Sasa ni zamu ya Dodoma, Nyalandu kuwasha moto mkubwa sana !

Kuna faili la uchafu wake kwa mzee Mangula likifunguliwa hamtatamani kumuangalia usoni ila muda si mrefu yaliyo sirini juu ya huyo mnyaturu yatafunuliwa
Huyo Mangula ana uchafu wa kutisha , amehusika kutumia hela za umma kununua binadamu , tumemsitiri kwa uzee wake tu , lakini akileta uzushi tutafunua uozo wake wote , potelea mbali
 
..mkutano na waandishi wa habari.

..mikutano ya hadhara wanaruhusiwa ccm peke yao.

..na ukizingatia hapo ni Dodoma kwa kamanda Muroto huenda Polisi wakazuia press conf ya Nyalandu.
Murotto mwenyewe kakalia kuti kavu , yale mauaji ya yule Ustaadh , siku yoyote kinaripuka !
 
System ya uongozi wa kanda inaibeba sana CHADEMA. Hii itakuwa mwarobaini wa umaskini wa nchi kama itatumiwa na serikali. Na pia inaonesha decentralized leadership, sio kila kitu national chair au SG.
 
System ya uongozi wa kanda inaibeba sana CHADEMA. Hii itakuwa mwarobaini wa umaskini wa nchi kama itatumiwa na serikali. Na pia inaonesha decentralized leadership, sio kila kitu national chair au SG.
Chadema ni Mpango wa Mungu
 
Sikumbuki mkutano ambao haukufanyika baada ya taarifa zake kuletwa jukwaani na ukazuiwa nikawanyima mrejesho , mara zote niko Active sana , inawezekana huwa nyuzi zake zinakupita , hata hivyo mimi kama mwanadamu yawezekana niliwahi kukosea , ikiwa ni hivyo nisamehewe .

Maelezo yamekaa vizuri hayo kamanda, ni mambo ya kukumbushana.
 
Back
Top Bottom