GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,571
- 108,927
DAB katika ubora wake!
Sasa hapo amekosea nini!!?Eti Kesho tarehe 9 Disemba ni Siku ya Uhuru wa Tanganyika na Tanzania Bara. Huyu Mtu ' nimemdharau ' hadi nawaonea Huruma Walimu, Wakufunzi na Wahadhiri wake waliomfundisha achilia mbali tu Wazazi wake bila kusahau Ndugu, Jamaa na Marafiki zake.
Wewe hujui kitu ndio maana waona sahihiSasa hapo amekosea nini!!?
Sasa hapo amekosea nini!!?
Yaani mpaka Leo hajui Tanganyika ni ipi? na Tanzania ni ipi.!
Kwa MATOMASO Download hiyo Clip umsikilize.
Mwingine huyu hapaSasa hapo amekosea nini!!?
Mkuu Share audio Clip kabla Mawingu hawajalazimishwa kui edit