Sasa ni Wakati wa dereva wa Lissu kurudi nchini ili afanye mahojiano na Jeshi la Polisi, au bado counselling inaendelea?

Hata kama akihojiwa hana msaada kama CCTV zilizoondolewa kuficha ukweli.

Dereva police wangemtaka siku ya tukio alikuwepo kwenye tukio, hospital, Airport na kesho yake. Lakini police Wamemtafuta kupitia vyombo vya habari siku ya tatu baadaye!!!
Bado pia wasiojulikana wanaendelea kutesa nani atagarantee usalama wake?!! Ukizingatia mtuhumiwa mkuu ni anayetaka kumhoji?!! Hili jambo lichukuliwe bila msukumo isipokuwa ki taalamu
Kuondolewa CCTV kama ni Kweli, sina hakika kwa Sababu sijawahi fika eneo la tukio. pia si Sababu ya kupoteza ushahidi, pengine zimehifadhiwa Kwa Lengo maalum, wasije wahusika wa tukio kuzi tamper.
Hata hivyo Kuondolewa CCTV hakufanyi dereva asitoe maelezo yake, pengine hujui shughuli ya kipelelezi inavyofanyika
 
Akihojiwa inabaki kua ni ndani ya jeshi la polisi, si kwamba jeshi la polisi litaita vyombo vya Habari kueleza kilichojiri katika mahojiano
Kama ni siri basi hata dreva inawezekana alishahojiwa, au mpaka uwepo wewe ndo ushuhudie! Ulichokiandika na unavyotetea hoja it is total madness, si afadhali mkae kimya? Kwani lazima mpost kuhusu hili? Hata mtoto mdogo anajua nani alihusika katika hili, unajitenya na kucheka mwenyewe
 
Sawa wewe unazo, Unapotaka jeshi la polisi likwambie mahojiano lililofanya unamaanisha Nini?
Mm nimekuomba uninukuu japo sehemu moja tu nilipolitaka jeshi la polisi lithibitishe kazi zake unarukaruka na kutaka kunimezesh maneno. Siku nyingine ujipange usidhani huku JF wamejaa poyoyo kiasi ukileta vioja nao wanakubali tu.
 
Sawa mwerevu kwenye hamna
 
Itapendeza Sana huyu dereva akirejea nchini akawapatia maelezo ya tukio jeshi la polisi ili waendelee na mchakato wa kutafuta wahusika wa tukio, kwani ni shahidi muhimu Sana, au na yeye kaenda Belgium?
Mnajihangaisha tu Lisu alishasema anapokuja kuhojiwa Dereva wake naye atakuwepo hapohapo.
 
Nisiwachoshe......miezi 4 imepita tangu apelekwe Nairobi kwa matibabu
1.dereva wa TL yuko wapi?
2.kama yuko Nairobi matibabu yake yanaendeleaje?hatujawahi pata mrejesho
3.ameambatana na TL kwa matibabu zaidi Belgium?
4.au alishatanguliaBelgium kwa matibabu zaidi?kwenye picha za kumuaga TL sijaona sura yake
5.ni lini atarudi kuhojiwa na jeshi la polisi?
Makamanda matusi badala ya kujibu hoja ruksa kama kawaida yenu!
 
Bado mnampango wa kupoteza maisha ya hawa jamaa?

Kuweni na utu basi.
 
Kunywa sumu kama Barbarosa alivyosema jana lakini akaahirisha ili aendelee kula buku 7
Hugo jamaa kwa kweli noma, nasikia alikunywa sumu ya mkojo wake harafu akakimbilia chooni kuharisha mkojo

Chezea buku 7 uone
 
Hivi yule wa marehemu wangwe nae yupo wapi? Mbowe mungu anakuona ujue!!.. huu uenyekiti hukuumbiwa peke yako ujue!!
 
Back
Top Bottom