Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,511
CC ya chama ambacho yeye ndiye Mwenyekiti - kichekesho ati kuongoza kikao chenye ajenga hasi juu yako.Nawakumbusha anayeweza kumtoa Rais wa Sasa wa Tanzania na Afrika kusini ni CC ya vyama Tawala na Jeshi
Mwenyekiti huachia nafasi kwa Makamu wakeCC ya chama ambacho yeye ndiye Mwenyekiti - kichekesho ati kuongoza kikao chenye ajenga hasi juu yako.
amini amini nakwambia, Rais wa nchi akishaapa tu huwezi mfanya lolote, na kwa katiba hii hakuna mwenye ubavu ndani ya ccm wa kujaribu hoja ya kumtoa 2025 mpaka 2030 kama akitaka kugombea.Mwenyekiti huachia nafasi kwa Makamu wake
Rudia tena kusoma ulichoandika kisha tafakari kwa kina...amini amini nakwambia, Rais wa nchi akishaapa tu huwezi mfanya lolote, na kwa katiba hii hakuna mwenye ubavu ndani ya ccm wa kujaribu hoja ya kumtoa 2025 mpaka 2030 kama akitaka kugombea.
Kwa sasa CCM Haina wazee makini kwa issues za kitaifa...wengi waliopo wameamua kujinyamazia kimya...Hivi Karibuni Mzee Mangula amewashangaa viongozi wa Serikali wanaojadili kuhusu Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Bila shaka hata Samia ni mmoja ya hao viongozi...
Awe nje ya kikao au wapi ila nakwambia process ya kumwengua Rais wa nchi kama mgombea tutaweka historia katika chama.Rudia tena kusoma ulichoandika kisha tafakari kwa kina...
si kwa CCM hii ndugu, hiyo ni hoja ya kufikirika - Kwa katiba hii hakuna sehemu yoyote ile ambayo Rais atawajibika kwa lolote lile.Hivi ikitokeo robo tatu ya mawaziri wote , wakatangaza kujiuzulu, ubavu utamkao "nonsense", hautovunjika kweli? "We need brains only to settle things, at once."
Watamani yajirudie tena yaliyompata Mangula wakata wa kumtema Membe?Mwenyekiti huachia nafasi kwa Makamu wake
2025 tunaprint fomu moja tu kwa ajili ya Samia huo ndo utaratibu na utamaduni wetu CCM kwa incubent president.Hivi Karibuni Mzee Mangula amewashangaa viongozi wa Serikali wanaojadili kuhusu Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Bila shaka hata Samia ni mmoja ya hao viongozi.
Nina hakika kabisa kama Kutakuwa na majadiliano yenye manufaa ya nchi, Mradi wa Bagamoyo hauwezi kuanza hata Hadi 2025, otherwise wakubali leo kesho waanze Ujenzi.
Wote tunajua Samia hakutarajia kuwa Rais hivyo Hana lengo lolote kubwa kwa nchi, yeye Yuko tayari Kufanya lolote asiloweza kuvumilia kelele zake.
Kwa maslahi mapana na ustawi wa nchi Wazee wa CCM na Wakuu wa vyombo vya Dola, mshaurini Samia asijipe matumani ya Urais 2025.
Nawakumbusha anayeweza kumtoa Rais wa Sasa wa Tanzania na Afrika kusini ni CC ya vyama Tawala na Jeshi
Hivi Karibuni Mzee Mangula amewashangaa viongozi wa Serikali wanaojadili kuhusu Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Bila shaka hata Samia ni mmoja ya hao viongozi.
Nina hakika kabisa kama Kutakuwa na majadiliano yenye manufaa ya nchi, Mradi wa Bagamoyo hauwezi kuanza hata Hadi 2025, otherwise wakubali leo kesho waanze Ujenzi.
Wote tunajua Samia hakutarajia kuwa Rais hivyo Hana lengo lolote kubwa kwa nchi, yeye Yuko tayari Kufanya lolote asiloweza kuvumilia kelele zake.
Kwa maslahi mapana na ustawi wa nchi Wazee wa CCM na Wakuu wa vyombo vya Dola, mshaurini Samia asijipe matumani ya Urais 2025.
Nawakumbusha anayeweza kumtoa Rais wa Sasa wa Tanzania na Afrika kusini ni CC ya vyama Tawala na Jeshi
Na kuhakikishia, kwa mfano huu, kama aliyeonekana anapiga pushapu jukwaani, akapiga jalamba na makondoo, kisha akatika kama utepe katikati ya mkasi, jua ipo namna, ya kuweka mambo sawia, hakuna aliye mkuu mbele ya system. Katiba hata ingeandika kiongozi akipuyanga, apigwe risasi mara moja, bado kipengele hicho kingesigimwa kama kovidi 19, walivyotulia bungeni.si kwa CCM hii ndugu, hiyo ni hoja ya kufikirika - Kwa katiba hii hakuna sehemu yoyote ile ambayo Rais atawajibika kwa lolote lile.
Hakika,eti wakuu wa vyombo vya ulinzi wamshauri asigombee 2025.CC ya chama ambacho yeye ndiye Mwenyekiti - kichekesho ati kuongoza kikao chenye ajenga hasi juu yako.
Mkapa alitamka hadharaniHao wazee waliwahi kumshauri Magu?au waliogopa kuambiwa wanawashwa washwa.
Katiba hiyohiyo mbovu (46A) inampa mamlaka spika kuanzisha mchakato wa kumng'oa rais; na mchakato ukianzishwa hawezi kuuzuia kwani atatakiwa kukabidhi madaraka kwa makamu mchakato ukiendelea.Rais wa nchi akishaapa tu huwezi mfanya lolote, na kwa katiba hii hakuna mwenye ubavu ndani ya ccm wa kujaribu hoja ya kumtoa 2025 mpaka 2030 kama akitaka kugombea.
Napita naogopa wasiojulikanaHivi Karibuni Mzee Mangula amewashangaa viongozi wa Serikali wanaojadili kuhusu Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Bila shaka hata Samia ni mmoja ya hao viongozi.