndani ya chama chao. Sishangai leo kuanzisha uzi kumsifu Zitto.
Acha siasa za kishamba na chuki.

Hivi mbona tuliwabeza CUF kwa kuunda serikali ya umoja wa kitaifa na CCM kule Zanzibar lakini leo ndio washirika wetu muhimu kupitia UkAWA?

Hivi wewe adui yako ni Zitto au CCM?

Mpinzani mwenzako anapofanya jambo lolote linalosaidi kuiondoa CCM madarakani kwanini usimuunge mkono?

Kipi bora,mabifu miongoni mwa wapinzani au kuiondoa CCM madarakani?

Nakiri Zitto nae alifanya upuuzi na kosa kubwa kuwaita UKAWA wasaka tonge ila tunapoendekeza mabifu,CCM ndio furaha yao.

Kwangu mimini ni bora UKAWA wakaja kusalitiana huko baadae kuliko sasa kabla hawajaiondoa madarakani.

Vivyo hivyo,ujinga wa Zitto kwangu kwa sasa si issue kubwa kwangu ila cha muhimu kwangu ni mchango wake wa kuiondoa CCM madarakani.

Kama kweli ni msaliti wa mabadiliko,muda utaongea.

Tuache siasa za kukariri!
 
naanza kuamini tetesi zinazodai kuwa kuna mpango wa kuinusuru CCM isimeguke uchaguzi ujao kwa kutenegeneza mazingira ya kumteua mtu ambaye ni neutral (PINDA) na kuwapiga chini wgombea wenye makundi yaani EL,MEMBE,SITTA.

kwa maana hiyo basi kwa sasa kuna uwili mtakatifu kati ya JK na PINDA, ambao umejificha katika utendaji wa serikali,

ndo maana ukiangalia sakata la Escrow limekaa ki mtandao JK-PINDA kwamba JK anaonekana kumuhusisha pinda ili ipatikane hela ya kampeni 2015, wakati huo jk atapiga mihela ya capacity charge kupitia PAP & SIMBa TRUST,

kuna issue nyingine imeibuka muda sio mrefu kwamba uwili huu unahusika na mpango wa kifisadi wa kuiuza TTCL kwa kampuni ya VIETEL ya vietenam kumbuka ziara ya juzi ya mkulu vietenamu

ukichunguza kwa jicho la kiinteligensia utaona kwamba JK amemshawish PINDA agombee uraisi 2015 ili alinde maslahi ya dili zake ambazo Pinda amehusika ili kubalance mambo,

inabidi pinda ajiulize mara 2,2 je anamwamini huyu kigeugeu, kama ameisha wageuka maswahiba zake karibu wote, je issue ikisanuka si yatakuwa kama ya richmond??? Tusubiri muda utaongea

umefika ule muda wa kuchafuliana kikwelikweli mzee XX na master mind wako JIANDAENI na mh.XX na wenzako wenye NIA YA URAIS FILE NDIO ZINAFUNGULIWA kila siku kaeni pembeni.. inaTosha mshauza nchii, haina dira hata somalia wakitulia leo kesho watakuja kuwa wawekezaji wetu sio wakimbizi mbali sisi MCHEZO WA TELEVISION tuupe jina
 
Mkuu, hizi ni porojo tu. kwa taarifa yako ni kwamba huyu Salary Slip ni Kambi Zitto. Slip aliasi chama wakati wa sakata la Zitto ndani ya chama chao. Sishangai leo kuanzisha uzi kumsifu Zitto.
Acha siasa za kishamba na chuki.

Hivi mbona tuliwabeza CUF kwa kuunda serikali ya umoja wa kitaifa na CCM kule Zanzibar lakini leo ndio washirika wetu muhimu kupitia UkAWA?

Hivi wewe adui yako ni Zitto au CCM?

Mpinzani mwenzako anapofanya jambo lolote linalosaidi kuiondoa CCM madarakani kwanini usimuunge mkono?

Kipi bora,mabifu miongoni mwa wapinzani au kuiondoa CCM madarakani?

Nakiri Zitto nae alifanya upuuzi na kosa kubwa kuwaita UKAWA wasaka tonge ila tunapoendekeza mabifu,CCM ndio furaha yao.

Kwangu mimini ni bora UKAWA wakaja kusalitiana huko baadae kuliko sasa kabla hawajaiondoa madarakani.

Vivyo hivyo,ujinga wa Zitto kwangu kwa sasa si issue kubwa kwangu ila cha muhimu kwangu ni mchango wake wa kuiondoa CCM madarakani.

Kama kweli ni msaliti wa mabadiliko,muda utaongea.

Tuache siasa za kukariri!
 
Ile ya Richmond ndo ilikuwa mbaya Zaidi! Ndo maana hadi leo namchukia sana Mwakyembe kwa kuficha ukweli... Ukweli utadhihiri soon kuwa Lowassa alikuwa hauhusiki kwa namna yoyote na ile kashfa ya Richmond... Ngoma inogile kwa sanaaa
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.
Yericko kasema wamiliki wa 50% PAP ni Salma na Miraji. Huyo PM akidondoshwa atakuwa kaonewa tu.[/QUOTE]
 
Acha siasa za kishamba na chuki.

