Sasa ni zamu ya kutengeza dimpoz mashavuni.

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,850
34,301
SASA NI ZAMU YA KUTENGEZA DIMPOZ MASHAVUNI..jpg
 
Wanawake ndo viumbe wanaoongeza kwa kuvumilia maumiv mbali na kuzaa ambae maumivu yake ni terabytes100.
wanajichubua kwa kumeza madawa jiulize unameza dawa hadi ngoz inabanduka juu je huko tumbon patakuwaje?!
Wananyoa huko chin n kwapan kwa sukar y moto kisha nywele zinanyofolew kwa kuvutwa daah wanavumilia tu.
we mwanaume jarib kusuka rasta uone km utavumilia utavutwa hd pua karibu ifike utosini hawajal kisa uzuri tu.yaan wakisuka nadhan huwa wanakula diclopa mwez mzima
 
duuh kaz ipo
kweli siku hizi ni ela yako tu,kila kitu kinawezekana
 
Back
Top Bottom