Nathason2
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 598
- 680
Ebu nukuu sehemu niliposema jeshi la polisi lithibitishe kazi zake, au nabishana na hamnazo?Unapotaka jeshi la polisi lithibitishe kazi zake za kipelelezi hadharani wewe ni nani?
Ebu nukuu sehemu niliposema jeshi la polisi lithibitishe kazi zake, au nabishana na hamnazo?Unapotaka jeshi la polisi lithibitishe kazi zake za kipelelezi hadharani wewe ni nani?
Kuondolewa CCTV kama ni Kweli, sina hakika kwa Sababu sijawahi fika eneo la tukio. pia si Sababu ya kupoteza ushahidi, pengine zimehifadhiwa Kwa Lengo maalum, wasije wahusika wa tukio kuzi tamper.Hata kama akihojiwa hana msaada kama CCTV zilizoondolewa kuficha ukweli.
Dereva police wangemtaka siku ya tukio alikuwepo kwenye tukio, hospital, Airport na kesho yake. Lakini police Wamemtafuta kupitia vyombo vya habari siku ya tatu baadaye!!!
Bado pia wasiojulikana wanaendelea kutesa nani atagarantee usalama wake?!! Ukizingatia mtuhumiwa mkuu ni anayetaka kumhoji?!! Hili jambo lichukuliwe bila msukumo isipokuwa ki taalamu
Sawa wewe unazo, Unapotaka jeshi la polisi likwambie mahojiano lililofanya unamaanisha Nini?Ebu nukuu sehemu niliposema jeshi ka polisi lithibitishe kazi zake, au nabishana na hamnazo?
Kama ni siri basi hata dreva inawezekana alishahojiwa, au mpaka uwepo wewe ndo ushuhudie! Ulichokiandika na unavyotetea hoja it is total madness, si afadhali mkae kimya? Kwani lazima mpost kuhusu hili? Hata mtoto mdogo anajua nani alihusika katika hili, unajitenya na kucheka mwenyeweAkihojiwa inabaki kua ni ndani ya jeshi la polisi, si kwamba jeshi la polisi litaita vyombo vya Habari kueleza kilichojiri katika mahojiano
Mm nimekuomba uninukuu japo sehemu moja tu nilipolitaka jeshi la polisi lithibitishe kazi zake unarukaruka na kutaka kunimezesh maneno. Siku nyingine ujipange usidhani huku JF wamejaa poyoyo kiasi ukileta vioja nao wanakubali tu.Sawa wewe unazo, Unapotaka jeshi la polisi likwambie mahojiano lililofanya unamaanisha Nini?
Sawa mwerevu kwenye hamnaMm nimekuomba uninukuu japo sehemu moja tu nilipolitaka jeshi la polisi lithibitishe kazi zake unarukaruka na kutaka kunimezesh maneno. Siku nyingine ujipange usidhani huku JF wamejaa poyoyo kiasi ukileta vioja nao wanakubali tu.
Mnajihangaisha tu Lisu alishasema anapokuja kuhojiwa Dereva wake naye atakuwepo hapohapo.Itapendeza Sana huyu dereva akirejea nchini akawapatia maelezo ya tukio jeshi la polisi ili waendelee na mchakato wa kutafuta wahusika wa tukio, kwani ni shahidi muhimu Sana, au na yeye kaenda Belgium?
ili igizo lisibume?Mnajihangaisha tu Lisu alishasema anapokuja kuhojiwa Dereva wake naye atakuwepo hapohapo.
Nisiwachoshe......miezi 4 imepita tangu apelekwe Nairobi kwa matibabu
1.dereva wa TL yuko wapi?
2.kama yuko Nairobi matibabu yake yanaendeleaje?hatujawahi pata mrejesho
3.ameambatana na TL kwa matibabu zaidi Belgium?
4.au alishatanguliaBelgium kwa matibabu zaidi?kwenye picha za kumuaga TL sijaona sura yake
5.ni lini atarudi kuhojiwa na jeshi la polisi?
Makamanda matusi badala ya kujibu hoja ruksa kama kawaida yenu!
Usipende kusema sana mambo ya ukweli sio vizur kabisaaaWanajua akiminywa na polisi atawataja washambuliaji na huo ndiyo utakuwa mwisho wa mwenyekiti kuonekana mitaani.
Hugo jamaa kwa kweli noma, nasikia alikunywa sumu ya mkojo wake harafu akakimbilia chooni kuharisha mkojoKunywa sumu kama Barbarosa alivyosema jana lakini akaahirisha ili aendelee kula buku 7
Kuna jambo mnaficha!siku mtakapovuliwa nguo sijui mtakuja na kiki gani kujisitiri!muda ni jibu!Unataka kujua alipo ili mkafanye yenu nyie msiojulikana?!