Hivi mbona tuliwabeza CUF kwa kuunda serikali ya umoja wa kitaifa na CCM kule Zanzibar lakini leo ndio washirika wetu muhimu kupitia UkAWA?

Hivi wewe adui yako ni Zitto au CCM?

Mpinzani mwenzako anapofanya jambo lolote linalosaidi kuiondoa CCM madarakani kwanini usimuunge mkono?

Kipi bora,mabifu miongoni mwa wapinzani au kuiondoa CCM madarakani?

Nakiri Zitto nae alifanya upuuzi na kosa kubwa kuwaita UKAWA wasaka tonge ila tunapoendekeza mabifu,CCM ndio furaha yao.

Kwangu mimini ni bora UKAWA wakaja kusalitiana huko baadae kuliko sasa kabla hawajaiondoa madarakani.

Vivyo hivyo,ujinga wa Zitto kwangu kwa sasa si issue kubwa kwangu ila cha muhimu kwangu ni mchango wake wa kuiondoa CCM madarakani.

Kama kweli ni msaliti wa mabadiliko,muda utaongea.

Tuache siasa za kukariri!

Umekhuluma kahle malume endelea kuwaelewesha mazezeta wataelewa tu mwaka huu
 
Achana naye huyo,ni mpiga debe wa mzee aka prof wa Kichina,na wamemnunia Zitto sababu ameishikia BANGO ulaji,tonge lidondoke wangu?MAte aynawatoka saa hizi.
 
Sikuu chache zilizopita(haizidi week), mh.Zitto,alisema kuwa kashifa ya Tegeta Escrow account inaweza kumuangusha "tembo mkubwa".

Baada ya kauli ile,nilijiuliza swali moja tu,huyu tembo mkubwa ni nani?Baade nikajisemea(kwa uzoefu wa siku za nyuma) atakuwa ni PM wetu ingawa nilibaki na duku duku moyoni mwangu.

Hat hivyo,nashukuru leo nimepata jibu na dukuduku langu ambalo nilikuwa nalo, sasa limeisha, kwani leo nimepata jibu sahihi zaidi kuhusu huyu "tembo mkubwa" ni nani.

Kweli hakuna siri chini ya jua na siri ni ya mtu mmoja na si zaidi.

Ahsante Zitto japo uliniboa sana kuwaita viongozi wa UKAWA wasaka tonge.

Pia,shukrani @Yericko nyerere

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.

TEMBO MKUBWA hana meno?Maana tungemwita MCHINA amtembolize basi ili tuwe huru kidogo ah!!!!!!!!!!!!!!
 
dah,hii nchi mm nmekata tamaa nayo kabsa
 
Sikuu chache zilizopita(haizidi week), mh.Zitto,alisema kuwa kashifa ya Tegeta Escrow account inaweza kumuangusha "tembo mkubwa".

Baada ya kauli ile,nilijiuliza swali moja tu,huyu tembo mkubwa ni nani?Baade nikajisemea(kwa uzoefu wa siku za nyuma) atakuwa ni PM wetu ingawa nilibaki na duku duku moyoni mwangu.

Hat hivyo,nashukuru leo nimepata jibu na dukuduku langu ambalo nilikuwa nalo, sasa limeisha, kwani leo nimepata jibu sahihi zaidi kuhusu huyu "tembo mkubwa" ni nani.

Kweli hakuna siri chini ya jua na siri ni ya mtu mmoja na si zaidi.

Ahsante Zitto japo uliniboa sana kuwaita viongozi wa UKAWA wasaka tonge.

Pia,shukrani @Yericko nyerere

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.

saaaaaaafi sana Zitto
 
Last edited by a moderator:
Kikwete ni mtaalamu wa kuwatelekeza wenzake kama ni kweli suala la bilioni 200 za Tegetta Escrow acc. JMK & PINDA Wamehusika.

Basi itakula kwa Hon.PM Mizengo Pinda hakushituka aliingizwa ili achafuke wapate sa7bu ya kuweka mtu wao nje na akina Edo,Pinda,Sumaye,Membe na Nchimbi.

LAKINI TUKAYE TUKIJUA NDANI CCM HAPATOSHI PATACHIMBIKA 2015.
 
Hivi kweli masikini tutabakia kuwa masikini?Ch wa TZ wote wanachukua wachache. Dunia hii.
 
hivi kuna mtu anaweza kutuambia urafiki wa JK na PM ni wa kitambo kama wa EL na JK???? lakini mbona huyu jamaa alimtosa swahiba wa tangu kipindi kile sembuse huyu alie mkuta kwenye system na kufanya urafiki wa kiutendaji tu??? huyu wamekutana officn lakini EL tangu chuo na akamtosa ....hapa PM anatakiwa kuwa makini na uamuzi wake huo unaweza usitimie na mambo yakaenda ndivosivo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom