Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,160
- 10,007
Watamuita ku record upyaKama ulikuwepo vile Mkuu kuna Mtu yupo huko CMG ameonyesha huu Uzi wangu na huu ' Upuuzi ' wa RC Makonda kuwa tarehe 9 Disemba ni Siku ya Uhuru wa Tanganyika na Tanzania Bara na sasa ' wanahaha ' kuifanyia ' editing ' ambapo kwa sasa neno Tanganyika silisikii wakati mwanzo nililisikia. Yawezekana sasa ' wanahaha ' kufanya ' editing ' hilo neno Tanzania Bara kwani Mkuu wa Mkoa Makonda ' amejiabisha ' mno kwa hilo ' Boko ' lake la Kufungia mwaka huu wa 2019.