Sasa ni Wakati wa dereva wa Lissu kurudi nchini ili afanye mahojiano na Jeshi la Polisi, au bado counselling inaendelea?

Hivi lazima iwe nchini kwani huko huko haiwezekani?
Si mliapa kwamba hamtaki kuona wapelelezi Kenya, kwamba kuna njama mbaya, Sasa mgonjwa huyo Belgium, aje Sasa nyongi atoe ushirikiano
 
Ila linafanya kazi kama unavyowaza wewe? Acha vituko ww
Kwanza fahamu kilichoandikwa, sijalielekeza jeshi Namna ya kufanya kazi, nmecomment, nikiomba shahidi muhimu Sana katika tukio aache kujificha
 
Hiyo mihemko umeoiona au ni povu tu na kuelemewa na ushabiki
Shabiki ni wewe, Mimi nimetoa maoni yangu, wewe unaleta usimba na yanga, Nilitegemea utatoa Sababu hai, ni kwa Nini hakuna haja ya yeye kuhojiwa kwenye sakata hili
 
Itapendeza Sana huyu dereva akirejea nchini akawapatia maelezo ya tukio jeshi la polisi ili waendelee na mchakato wa kutafuta wahusika wa tukio, kwani ni shahidi muhimu Sana, au na yeye kaenda Belgium?
Kwanza fahamu kilichoandikwa, sijalielekeza jeshi Namna ya kufanya kazi, nmecomment, nikiomba shahidi muhimu Sana katika tukio aache kujificha
Ww uliweza vp kutambua kuwa dreva ni shahidi muhimu na kwa nn wasiwe polisi waliokuwa wakilinda eneo la tukio, kwa nn awe mtu aliyekuwa akishambuliwa?
 
Utasikia tulivyokua tunamuhoji bahati mbaya tukavamiwa tena,katika harakati za kumuokoa.....embu liacheni jeshi letu msilisumbue
 
Shabiki ni wewe, Mimi nimetoa maoni yangu, wewe unaleta usimba na yanga, Nilitegemea utatoa Sababu hai, ni kwa Nini hakuna haja ya yeye kuhojiwa kwenye sakata hili
Waanze kuhojiwa polisi waliokuwa wakilinda eneo la tukio sio dreva aliyekuwa anashambuliwa pamoja na mhanga.
 
Itapendeza Sana huyu dereva akirejea nchini akawapatia maelezo ya tukio jeshi la polisi ili waendelee na mchakato wa kutafuta wahusika wa tukio, kwani ni shahidi muhimu Sana, au na yeye kaenda Belgium?
Unalisemea jeshi la Polisi?
 
Ww uliweza vp kutambua kuwa dreva ni shahidi muhimu na kwa nn wasiwe polisi waliokuwa wakilinda eneo la tukio, kwa nn awe mtu aliyekuwa akishambuliwa?
Wakati tukio linatokea alikuwepo, walikua wawili tu, Lissu na dereva wake, Sasa huoni kwamba ni kiungo muhimu kwenye hili sakata?, kuhusu wale waliokua Lindo siwezi wasemea, naamini nao itakua wameeleza yao, japo sina hakika katika hili
 
Yale ni makazi ya viongozi yanalindwa 24HRS seven days na kamera za usalama zipo sasa ukiamua kujitoa ufahamu jitoe, by the way umewahi hata kusikia mlio wa risasi? Umewahi kukaribia Umauti, umewahi kupambana kuikoa roho yako isikutoke? nadhani ungepitia moment ya kukaribia kupoteza uhai usingesema dreva ni shaidi wa kwanza ungeufunza mdomo wako kunyamaza.
 
Shabiki ni wewe, Mimi nimetoa maoni yangu, wewe unaleta usimba na yanga, Nilitegemea utatoa Sababu hai, ni kwa Nini hakuna haja ya yeye kuhojiwa kwenye sakata hili
Hata kama akihojiwa hana msaada kama CCTV zilizoondolewa kuficha ukweli.

Dereva police wangemtaka siku ya tukio alikuwepo kwenye tukio, hospital, Airport na kesho yake. Lakini police Wamemtafuta kupitia vyombo vya habari siku ya tatu baadaye!!!
Bado pia wasiojulikana wanaendelea kutesa nani atagarantee usalama wake?!! Ukizingatia mtuhumiwa mkuu ni anayetaka kumhoji?!! Hili jambo lichukuliwe bila msukumo isipokuwa ki taalamu
 
Back
Top Bottom