Sasa ni zamu ya Dodoma, Nyalandu kuwasha moto mkubwa sana !

Is he now mentally fit? Sijawahi muona Nyarandu kama mtu wa maana hata kumsikiliza. Sijui kwa nini CHADEMA haipati mafunzo ya wahamiaji hawa. Nyarandu yule aliyewahi kusema wamarekani wanataka yeye ndo awe rais wa TZ!! Naye anakuwa mwansiasa serious kiasi cha kupewa kanda?
When did you diagnose him to be mentally unfit?

Kutowahi mwona kwako kama mtu wa maana ndiko kunakomfanya asiwe mentally fit?
Mbona ni wewe ndie unayeonekana kuwa 'mentally unfit'!

Nyalandu kaachia ubunge kwa hiari yake baada ya kuchukizwa na vitendo visivyo vya heshima vya kutaka kutoa roho za watu kwa sababu tu za kutokubaliana kisiasa. Kitendo hicho kinamtofautisha na kumpa heshima kwa watu wenye busara, na sio kama ulivyo wewe.
 
Jamaa anajua kuwalaghai makamanda.
 
Sikumbuki mkutano ambao haukufanyika baada ya taarifa zake kuletwa jukwaani na ukazuiwa nikawanyima mrejesho , mara zote niko Active sana , inawezekana huwa nyuzi zake zinakupita , hata hivyo mimi kama mwanadamu yawezekana niliwahi kukosea , ikiwa ni hivyo nisamehewe .
Unamjibu huyo POYOYO? Piga kazi mkuu achana na ma CCM hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikumbuki mkutano ambao haukufanyika baada ya taarifa zake kuletwa jukwaani na ukazuiwa nikawanyima mrejesho , mara zote niko Active sana , inawezekana huwa nyuzi zake zinakupita , hata hivyo mimi kama mwanadamu yawezekana niliwahi kukosea , ikiwa ni hivyo nisamehewe .

WAPI MKUTAMO WA IRINGA,ITV, TBC STAR TV, CLOUDS. WALA WASAFI TV HAWAKUONESHA LIVE,

WEKA CLIP YA MKUTANO WA IRINGA KWANZA.
 
When did you diagnose him to be mentally unfit?

Kutowahi mwona kwako kama mtu wa maana ndiko kunakomfanya asiwe mentally fit?
Mbona ni wewe ndie unayeonekana kuwa 'mentally unfit'!

Nyalandu kaachia ubunge kwa hiari yake baada ya kuchukizwa na vitendo visivyo vya heshima vya kutaka kutoa roho za watu kwa sababu tu za kutokubaliana kisiasa. Kitendo hicho kinamtofautisha na kumpa heshima kwa watu wenye busara, na sio kama ulivyo wewe.
UNawezaje kutaka urais wa Tanzania kwa mapendekezo ya wamarekani, halafu tuseme akili yako iko sawa?
 
WAPI MKUTAMO WA IRINGA,ITV, TBC STAR TV, CLOUDS. WALA WASAFI TV HAWAKUONESHA LIVE,

WEKA CLIP YA MKUTANO WA IRINGA KWANZA.
Mbona mkutano wa Iringa umewekwa sana humu mkuu ? tena una wachangiaji zaidi ya 100 , Unajua mimi nilitoa taarifa ya mkutano ni kweli , lakini kuna mdau alikuwa mkutanoni na akaweka yote yaliyojili kwa uzi mpya alioufungua , sasa isingewezekana mimi kuleta tena uzi mpya kuhusu hilo , ungeungwa tu , hata hivyo mimi niliweka Updates ya video ya mkutano ule kwenye uzi wangu , utafute ujionee .

Hatubahatishi mkuu
 
Weka clip ya iringa,

na je, kwa nini TVs local hawakuonesha hata vipande vya mkutamo wa Iringa?
 
Nitajitahidi kuitafuta nikuwekee ili uridhike , TV za Tanzania zimeamriwa gizani kutoonyesha habari za Chadema , na zikifanya hivyo zitashughulikiwa , badala yake zinatakiwa zionyeshe vimbwanga vya Tunatekeleza , bombadier , flyover ya mfugale na mikutano ya Polepole akinunua madiwani
 
Back
Top Bottom