Sasa hapo amekosea nini!!?
Na wewe unaona hiyo sentensi ya Uhuru wa Tanganyika na Tanzania bara iko sawa? Kuna tatizo kubwa nchi hii!!Mkuu wangu Genta.
Tanganyika na Tanzania bara ni kitu kilekile.
Sasa unatuambia sisi ili iweje? Kwani huna kazi nyingine ya kufanya? Acha wivu kijanaEti Kesho tarehe 9 Disemba ni Siku ya Uhuru wa Tanganyika na Tanzania Bara. Huyu Mtu ' nimemdharau ' hadi nawaonea Huruma Walimu, Wakufunzi na Wahadhiri wake waliomfundisha achilia mbali tu Wazazi wake bila kusahau Ndugu, Jamaa na Marafiki zake.
Kwahyo unataka tufanyaje kwa mfano?Wewe hujui kitu ndio maana waona sahihi
Na wewe unaona hiyo sentensi ya Uhuru wa Tanganyika na Tanzania bara iko sawa? Kuna tatizo kubwa nchi hii!!
Uamuzi wa Busara sana huuNikiwa mkubwa nataka niwe kama DAB!
Pamoja na kumiliki akili nyingi kuzidi wa TZ wote lakini bado unamsikiliza Mkuu wa Mkoa. Hiyo ni ishara wazi anakuzidi ufahamu pamoja na akili kubwa unakaa kitako kuvuna hekima zake.Kwahyo kama kunatatizo unataka sisi tufanyaje? Kwan vijana mmekosa kazi za kufanya? Shame on you
Kuna siku huwa unanifurahisha GENTA unatembeza za uso utadhani bondia wa uzito wa juu!Na huyo ndiyo Mteule wa Rais JPM katika Serikali yake hii ya Awamu ya Tano iliyo chini ya CCM. Sijui ana nini Kichwani mwake.
Sasa nawe unaonyesha umbulula wako, 1961 TANZANIA BARA ilikuwepo?Gentamycine muongo. Amesema TANGANYIKA AU TANZANIA BARA. Kakosea wapi hapo sasa? Hiana hiyo......
Mkuu me naona humu unajidhalilisha wewe mwenyewe tu 'coz kuna vitu unachanganya bila kutambua katika zile sherehe za kihistoria;Kwahiyo na Wewe unakubaliana na RC Makonda kama alivyosema katika hiyo ' Promo ' yake kuhusu FIESTA leo kuwa tarehe 9 Disemba ni Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara? Hivi ni kwanini Mwenyezi Mungu wakati anatuumba alitupa Akili nyingi akina GENTAMYCINE na wengine akawabariki na huu ' Upumbavu ' mnaouonyesha na Kuuthibitisha hapa?
Yaani na elimu yote uliyonayo hujui kuwa TANGANYIKA na TANZANIA BARA ni kitu kimoja!!?Huna Akili kama huyo aliysema kuwa tarehe 9 Disemba ni Siku ya Uhuru wa Tanganyika na Tanzania Bara hivyo acha Kunipotezea muda tafadhali sawa?
Amekosea wapi!?Mwingine huyu hapa
Huyo jamaa anataka msaada ili aelewe nadhani jibu ulilompa sio sahihiHuna Akili kama huyo aliysema kuwa tarehe 9 Disemba ni Siku ya Uhuru wa Tanganyika na Tanzania Bara hivyo acha Kunipotezea muda tafadhali sawa?
Sentensi kweli siyo sahihi lakini ikirekebishwa hapo kwenye 'na' kutawekwa 'au' ni hivyo tu basi! Lakini si vile bwana genta anavyosema eti kakosea alitakiwa aseme uhuru wa tanzania bara na tanzania visiwani... hilo halipo na haliwezekani na itabidi akiri tu kuwa hajui vizuri historia au.... amekurupuka!Na wewe unaona hiyo sentensi ya Uhuru wa Tanganyika na Tanzania bara iko sawa? Kuna tatizo kubwa nchi hii!!