Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,733
- 218,320
Ni jumapili hii , Wote mnakaribishwa
Anawasha moto mji wa Dodoma kwa kiberiti au kwa Bomu?
Harufu ya kinyesi si unajua MASHOGA wakikata kamba!Anawasha moto mji wa Dodoma kwa kiberiti au kwa Bomu?
Wazee wa Jik, inasemekana hata shetani akiingia humo anatoka kang'aa kama malaika
Muda huo hana ilimradi kapata mgao wa ruzuku kutoka kwa M/kiti wa maisha wa kueneza propaganda ,mengine sio kazi yakeMkuu huwa unaleta hizi habari huku jukwaani, kisha hutoi tena mrejesho wa hiyo mikutano. Huwa husemi kama haijafanyika na kwanini. Ni vyema uwe na taarifa za kutosha na uhakika kuhusu hizo press conference, na zisipofanyika sio vibaya ukitujulisha ni kwanini.
Sikumbuki mkutano ambao haukufanyika baada ya taarifa zake kuletwa jukwaani na ukazuiwa nikawanyima mrejesho , mara zote niko Active sana , inawezekana huwa nyuzi zake zinakupita , hata hivyo mimi kama mwanadamu yawezekana niliwahi kukosea , ikiwa ni hivyo nisamehewe .Mkuu huwa unaleta hizi habari huku jukwaani, kisha hutoi tena mrejesho wa hiyo mikutano. Huwa husemi kama haijafanyika na kwanini. Ni vyema uwe na taarifa za kutosha na uhakika kuhusu hizo press conference, na zisipofanyika sio vibaya ukitujulisha ni kwanini.
Nyalandu aliondoka ccm kwa heshima kubwa sana , alipinga mauajiWazee wa Jik, inasemekana hata shetani akiingia humo anatoka kang'aa kama malaika
Nyarandu ni mwanasiasa mstaarabu na makini sana.Nyalandu aliondoka ccm kwa heshima kubwa sana , alipinga mauaji
Kuna faili la uchafu wake kwa mzee Mangula likifunguliwa hamtatamani kumuangalia usoni ila muda si mrefu yaliyo sirini juu ya huyo mnyaturu yatafunuliwaNyalandu aliondoka ccm kwa heshima kubwa sana , alipinga mauaji
Is he now mentally fit? Sijawahi muona Nyarandu kama mtu wa maana hata kumsikiliza. Sijui kwa nini CHADEMA haipati mafunzo ya wahamiaji hawa. Nyarandu yule aliyewahi kusema wamarekani wanataka yeye ndo awe rais wa TZ!! Naye anakuwa mwansiasa serious kiasi cha kupewa kanda?
Humjui Nyalandu wewe , hebu jiulize kisa cha ndege kuwabeba wale watoto majeruhi kule Arusha , Hao ccm kwa kumtumia Kigwangwala walishasema Nyalandu atashitakiwa , hizo fyokofyoko ulishazisikia tena ? halafu soma gazeti la Jamhuri uone uchafu wa Kigwangwala ulivyoanikwa , ukishasoma muulize Kigwangwala ni lini atamshitaki Nyalandu .Is he now mentally fit? Sijawahi muona Nyarandu kama mtu wa maana hata kumsikiliza. Sijui kwa nini CHADEMA haipati mafunzo ya wahamiaji hawa. Nyarandu yule aliyewahi kusema wamarekani wanataka yeye ndo awe rais wa TZ!! Naye anakuwa mwansiasa serious kiasi cha kupewa kanda?